Hawana kitu ...Yan France walikurupuka.kumeshakucha...golin5 kwa 4...hio inaonesha dhahiri timu ya Mr mawani ni mbovu , na ufaransa hawakuchanga karata zao vizuri... bumbavu..unamletea mdomo kaka yako mwenye magoli 938...bumbavu kabisa ...eti we were born for this...bumbaaavu...Portugal balaa jipya pale ulaya...
Nuno Mendez Psg wajiandae kupambana na Madrid na vigogo vingine.
Spain alipaswa kupoteza tangu mechi na ufaransa ... Na atapigwa tena na Argentina.
Bumbavu yule ..fimbo ya mwanzi tena ...na angekua na adabu na kuvaa kaptura juu ya kiuno na kuchomekea kama pasta max nzengeli ..na akiongea adabu na heshima vinatawala.Mjomba Katoto Cha watu kangekuwa karibu yako nahisi ungekachapa fimbo maana una hasira nayeπππ
Msameheni tu walimwengu washaanza kumfunza kidogo kidogoBumbavu yule ..fimbo ya mwanzi tena ...na angekua na adabu na kuvaa kaptura juu ya kiuno na kuchomekea kama pasta max nzengeli ..na akiongea adabu na heshima vinatawala.
Muda wa mahesabu sasa.Unaangalia mpira guest au πππ
URENO--Vitinha,JoΓ£o Neves,B.Fernandes
Spain--Zubimbendi,Fabian Ruiz,Pedri bado Huko mbele sitaki kabisaa kuongea maana Yamal mmoja anakabwa na Watu watatu
Fyoko fyoko fyoko ... bitozi nyangema effects...leo hajavaa Ile yale mawani yake? Xi Jinping
Kapuku vipi mbona matusi mengi?Dogo aliongea shombo sana na ma status yake eti I am born for this..bumbavu. Watu Wana goli 890 unaanza kujifananisha na wao...bumbavu kabisa...ajifunze ADABU na HESHIMA
Kwanini uamini Spain national team ina uhalali wa kuwa bora kila siku kuliko other national teams Ulaya Mkuu?Kawaida
Kocha wa Spain ndio wa kulaumiwa tangu game ya France kwa anayejua soka ameonekana hajui kufanya tactical sub.
Ukirudi nyuma zaidi hata kwenye game dhidi ya Germany kwenye EUROS
Huyu dogo ana mabalaa mnoMr mawani milegezo effect lazima amuote leo huyu mwamba ..
.bumbaaavu!
Tatizo watu wanakariri. Mtu wa kukabwa na watu watatu kawa pocketed na likurungwa limoja.Muda wa mahesabu sasa.
Nadhani umeona nani huwa anaangalia mpira guest.
Kapuku ni huyo shoga mwenzio Mr mawani. Go and die in my ignored list.Kapuku vipi mbona matusi mengi?
kinyume imetokea yamal kalia kisa cr7 natumai umefrah mkuuKatika vitu ambavyo sivitamani kuviona Leo ni Ronaldo akilia kisa yamal
Kumbe hii ilikuwa fainali? Nilidhani ni play off. Basi nimekosa mechi muhimu sana.Hii gameβ½ ni ya moto sana usipange kuikosa.
huku Yamal kule Ronald.View attachment 3360912
Lineups _
Portugal
View attachment 3361394
substitutes
N.semendo,A.silva,D.dalot,J.palhinha,G.ramos,D.jota,R.neves,J.felix....nk
Manager : R.martinez
Spain lineups,
View attachment 3361396
Substitutes;
David raya,P.porro,D.vivian,Gavi,Isco,A.morata,P.cubarsi...nk
Manager : L.de la fuente.
Stay tuned ,
yamal ana mengi ya kujifunza kutoka kwa ronald na messi,both katika mafanikio na talent waliyokuwa nayo hawa malegends! Ajifunze kwa lengo la kukuza kipaji chake na asiwe na mdomo wa kutukana mamba angali hajavuka mto.Acha ujinga wewe usisahau huyo goat wenu bado tunamdai world cup na asitegemee eti mwakani atabeba ilihali timu yake ya taifa inategemea wachezaji watatu tu tofauti na timu kama hispania au ufaransa, unaongelea habari za goli mia nane kwa mtoto ambaye ndio kwanza anaanza career yake unamlinganisha na huyo babu aliyegoma kustaafu hadi afikishe magoli elfu moja na afikie rekodi ya messi ya kubeba world cup, huyo yamal mtamlinganisha na kila aina ya mchezaji ila mwisho wa siku akikutana na hao wachezaji wote mnaowalinganisha naye anawakanda vizuri tu na kuwafunga midomo
π€£π€£π€£π€£ Mbususu tamu ila wenye mbususu wana roho mbaya.Ila we jamaa unawazaga mizagamuo tuπππ
No erection no nini πππ