Mtu Fodontino
JF-Expert Member
- May 9, 2021
- 367
- 584
Woyoooo....Tuone kati ya huyo bitozi nyangema mvaa mawani na CR7 nani anastahili kumheshimu mwenzake.
Wacha bhana...πHuu ndo muda wa Cucurela kumaliza game hili na Spain kuchukua ubingwa π
Dogo aliongea shombo sana na ma status yake eti I am born for this..bumbavu. Watu Wana goli 890 unaanza kujifananisha na wao...bumbavu kabisa...ajifunze ADABU na HESHIMANi wachawi tu. Masikini unamchukua bilionea, tena aliyezipata mali zake kihalali kwa kutoa jasho lake.
Wanashindwa kuyachukia mafisadi yanayozidi kuwadidimiza kwenye umasikini kadri siku ziendavyo wanamchukia mtu ambaye Mungu mwenyewe alimwona akaamua kumzawadia kipekee kwa talent ya maana.
NRNE
Sentimos un placer similar al orgasmo πCOMO ESTAS AMIGOS ππ€£
Ila we jamaa unawazaga mizagamuo tuπππHii fullback inapanda na kushuka hatari...anakaba na mbele anaenda. Mapafu ya mbwa.
Aisee demu wake kazi anayoπ€£π€£π€£π€£
Tulia we tunakujua ni half Espanol πππSpain wanacheza kama wanaongoza goli 7 bila, sijui ni utoto. Walikua na nafasi ya kumaliza game mapema kabisa ila wamezingua.
Hongera Portugal kwa ushindi.
Tulia we tunakujua ni half Espanol πππ
Wamelala na viatu, kuna Zumbukuku mojawapo lilifikia hatua kuwalinganisha CR7 Champion na L.Yamali kiubora, kweli akili ni mali πWale wenye chuki na CR 7 wako wapi kmmmk?
Waliapswa kupiteza tangu na ufaransa Dechamps anajilaumu huko alipoSpain wanacheza kama wanaongoza goli 7 bila, sijui ni utoto. Walikua na nafasi ya kumaliza game mapema kabisa ila wamezingua.
Hongera Portugal kwa ushindi.
πππDaah Bora imekuwa hivi yamal apunguze kamdomo kidogoUbao ulivyosoma 2-2 nikasema hapa spain hatoboi kwa namna anavyocheza, pasi nyingi zisizo na maana na wakiporwa mpira wazito kukaba. Winga zote leo zmezingua.
L.Yamal ndiye kashaota mapembe kwa msimu mmoja tu alioonekana ni bora kwa ubovu wa R.Madrid 2024/2025? Kweli sifa zimemlevya mapema daaah πDogo aliongea shombo sana na ma status yake eti I am born for this..bumbavu. Watu Wana goli 890 unaanza kujifananisha na wao...bumbavu kabisa...ajifunze ADABU na HESHIMA
Mjomba Katoto Cha watu kangekuwa karibu yako nahisi ungekachapa fimbo maana una hasira nayeπππMagoli 938 ....Mr mawani ajifunze ADABU. Bumbavu.