UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

Scotland starting XI
IMG_1801.jpeg
 
20240614_214044.jpg
Havertz kuwaongoza Germany katika safu ya ushambuliaji.

Je, watawafunga Scotland?
 
Je, wajua?

Scott McTominay w Scotland ndiye alikuwa kinara wa magoli kwenye mechi za kufuzu? Alikuwa na mabao saba.

Leo pia atafunga???
 
Watu wanaidharau sana Germany.

Ila ni timu bomba sana tu!.
Germany hawatishi kabisa labda sababu ya uwenjeji wanaweza kupambana kidogo ila baada ya kombe la Dunia 2014 ndio angakuko lao liliazia apo 2016 Euro katokea robo fainali 2018 kombe la Dunia alitokea makundi Euro ya 2021 alitoka Round ya 16 bora Kombe la Dunia 2022 alitokea makundi kiufupi Germany kisoka wameshuka usiwawekee sana matarajio
 
Back
Top Bottom