UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

Spain XI
IMG_2276.jpeg
 
Spain 🇪🇸 akishinda Duniani nzima itakua kimya mana ni vigumu kubishana na mtu ambae yupo sawa. Naanisha Spain ndie anastahili huh ubingwa.

Ila England 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 akishinda Duniani nzima itakua na kelele maana wapo watakaosema hawakustahili na wengine wanasema walistahili.

Bega kwa bega na mkoloni Binafsi napenda makelele.
 
Nikukumbushe baada ya Spain kuchukua World cup dhidi ya Netherland kwa ushindi wa 1-0 , Next world cup spain alitolewa Group stage, alipangwa group moja na Netherland & chile, alifungwa Game mbili mfululizo na Chile & Netherland ,

Game spain Vs Netherland, Spain alifungwa 5-1
Jamani 5-1 si walilia wakasaga meno? Ahaaa
 
Mpira ni kitu cha ajabu si mnaona wengi wamebeti spain? Tuwameza baki midomo wazi.

Ninachojua mpira unauma kuliko mapenzi wacha tusubiri dakika tu
 
Mara ya mwisho timu hizi kukutana ni 2018 kwenye UEFA Nations League.

England wakichomoza na ushindi wa 3-2. Sterling Raheem akipachika mawili.
 
Back
Top Bottom