Sio kwa Yanga ni mazingira sawa sawa na kwa Simba, kama timu zote zenye nafasi zao zingefuzu basi Yanga angeangukia pot 4 na pia Simba wangeangukia pot 3Waliofuzu pot 4 wana points chache kulinganisha na Yanga. Kumbuka kuwa kuna clubs zipo juu ya Yanga kwa points, lakini hazijafuzu hatua ya makundi, either kwa kutolewa au kwa kutoshiriki michuano ya CAF CL. Mfano ni Raja CA, Zamalek, JS Kabylie, RS Berkane na USM Alger
Pyramids yupo nafasi ya 10 wakati Mazembe ni wa 13Nafikiri Pot 3, Pyramids ni debutant kwenye champions league na sidhani kama anamzidi Points TP Mazembe
Pot haichezi nyie mbumbumbu hua mme kalili maisha haya sisi tupo pot 5Yanga sio kwamba alitakiwa kuwa pot 4?
Wanaangalia points unazokusanya kwenye mashindano for years achana na club ranking tuPyramids yupo nafasi ya 10 wakati Mazembe ni wa 13
AhaaaaaaaNaona msimu huu makundi yatakuwa ya moto saana, humo vibonde ni wachache, huenda sisi wekundu wa msimbazi tukawa vibonde pia msimu huu.
Sio kweli Simba bado angebaki pot 2 maana ni nafasi ya 7 kwa ubora AfricaSio kwa Yanga ni mazingira sawa sawa na kwa Simba, kama timu zote zenye nafasi zao zingefuzu basi Yanga angeangukia pot 4 na pia Simba wangeangukia pot 3
Aliyewadanganya Simba wa 7 ni nani? Simba ni wa tisaSio kweli Simba bado angebaki pot 2 maana ni nafasi ya 7 kwa ubora Africa
Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
Ni kweli kabisa, karibuni tena kwenye mashindano ya mabingwa baada ya kuyatafuta sana kwa miaka 25Pot haichezi nyie mbumbumbu hua mme kalili maisha haya sisi tupo pot 5
Ni kweli kabisa, karibuni tena kwenye mashindano ya mabingwa baada ya kuyatafuta sana kwa miaka 25
Tahadhari: Huku sio Shirikisho, hakuna akina Marumo huku, ni wanaume tupu
AahaaaaaUnataka kusema huko kuna wanaume zaidi ya USMA?
Kwa hiyo ile ranking nyingine ya kimchongo leo umekubali haina maana ? Ile iliyowapa utopolo nafasi ya 3 π€£π€£π€£πAliyewadanganya Simba wa 7 ni nani? Simba ni wa tisa
1) Al Ahly
2) Wydad
3)Es Tunis
4) Mamelod
5)Raja
6)Zamalek
7)Berkane
8) Belouizdad
9) Simba
Mwaka 98 Kipindi tunacheza makundi nyie mlikua wapi?Ni kweli kabisa, karibuni tena kwenye mashindano ya mabingwa baada ya kuyatafuta sana kwa miaka 25
Tahadhari: Huku sio Shirikisho, hakuna akina Marumo huku, ni wanaume tupu
Last season tuliwekwa pot 4 kilicho tokea ni historyTeams za Pot 1 pekee ndio zinaweza kuisumbua Yanga. Hao wengine tunawapiga popote kivyovyote!
Usichanganye ranking mbili tofauti. Rank hii ni ya CAF ambapo wanachukua performance ya timu kwa misimu mitano, rank iloyoweka Yanga ya 3 ni rank kutoka IFFHS ambapo wao vipimo vyao wanachukua mashindano yote kwa ujumla timu inayoshiriki (mechi za kitaifa na kimataifa) IFFHS wana deal na takwimu.Kwa hiyo ile ranking nyingine ya kimchongo leo umekubali haina maana ? Ile iliyowapa utopolo nafasi ya 3 [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]
Achana na ile ranking, fuata ya CAF. Ile hata sisi Yanga tulikuwa tunajua ya mchongo. Eti inasema tuko bora zaidi ya Esperance! πKwa hiyo ile ranking nyingine ya kimchongo leo umekubali haina maana ? Ile iliyowapa utopolo nafasi ya 3 π€£π€£π€£π
Kama mlivyowapiga kwenye ngao ya jamii siyo ?Teams za Pot 1 pekee ndio zinaweza kuisumbua Yanga. Hao wengine tunawapiga popote kivyovyote!
Si ndiyo maana nikaiita rank ya mchongo, unalinganisha timu za kimataifa kwa kuangalia matokeo ya mechi za ndani, badala ya matokeo ya mechi za kimataifaUsichanganye ranking mbili tofauti. Rank hii ni ya CAF ambapo wanachukua performance ya timu kwa misimu mitano, rank iloyoweka Yanga ya 3 ni rank kutoka IFFHS ambapo wao vipimo vyao wanachukua mashindano yote kwa ujumla timu inayoshiriki (mechi za kitaifa na kimataifa) IFFHS wana deal na takwimu.