vibesen xxx
JF-Expert Member
- Jul 23, 2022
- 3,187
- 6,620
Leo English wachezaji wote wana perform isipokuwa foden tu anazurula
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imeshuka basi..Ni 1.45
Unatumia bookie gani?
Yaani hamna kitu
Hispania wakikutanaga na France wanalowa mbona? Hao watoto wataishia kujiangusha angusha...na vile Carvajal hatakuwepo watapigwa tu
FINAL ni France na Netherlands
Watakuwa wamezeeka wengine
Morata na Dan carvajal nani mzeeMkubwa wao pale Morata, sasa hao wazee watakuwa kina nani?
Jordi Alba hajaitwa na ni keasababu ya Umri, laporte anacheza pamoja na Carvajal kulingana na namba zao....Jesus Navas kaitwa lakini Umri nae unamfanya ht akipangwa hatacheza ht kwa dkk 50Mkuu unasema nini? Carvajal hayupo kwani Jordi Alba anachezea nchi gani? Kuna Laporte na watoto wengine wawili saa zote wako bench. Football haiamuliwi kwa ngenga, France waje wamejipanga
Morata na Dan carvajal nani mzee
Rodri umri umeenda ivi Gavi hakuitwa?Wale wote wanamaliza National team mashindano haya, lakini sehemu kubwa ya team baada ya miaka 2 ndio watakuwa kwenye peak
Sure mkuu wameanza kufungukaSui wanacheza vizuri second half
Brazil atashindaNatamani Wajukuu wa Malkia watolewe coz Brazil nao wanaenda kutolewa na Uruguay usiku wa kuamkia leo
Lengo ni Ballon d'or race iweze kubalance hapa namzungumzia
Vinicius Jr
Bellingham