Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Spain XI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna mechi Fabian Ruiz kacheza na Hispania wakafungwa.View attachment 3042495
Spain na 4-2-3-1
Watautafuta kwa tochi leo hawa
Jamani 5-1 si walilia wakasaga meno? AhaaaNikukumbushe baada ya Spain kuchukua World cup dhidi ya Netherland kwa ushindi wa 1-0 , Next world cup spain alitolewa Group stage, alipangwa group moja na Netherland & chile, alifungwa Game mbili mfululizo na Chile & Netherland ,
Game spain Vs Netherland, Spain alifungwa 5-1
Leo king atakuwepo kwani?God bless England
God bless his Majesty king
England anaingia kama underdog, hapo ndio wanapopunguza pressure na ni advantage kwao, timu inakua inarelax sana na huwa rahisi kushindaView attachment 3042497
Southgate kama kawaida yake
3-4-2-1
Luke Shaw akianza leo.
Trippier akianzia benchi.
nawaonea huruma uingereza, walau na wao washinde basi.Leo kuna mchezo wa fainal ya Uefa Euro kwa mwaka 2024.
Spain Vs England, Saa 4:00 Usiku kwa saa za Afrika ya Mashariki katika dimba la Olimpia kule jijini Berlin.
Tupe ubashiri wako,