Uelekeo wa pots za Draw ya CAF Champions League 2023/24

Kwanza simba iwashukuru sana Wazambia kuwasaidia kufunga
 
Mwanzo ilikua hamuingii makundi, ooh huku ni kwa wakubwa sasa hivi tumeingia mmekuja na pot utadhani kuna bingwa wa pot , baadae mtasema tumepangwa na vibonde andaeni maneno
Hawa dawa yao Yanga apangwe kundi moja na Simba tumalize kabisa kelele, wasije wakasema Yanga kapangwa kundi dhaifu. Wanapata taabu sana. Mwaka huu tunachoma vichaka vya kujificha...... Oohhhh mashindano ya wanaume... sasa tupo wote huku huku. Na point za Simba zitapungua msimu ujao.
 
Unesahau kuwaweka na Utopolo nao wanarekodi nzuri viwanja vya ugenini
 
Umeeleweshwa sana ila naona umeamua kuchukua upande wako tu
Uzi ulikua mgumu kuingia hadi leo zile post siwezi kuzisoma tena.yote kwa yote kila mtu alikua na hoja yake anaitetea na ndio ivyo hamuwezi kukubaliana kila kitu, ukienda You tube Ramadhan Mbwaduke kule kaeleza hili swala kama mimi, nenda search simba ya 7 ngazi ya club utaona ameelezea kama mimi kwa kutumia Data sports, nlikua nataka nitume link ile jana Jamii forum ikazingua nikawa nashindwa kuingia kwenye huu uzi.

Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
 

View: https://youtu.be/fx_-bHVh-T8?si=a0HvdT6YTzqLRLCf
Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
 
Kwanza simba iwashukuru sana Wazambia kuwasaidia kufunga
Ni kweli maana Wazambia waliukokota mpira kuanzia katikati wakawa wanapasiana kuelekea lango lao huku wakiwatoka washambuliaji wa Simba, kisha wakafumua shuti kumfunga kipa wao
 
Kila msimu wa mashindano, Simba Sc huchukuliwa kama vibonde wa group ila hawajawahi kubaki.

Simba Sc ikiingia makundi break ya kwanza ni robo fainali, si vinginevyo.
Panapo uhai tutakutana tena, kwa mpira ule, labda wabadilike.
 
pole mkuu,
kwaio ranking za kupanga timu gani iwe pot 1, 2, 3 &4 kwa msimu huu tunaouanza walitumia miaka 5 ipi? maana ndio hoja iliyo ubaoni,
 
pole mkuu,
kwaio ranking za kupanga timu gani iwe pot 1, 2, 3 &4 kwa msimu huu tunaouanza walitumia miaka 5 ipi? maana ndio hoja iliyo ubaoni,
Ngoja niwaachie na nyie wenzangu maana mimi nimeshanawa mikono, huyu jamaa nimebidi nimwache na ubishi wake.
 
Haiwezekani timu mbili kutoka nchi moja kupangwa kundi moja, according to CAF league regulations
Unaelewa maana ya "Not more than 2 teams"? Haijasema not more than 1 team. Elewa lugha. Hiyo attachment yako ina maana zisizidi teams mbili kutoka association moja kwenye group.
 
Marekebisho: Belouizdad katolewa jana hivyo Tp Mazembe ataenda pot 2 na Etoil du Sahel atapanda hadi pot 3.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…