Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Its coming home🦁🦁🦁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpira wa uleya umekosa mvuto kwasbb ya upendeleo na VAR, wingereza haikupswa kufuka hata nusu fainali, timu mbovu haina mfumo, ila ilipagiwa kundi bomvu, na msaada wa VAR kupewa panati, na kwa 70% anaweza akapeba kombe kisa siasa za uefa......bora mara 100 Afcon alikua na mvuto na var ilikua ya mfano.Leo kuna mchezo wa fainal ya Uefa Euro kwa mwaka 2024.
Spain Vs England, Saa 4:00 Usiku kwa saa za Afrika ya Mashariki katika dimba la Olimpia kule jijini Berlin.
Tupe ubashiri wako,
Bahati?Natamani spain abebe kombe na nimekuwa na spain tangu michuano hii kuanza ila England bahati inawabeba mno lolote linaweza kutokea.
Nitafurahi endapo yamal akinyenyua kwapa leo hawa England Midomo mirefu wakae kwa kutulia
View attachment 3041968
Ukilinganisha mpira wa ufaransa ujerumani na england utasemaje?Bahati?
na kweli ni king of footbal kwa miaka ya karibunSio match ya kitoto spain wako vizuri ila jasho lazima liwatoke sio kwa ulinzi ule wa England
Ushindi waweza kuwa hivi
Spain 🇪🇸 2 - 1 England 🇬🇧 mmmmh final tuishie dk 90????????
Au
Spain 1-1 England then penalties.
Hii michuoano ni ya kipekee tumezoea nusu final watu wananyooshana mpaka penalty ajabu ikawa tofauti.
Binafsi nilitaka final aingie spain na Netherlands, mkumbuke hawa waliingia final south Africa nilitaka kuona baada ya miaka hiyo wangekutana kwenye final nini kingetokea?
Today its Español o Inglés😁 wenyewe spain wanajiita the king of football, yetu macho.
Nikukumbushe baada ya Spain kuchukua World cup dhidi ya Netherland kwa ushindi wa 1-0 , Next world cup spain alitolewa Group stage, alipangwa group moja na Netherland & chile, alifungwa Game mbili mfululizo na Chile & Netherland ,Sio match ya kitoto spain wako vizuri ila jasho lazima liwatoke sio kwa ulinzi ule wa England