Dr Restart
JF-Expert Member
- Jul 15, 2021
- 4,949
- 24,046
- Thread starter
- #5,201
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa wakoloni wakimtoa Mholanzi wanachukua ndoo. Lakini wanaunga unga sana
Hii safari yao nina hofu kuwa wanaenda kubebaWakoloni wakibeba ndoo tutakuwa hatulali.
Hii safari yao nina hofu kuwa wanaenda kubeba
Kumbuka hata Switzerland ni wazuri kumzidi mkoloniI doubt that, kwasababu timu zilizobaki zote wao ndio utopolo
Kwa watumiaji wa Tigo Pata GB za bure kwa kufuta maelekezo haya.
1. Ingia TigoPesa app (Kama hauna download play store)
2. Ingia Invite & Earn
3. Bonyeza Redeem
4. Weka hii code 2ZJVO8ZK
Baada ya hapo utapata 2GB na DK kibao bure kabisa!!
Sitarajii Match nyingine Kali zaidi ya hii aisee...De Vrij powers a header past Gunok to restore parity! Netherlands 1-1 TurkeyView attachment 3035433
new holland wanachukua hicho kinu cha makandeWakoloni wakibeba ndoo tutakuwa hatulali.
FA wanamdekeza sana wasenge waleYaani Mtu kaka Foden alitakiwa atoke muda mrefu aingie Alexander Anold coz anajua kuforce mashambulizi
Huyu Kocha ni wa kuondolewa tu
new holland wanachukua hicho kinu cha makande
Uturuki bwana nao kweli mdebewdo...sasa wamecheza vizuri first half second half wakakimeoDe Vrij powers a header past Gunok to restore parity! Netherlands 1-1 TurkeyView attachment 3035433
Walicheza na switz, wao hawasupport hayo?Mimi sikutamani washinde, sababu kubwa ushoga na wanasapoti mayahudi kuuwa watoto, wazee na wamama nchini palestina
Kwa hiyo sasa hapa duniani starehe gani sio haramu jameni???!!!!Walicheza na switz, wao hawasupport hayo?
Si kwa ubaya, Ila ukikaza sana mambo ya dini hata huo mpira hutakiwi kushabikia sababu ni haramu
Naamini waingereza hawaridhiki na kiwango chao, ndio ile mtoto wako unajua kabisa akili hana Ila kila kwenye report shuleni unaona kawa wa kwanza. Hapo Kuna mawili either walimu wanamfaulisha au hiyo shule ina vilaza wengi
Mm kwa imani yangu mpira sio haramu, Ila kwa imani ya huyo nayemjibu mpira ni haramu hivyo kabla ya timu alipaswa kuchukia mchezo wenyeweKwa hiyo sasa hapa duniani starehe gani sio haramu jameni???!!!!
argentina national football team vs canada men's national soccer team argentina national football team vs canada men's national soccer team - Google SearchVijana wa Messi wapambane na hali yao, bwana wao anaruka ruka tu huko Copa hata goli limemshinda maka hatua hii