UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

Yaani hamna kitu

Hispania wakikutanaga na France wanalowa mbona? Hao watoto wataishia kujiangusha angusha...na vile Carvajal hatakuwepo watapigwa tu

FINAL ni France na Netherlands

Mkuu unasema nini? Carvajal hayupo kwani Jordi Alba anachezea nchi gani? Kuna Laporte na watoto wengine wawili saa zote wako bench. Football haiamuliwi kwa ngenga, France waje wamejipanga
 
Wajukuu wa malkia tunaenda fainali leo tunawapiga swis tuwasubiri uholanzi au uturuki

Fainali tunaomba aende Spain tukavifundishe vile vivulana kuwa sisi ndio tuliitawala dunia
 
Mkuu unasema nini? Carvajal hayupo kwani Jordi Alba anachezea nchi gani? Kuna Laporte na watoto wengine wawili saa zote wako bench. Football haiamuliwi kwa ngenga, France waje wamejipanga
Jordi Alba hajaitwa na ni keasababu ya Umri, laporte anacheza pamoja na Carvajal kulingana na namba zao....Jesus Navas kaitwa lakini Umri nae unamfanya ht akipangwa hatacheza ht kwa dkk 50
 
Natamani Wajukuu wa Malkia watolewe coz Brazil nao wanaenda kutolewa na Uruguay usiku wa kuamkia leo
Lengo ni Ballon d'or race iweze kubalance hapa namzungumzia

Vinicius Jr
Bellingham
 
Back
Top Bottom