UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

Leo kuna mchezo wa fainal ya Uefa Euro kwa mwaka 2024.

Spain Vs England, Saa 4:00 Usiku kwa saa za Afrika ya Mashariki katika dimba la Olimpia kule jijini Berlin.

Tupe ubashiri wako,
Mpira wa uleya umekosa mvuto kwasbb ya upendeleo na VAR, wingereza haikupswa kufuka hata nusu fainali, timu mbovu haina mfumo, ila ilipagiwa kundi bomvu, na msaada wa VAR kupewa panati, na kwa 70% anaweza akapeba kombe kisa siasa za uefa......bora mara 100 Afcon alikua na mvuto na var ilikua ya mfano.
 
Spain ana beki katili sana leo zitawatesa sana wajukuu wa malikia

Sioni ni vipi hary kane, foden,saka watafurukuta mbale ya kina nacho carvajal,cucurela na wengine means Spain atadominate attacking line ya uingereza kwa 70/30

Katikati Spain atakuwa na rodri na Fabian uku uingereza wakiwa Na Rice na maino hapa natoa 60/50

Beki ya uingereza mechi mbili za mwisho kiasi waliparform vizuri ila kasi ya makinda ya Spain itawasumbua hasa upande wa kulia ila kule upande wa kushoto Walker akisaidiana na saka watakuwa bora

Km Spain atafunga goal watafunga kupitia upande wa kushoto na

Ninavyoona km uingereza atapata goal itakuwa mpira wa set pieces

Upande wa goal keeper ni kuwa spain yuko vizuri zaidi ya goal keeper wa uingereza kwenye in play hata matuta

God bless England

God bless his Majesty king
 
Sio match ya kitoto spain wako vizuri ila jasho lazima liwatoke sio kwa ulinzi ule wa England

Ushindi waweza kuwa hivi

Spain 🇪🇸 2 - 1 England 🇬🇧 mmmmh final tuishie dk 90????????
Au
Spain 1-1 England then penalties.

Hii michuoano ni ya kipekee tumezoea nusu final watu wananyooshana mpaka penalty ajabu ikawa tofauti.

Binafsi nilitaka final aingie spain na Netherlands, mkumbuke hawa waliingia final south Africa nilitaka kuona baada ya miaka hiyo wangekutana kwenye final nini kingetokea?

Today its Español o Inglés😁 wenyewe spain wanajiita the king of football, yetu macho.
 
na kweli ni king of footbal kwa miaka ya karibun
 
Nikukumbushe baada ya Spain kuchukua World cup dhidi ya Netherland kwa ushindi wa 1-0 , Next world cup spain alitolewa Group stage, alipangwa group moja na Netherland & chile, alifungwa Game mbili mfululizo na Chile & Netherland ,

Game spain Vs Netherland, Spain alifungwa 5-1
 
Back
Top Bottom