incredible mimi
Senior Member
- Apr 14, 2024
- 179
- 256
Pole ndugu yangu..Dah JF kila kitu nimehangaika kama lisaa hivi mpaka nilivyoona hii comment
Your most welcome
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole ndugu yangu..Dah JF kila kitu nimehangaika kama lisaa hivi mpaka nilivyoona hii comment
Hawa wagerman wa sahv wa mchongo kweli 😄Germany starting XIView attachment 3017550
Angalia tena vizuri kikosiHuyu kocha anaanza mechi bila Kroos ana akili timamu kweli huyu
Basi wazee wa Azam tuwape pole unakosaje kutazama watoto warembo kama hawa wakitumbuiza uwanjani watoto weupe hadi nyweleKama kawaida yao, wana mechi zao chache
uyo Mcginin wa Astovilla leo lazima awatungue wajerumaniScotland starting XIView attachment 3017552
Km ushindi ungetokana n kikosi pekee bila mbinu bac german wanachukua point 3 mapema sn..View attachment 3017551Havertz kuwaongoza Germany katika safu ya ushambuliaji.
Je, watawafunga Scotland?
Mtu na nusu huyouyo Mcginin wa Astovilla leo lazima awatungue wajerumani
Germany hawatishi kabisa labda sababu ya uwenjeji wanaweza kupambana kidogo ila baada ya kombe la Dunia 2014 ndio angakuko lao liliazia apo 2016 Euro katokea robo fainali 2018 kombe la Dunia alitokea makundi Euro ya 2021 alitoka Round ya 16 bora Kombe la Dunia 2022 alitokea makundi kiufupi Germany kisoka wameshuka usiwawekee sana matarajioWatu wanaidharau sana Germany.
Ila ni timu bomba sana tu!.
Nategemea kumuona Mc Tominay “Kiungo Punda” akipambana sana leouyo Mcginin wa Astovilla leo lazima awatungue wajerumani