Hadi sasa naona Musiala ni bora mara 2 ya Jude
Jamaa amekaa kama mcheza mielekaHuyu forward wa Hungary Adam (9) ni bonge aisee
Kabisa jamaa kaisha sana ningekuwa kocha namtimua kambini Kisha nampandisha boda awahi kwao.Huyu Leroy Sane kiwango kimeshuka sana au namuona pekee yangu?
Mbio nyingi,akili kiduchuHuyu Leroy Sane kiwango kimeshuka sana au namuona pekee yangu?
German wameimprove baada ya kuwarejesha malejendari, walikua magarasa mnoGermany machine kombe letu hili
Dogo takataka mno, guadiola alikua sahii kumsema ana kichwa kigumuKabisa jamaa kaisha sana ningekuwa kocha namtimua kambini Kisha nampandisha boda awahi kwao.
nadhan wangeboresha,best loosers wakutanishwe mechi Moja Moja, atakaepigwa outBado game moja moja. Kwa sasa hakuna unachoweza kusema.
Albania ana unafuu. Ana negative moja. Huku Croatia akiwa na negative 3.
Timu mbili za kila kundi zitatangulia knock out. Kuna nafasi nne kwa best loosers.
Kama hali itakuwa mbaya kwa timu zingine basi wanaweza kutoboa huko.
😄😄😄😄dahKabisa jamaa kaisha sana ningekuwa kocha namtimua kambini Kisha nampandisha boda awahi kwao.
Bado hamjakutana na wanaojua kukaza nyieGermany machine kombe letu hili