Uelewa wa Lissu kwenye uchumi ni mdogo

Uelewa wa Lissu kwenye uchumi ni mdogo

Nimefuatilia kauli za Lissu akiwa morogoro mjini, kasema serikali ya JPM haijaongeza mishahara (General salary increment) na yeye akiingia madarakani ataongeza mishahara kulingana na hali ya uchumi ili kupunguza ukali wa maisha...
Mkuu kwanini ume factor in gharama za misosi tu na usafiri ila sijaona kodi,Exchange rate,Issue za interest rates, disposable income, multiplier effect,demand deposits n.k ina maana hta nje ya sheria Mtumishi wa umma apandisihiwe mshahara kwa kuangalia inflation tu na sio factors zingine?

Mfumuko wa bei muda mwingine unaweza ukawa mdogo sababu money in circulation ni ndogo. Sasa kma watu hawana disposable income ya kutumia kwenye mambo mengi automatic vitu vitashukabeim mfano wakati wa Corona mafuta yalishuka bei sababu demand ilikua chini sasa hapo watu walitakiwa wasiongezwe malipo kisa tu mafuta yalishuka?

Inflation ya Tanzania inachangiwa kiasi na watu kutokua na pesa za kuspend sababu ya contractual monetary policy ya Tanzanania katika awamu hii. Kwahiyo bado Lissu yupo sahihi kabisa.
 
Any pros point hapa uwezo wako utakuwa mdogo
 
Mkuu mkulima ndiye mwenye tafsili halisi za biashara, mahitaji makubwa bei kubwa na mahitaji madogo bei ndogo pia wingi wa bidhaa bei ndogo na uchache wa bidhaa bei kubwa...
Mimi ni mkulima na malalamiko yetu ni serikali kutusahau katika swala la uhakika wa masomo. Hivi ndiyo sababu mlipora korosho kule Mtwara na Pwani kwakua hamtaki kupandisha mishahara?
 
Amuachie Lipumba azungumzie uchumi yeye abaki na sheria za kukariri.
 
Nimefuatilia kauli za Lissu akiwa morogoro mjini, kasema serikali ya JPM haijaongeza mishahara (General salary increment) na yeye akiingia madarakani ataongeza mishahara kulingana na hali ya uchumi ili kupunguza ukali wa maisha...
Endelea kumfuatilia, utaelewa tu anachoongea!
 
Kwa hiyo hali ya uchumi ni mbaya? "You cannot eat your cake and have it" - Waingereza. Hauwezi kujitapa kuwa umekuza uchumi halafu kwenye kuongeza mishahara ukasema uchumi hauruhusu. Kama ni mahakamani utafungwa hata kama haukufanya kosa.
?????? Inaonekana wewe lugha au uelewa ni shida hata tafsiri ya action na reaction ipo ndogo
 
Nimefuatilia kauli za Lissu akiwa morogoro mjini, kasema serikali ya JPM haijaongeza mishahara (General salary increment) na yeye akiingia madarakani ataongeza mishahara kulingana na hali ya uchumi ili kupunguza ukali wa maisha...
Wewe utakuwa hauishi Tanzania bei ya mchele 1100, Nyama 3500, Sukari 16500 acha utani wako mkuu, Mchele wa kula binadamu ni 2000, nyama kilo 7000, maharage kila 2500 toka 1800, mahindi debe 10000 toka 7000 sukari 2800 toka 1800 acha siasa za kuambiwa
 
Nimesoma huu uzi nimecheka kwa sauti kubwa mpaka watu wamenishangaa,ni nchi hii hii nyama kg moja inauzwa 3500 au ni nchi nyingine?

Nauliza mniambie huko inapouzwa 3500 nihamie huko,gunia la mahindi tena kwa kipindi hiki Cha mavuno hapa Musoma ni sh 70,000,mchele kwa kipindi hiki Cha mavuno upo chini Ila mwezi wa tatu mwaka huu mchele uliuzwa 2200,hayo maisha rahisi yako wapi?

Kweli kwa chakula kwa watu wa kipato Cha kati wanaweza kujimudu,pia unatakiwa ujue exchange rate ya dollar ipo juu 2300 hiyo inapekekea bidhaa nyingi Kama nguo,vifaa vya ujenzi kuwa juu,kwa hiyo usitake kupotosha
 
Lissu akumbuke muda sio mrefu tumehangaika na janga la corona, walimu wamekaa majumbani miezi sita na bado wamelipwa mishahara kama kawaida, leo kuna malori yameegeshwa uganda kwa kuzuiliwa karantini, madereva wanalipwa mishahara posho na wanalipia maegesho na yanapigwa girisi kila siku tuongeze mishahara kutoka wapi? Leo hii bus linatoka Dar Mwanza na abiria sita na linarudi na abiria wanne tuongeze mishahara kutoka wapi, namshauri aangalie uhalisia wa yale anayoyaongea asijepotosha watu.
Kwanini abiria (movement) toka sehemu moja kwenda sehemu nyingine wamepungua sana? Kuongezea kwenye mfano wako Dar Express toka Arusha walikuwa yanatoka zaidi ya mabasi manne sasa hivi ni mawili tena bila abiria wa kutosha
 
Mkuu kwanini ume factor in gharama za misosi tu na usafiri ila sijaona kodi,Exchange rate,Issue za interest rates, disposable income, multiplier effect,demand deposits n.k ina maana hta nje ya sheria Mtumishi wa umma apandisihiwe mshahara kwa kuangalia inflation tu na sio factors zingine?...
Pamoja na maelezo yako marefu lakini In conclusion hakuna inflation kubwa ya ku warrant kuongeza kwa mishahara.

Sababu Hiyo ndio hali halisi ya uchumi vs production yetu ya vitu muhimu e.g. nyama, Michele, mboga mboga, unga, na petrol/diesel etc
 
Nimefuatilia kauli za Lissu akiwa morogoro mjini, kasema serikali ya JPM haijaongeza mishahara (General salary increment) na yeye akiingia madarakani ataongeza mishahara kulingana na hali ya uchumi ili kupunguza ukali wa maisha...
Kama unakili wazi mishahara kutoongezwa kwa sababu ya uchumi kudorora basi waseme wenyewe bila kuficha kwamba hawatoongeza mishahara kwa sababu uwezo wa serikali ni mdogo kumudu kupanda kwa mishahara kwa sababu ya uchumi kudorora.

Shida yao kubwa ni majisifu wanapopanda kwenye majukwaa juu ya dhana uchumi kukua unaokua kwa kasi ya 7. sth wakati wenda ni tofauti na uhalisia.
Na kwamba wana mapesa mengi.

Sifa zao hasa, ndizo zinazoibua madai kama haya ya watumishi, na wako sahihi

Hakuna serikali wala msemaji wa serikali aliyesikika akisema juu ya haya usemayo ambayo huenda ndio ikawa ukweli juu ya hali halisi ya uchumi wa nchi,

Bali wanaoisemea serikali ni watu ambao wana viherehere kama wewe (maana serikali mara nyingi imesikika ikisema ina mapeaa mengi) watu kama wewe sio rasmi na huenda ni wakereketwa wanaonufaika na mfumo huu wa wachache kunufaika.

Nadhani wewe huenda ni miongoni mwao kati ya watu wenye mishahara minono inayojitosheleza. Na wakati mwingine watu kama ninyi hufikia mpaka kujisifu ktk halaiki kwa maisha mazuri mnayoishi huku mkiwa mnashangaa wengine wanaishi vipi kwa mishahara hiyo midogo nyuma ya kamera.

Tunataka serikali itoke ikiri wazi, haiwezi kufanya nyongeza kwa sababu ulizozitaja.

Mwisho, uwezo mdogo kiuchumi isiwe kigezo cha takwa la kisheria la madaraja ya watumishi kuhujumiwa ikiwa ni pamoja na kuacha mara moja kuendelea kukopa na kukausha mifuko ya hifandhi ya jamii na kusababisha shida kwa wastaafu.

Serikali imekuwa mstari wa mbele kuhujumu mifuko ya wastaafu na kuwatungia sheria ngumu kwenye kupata viinua mgongo vyao.

Binafsi sina imani na serikali juu ya mambo mengi ktk eneo hili

***********Mwisho************
 
Pamoja na maelezo yako marefu lakini In conclusion hakuna inflation kubwa ya ku warrant kuongeza kwa mishahara
Sababu Hiyo ndio hali halisi ya uchumi vs production yetu ya vitu muhimu e.g. nyama, Michele, mboga mboga, unga, na petrol/diesel etc
Ndio maana nikahoji inflation ni bei ya vyakula tu? Interest rate za mikopo ambayo ni moja ya basics kwa wafanyakazi ume consider? Exchange rates ume consider hasa kwa wanaoimport bidhaa nje? Mkuu ukifanya conclusions ni lazima u factor in variables tofauti.

Ndio maana nikauliza Mzunguko wa pesa ukiwa mdogo inflation itapaa? Nimetoa mfano bei ya mafuta kipindi cha corona demand ilikua chini so bei ikashuka ssa ina maana kulikua hakuna haja ya serikali kuongeza pesa kwenye Mzunguko kisa tu bei ya mafuta ipo chini?

Nieleweshe hapa mkuu
 
Ndio maana nikahoji inflation ni bei ya vyakula tu? Interest rate za mikopo ambayo ni moja ya basics kwa wafanyakazi ume consider? Exchange rates ume consider hasa kwa wanaoimport bidhaa nje? Mkuu ukifanya conclusions ni lazima u factor in variables tofauti...
ndio maana nikasema general inflation iko 3.4 ina maana kuna vitu vilivyoifanya iwe hapo ikiwemo imports.
 
Nimefuatilia kauli za Lissu akiwa morogoro mjini, kasema serikali ya JPM haijaongeza mishahara (General salary increment) na yeye akiingia madarakani ataongeza mishahara kulingana na hali ya uchumi ili kupunguza ukali wa maisha...
Kwahiyo we ni Abas mpaka uisemee serikali.Mbona hoja zako zote ni mpya kwenye utetezi wake hazikuwahi kutolewa kama wewe ulivyoziainisha?

Walimu wamekaa nyumbani miezi sita nyumbani? Ok sawa kuwalipa walimu kumeshusha uchumi hivyo hamna pesa ya kuwaongezea? Mbona huwa mnajinasbu eti uchumi wetu umekua!!

Mbona kabla ya corona mlikuwa hamjawaongezea? Umesoma mikataba ya watumishi vizuri? Niulize tu,ukiwa ccm ni shart ukubali kila lifanywalo na serikali(wao ni malaika hawakosei??)
 
Kama unakili wazi mishahara kutoongezwa kwa sababu ya uchumi kudorora basi waseme wenyewe bila kuficha kwamba hawatoongeza mishahara kwa sababu uwezo wa serikali ni mdogo kumudu kupanda kwa mishahara kwa sababu ya uchumi kudorora.

Shida yao kubwa ni majisifu wanapopanda kwenye majukwaa juu ya dhana uchumi kukua unaokua kwa kasi ya 7. sth wakati wenda ni tofauti na uhalisia...
Mkuu General Salary Increment hufanyika uchumi unapokuwa umedorora ili kupunguza makali ya maisha, uchumi unapokuwa imara maana yake kuna unafuu kwenye maisha hatuongezi mishahara ili kuepuka multiplier effects
 
ndio maana nikasema general inflation iko 3.4 ina maana kuna vitu vilivyoifanya iwe hapo ikiwemo imports.
Kwahiyo mkuu huoni mzunguko mdogo wa pesa ndio umepelekea inflation kushuka. Yaani demand ya baadhi ya bidhaa ilikua ndogo hivo lazima bei zishuke. Ikimaanisha ili purchasing power ikue ni lazima pesa kwa mzunguko iongezwe (ikiwemo mishahara).
Embu angalia hyo inflation kwa jicho jingine ukilinganisha na sera ya uchumi ya hii miaka 5 (Contractual monetary policy)
 
hakuna cha ukwel hapa hapo gunia la mahindi walipouzia 135,000 ni wap na xaiv 48,000 wanauza wap ,mchele kilo 1100 wanauzia wapi na sukari ilikuwa sh ngp 2015 na xaiv ni sh ngp

Back
Top Bottom