UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

Spain 🇪🇸 akishinda Duniani nzima itakua kimya mana ni vigumu kubishana na mtu ambae yupo sawa. Naanisha Spain ndie anastahili huh ubingwa.

Ila England 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 akishinda Duniani nzima itakua na kelele maana wapo watakaosema hawakustahili na wengine wanasema walistahili.

Bega kwa bega na mkoloni Binafsi napenda makelele.
 
Jamani 5-1 si walilia wakasaga meno? Ahaaa
 
Mpira ni kitu cha ajabu si mnaona wengi wamebeti spain? Tuwameza baki midomo wazi.

Ninachojua mpira unauma kuliko mapenzi wacha tusubiri dakika tu
 
Mara ya mwisho timu hizi kukutana ni 2018 kwenye UEFA Nations League.

England wakichomoza na ushindi wa 3-2. Sterling Raheem akipachika mawili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…