UEFA Champions League: Droo ya Robo & Nusu Fainal Ijumaa Saa 9:00 Alasiri

Punguza maelezo mengi Arsenal hawezi kumtoa Bayern Munich hata iweje
 
Arsenal kuwa top of EPL itself deserves lots of credit. Arsenal yupo juu ya Liverpool na Man City ile sio accident ni form..

Nyie watu muwe na heshima kidogo, msilete habari zenu za historia hapa.
 
Arsenal kuwa top of EPL itself deserves lots of credit. Arsenal yupo juu ya Liverpool na Man City ile sio accident ni form..

Nyie watu muwe na heshima kidogo, msilete habari zenu za historia hapa.
Arsenal hii iliyo pita kwa mbinde mbele ya Porto ya mzee Pepe?
 
Arsenal kuwa top of EPL itself deserves lots of credit. Arsenal yupo juu ya Liverpool na Man City ile sio accident ni form..

Nyie watu muwe na heshima kidogo, msilete habari zenu za historia hapa.
Wew Nenda kakojoe ulale tu maana unatuletea utoto wako apa unahisi kila mtu ni mtoto mwezako
 
Daah mpira hauko hivyo mkuu, Bayern anaweza akawa anapigwa na hizo timu ila akakutana na Arsenal ukawa mchezo tofauti
Bayern kali ni ile ya Ribery,Dogolas Costa,Lewandoski na Ruben.Ila hii haina ukali wowote ile ndio ilikuwa Bayern inatisha.Ila hii ya sasa Arsenal ashindwe mwenyewe.

Liverkunsen mwenyewe kuna uwezekano mkubwa akachukua ubingwa akiwa na mechi tano mkononi.
 
Wanachambua kimahaba wanasahau huyo bayern ni timu ambayo huwa inatuangushia kipigo kikali sana ndani ya UEFA.
Kwangu hii mechi haitokuwa rahisi.
Yaani unaifananisha Bayern ya Ribery Ruben,Lewandosk,Dogolas Costa na hii...... ambayo msimu huu tu Liverkunsen anaweza akachukua ubingwa mechi tano mkononi. Arsenal ashindwe mwenyewe,Bayern sasa hivi wanajitafuta wanajenga timu.
 
Watanzania bhana
 
Hii Arsenal ya sasa hivi imefanya kitu gani cha maana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…