Uelewa wa Lissu kwenye uchumi ni mdogo

Uelewa wa Lissu kwenye uchumi ni mdogo

Kwahiyo mkuu huoni mzunguko mdogo wa pesa ndio umepelekea inflation kushuka. Yaani demand ya baadhi ya bidhaa ilikua ndogo hivo lazima bei zishuke. Ikimaanisha ili purchasing power ikue ni lazima pesa kwa mzunguko iongezwe (ikiwemo mishahara).
Embu angalia hyo inflation kwa jicho jingine ukilinganisha na sera ya uchumi ya hii miaka 5 (Contractual monetary policy)
Kumbuka wafanyakazi wa mshahara wako 3m tu Hawa 47m tunawafidiaje? Hivi ikili yako iko timamu? Unataka tuongeze mishahara ili vitu vipande Bei kweli?
 
Sheria inasema salary increment itafanywa kulingana na hali ya uchumi

Hizo Bei zilizo pungua umeokota wapi?
Unajua kwa nn mafuta yamepungua Bei kwa sababu gani?
Angalia na factors zingine Kama price mechanism, intertrade, production na sio inflation pekee...
 
Kumbuka wafanyakazi wa mshahara wako 3m tu Hawa 47m tunawafidiaje? Hivi ikili yako iko timamu? Unataka tuongeze mishahara ili vitu vipande Bei kweli?
Hakuna haja ya matusi huu ni mjadala ni vizuri tujibu kwa hoja. Trickle down economics zinagusa mambo ya spillover effects yaani mishahara ya hao 3M inaweza chochea uchumi wa hao 47M. Ndio maana dunia hii mabilionea ni wachache sana ila ndio wanawaweka mjini zaidi ya 80% ya nguvu kazi duniani.

Kwahiyo huwezi ogopa kupandisha mshahara kwa kuangalia factor moja tu ya bei kupanda. Vipi kuhusu investment kwenye GDP? Vp faida ya kodi kwa serikali? Vipi multiplier effect ya enterprise growth?

Kwanini unaangalia factor moja pekee
 
A
Anaongea Kiingereza zaidi ya ku phont phage, atapata washauri wa uchumi. Mawasiliano ndiyo muhimu hata akienda Zimbabwe watamuelewa.
Acheni uongo Lisu anaongea kiingereza gani cha kutisha hata mjukuu wangu anaongea kiingereza kizuri kuliko huyo bwana
 
Hakuna haja ya matusi huu ni mjadala ni vizuri tujibu kwa hoja.
Trickle down economics zinagusa mambo ya spillover effects yaani mishahara ya hao 3M inaweza chochea uchumi wa hao 47M. Ndio maana dunia hii mabilionea ni wachache sana ila ndio wanawaweka mjini zaidi ya 80% ya nguvu kazi duniani.

Kwahiyo huwezi ogopa kupandisha mshahara kwa kuangalia factor moja tu ya bei kupanda. Vipi kuhusu investment kwenye GDP? Vp faida ya kodi kwa serikali? Vipi multiplier effect ya enterprise growth?

Kwanini unaangalia factor moja pekee
Mkuu trickle down effects ya mishahara haiwezi chochea economic growth, Ni Investments ndio huzalisha trickle down yenye tija, pia uboreshaji wa mnyororo wa thamani huchangia hizo trickle down effects.

Hapa tunaongelea positive effects, lakini Kuna negative effects Kama ufisadi biashara haramu nazo Zina trickle down effects,
 
Kwahiyo mkuu huoni mzunguko mdogo wa pesa ndio umepelekea inflation kushuka. Yaani demand ya baadhi ya bidhaa ilikua ndogo hivo lazima bei zishuke. Ikimaanisha ili purchasing power ikue ni lazima pesa kwa mzunguko iongezwe (ikiwemo mishahara).
Embu angalia hyo inflation kwa jicho jingine ukilinganisha na sera ya uchumi ya hii miaka 5 (Contractual monetary policy)
Uchumi umeshuka kwasababu ya sera za majukwaani ambazo hazina sheria na kanuni za kuzisimamia 'policy uncertanity' you ca not plan a growth of business with policy uncertanity. A government is not a company
 
Nimefuatilia kauli za Lissu akiwa Morogoro mjini, kasema serikali ya JPM haijaongeza mishahara (General salary increment) na yeye akiingia madarakani ataongeza mishahara kulingana na hali ya uchumi ili kupunguza ukali wa maisha..


"Hebu tuangalie ukali wa maisha anaozungumzia Lissu; Mwaka 2015 bei ya mchele ilikuwa 2700 kwa kilo sasa hivi ni 1100, bei ya nyama ilikuwa 8500 sasa hivi 3500, bei ya diesel ilikuwa 2700 sasa hivi 1650, gunia la mahindi lilikuwa 135,000/= sasa hivi 48,000/=, bei ya saruji ilikuwa 27,000/= leo hii 16,500/=, nauli ya daladala 400 na sasa ni hiyohiyo 400. Huo ukali wa maisha anaupima vipi? Au ukali wa maisha uko nyumbani kwake tu? Kimsingi maisha kwa mwananchi wa kawaida yamekuwa nafuu zaidi kuliko 2015 niko tayari kusahihishwa. Lissu akumbuke tumeshaanza kupiga hatua kutoka kwenye umasikini, sasa hivi tuko uchumi wa kati na tunazidi kusonga mbele."

MKUU there are two things that determine the price of commodities these are SUPPLY and DEMAND

As the supply and demand for commodities change, the price of the commodity will also change. The fundamental rule is that commodity prices will rise with increasing demand. Prices will also rise when there is a fall in the overall supply or inventory of a commodity.

On the flip side, the price of a commodity will fall when faced with DECREASING demand and INCREASING supply.

Unaposema bei zime stabilize hii ni kwa kuwa purchasing power imeshuka sana people have no money. outmaticaly bidhaa zitakuwa chini kwa kuwa uzalishaji unaendelea huku hakuna wateja wa kutosha kununua bidhaa kwenye market
 
Hata kemia ya maganda ya korosho Tundu Lissu hakusoma. Lakini sicho kinachompeleka mtu Ikulu. Ikulu ya Tanzania imekaliwa na walimu wa Kiingereza na Kiswahili, mkemia, mwandishi wa habari.

Walikuwa na uelewa gani wa uchumi hawa? You cannot be everything. Kazi ya Rais ni kuwatumia wataalam wake vizuri. It is not about the president but the presidency.
Don't waste your breath....hawa wenye vichwa vilivyojaa maji badala ya ubongo watakuharibia siku tu hakuna wanachokielewa. Lissu amewapanikisha watoto na wazazi wao hadi wanaongea na kuweweseka kama wamekunywa dawa ya uchawi.
 
Ndio maana nikahoji inflation ni bei ya vyakula tu? Interest rate za mikopo ambayo ni moja ya basics kwa wafanyakazi ume consider? Exchange rates ume consider hasa kwa wanaoimport bidhaa nje?
Mkuu ukifanya conclusions ni lazima u factor in variables tofauti.

Ndio maana nikauliza Mzunguko wa pesa ukiwa mdogo inflation itapaa? Nimetoa mfano bei ya mafuta kipindi cha corona demand ilikua chini so bei ikashuka ssa ina maana kulikua hakuna haja ya serikali kuongeza pesa kwenye Mzunguko kisa tu bei ya mafuta ipo chini?

Nieleweshe hapa mkuu
Causes of Inflation
The Money Supply. Inflation is primarily caused by an increase in the money supply that outpaces economic growth. ...
The National Debt. ...
Demand-Pull Effect. ...
Cost-Push Effect. ...
Exchange Rates


Na ukizungumzia exchange rate e.g. ya dollar imekuwa stable at tshs 2,300.00 selling , yaani bei Bank watakayo kuuzia.
Na interest rates zimekuwa at most 17%
And below wakati wa inflation ilikuwa 25% to 27%.
Ukiacha hayo mambo mengine ya demand na prices ya essential items za matumizi ya kibanadamu
 
Nyama kilo shilingi nagapi !!!???? 3500??? You must be kidding!!
 
Mchele wa 1100 ..unaongelea mkoa gani?

Nyama ya 3500...mkoa gani?

cement kwa Dar ni 14,500....13,000 na 13,500 mikoa mingine inafika 20,000.. hapa imeshuka sana kwa Dar japo tunalilia na hako ka jero katoke irudi 14,000

Daladala hutofautiana na umbali lakini 400 ni ya awali..mfano kigamboni 450.

Dar-Mwanza basi zinajaza kama kawaida abiria sita sio kweli.

Diesel na petrol zimeshuka mwaka huu tu nadhan.

pia kafanye research ya bei ya unga...mafuta ya kupikia...vitu vingi vimepanda
Huo mchele ni wa wizi ananunua na hiyo nyama yenye bei hiyo ni nyama ya mbwa.
 
"Hebu tuangalie ukali wa maisha anaozungumzia Lissu; Mwaka 2015 bei ya mchele ilikuwa 2700 kwa kilo sasa hivi ni 1100, bei ya nyama ilikuwa 8500 sasa hivi 3500, bei ya diesel ilikuwa 2700 sasa hivi 1650, gunia la mahindi lilikuwa 135,000/= sasa hivi 48,000/=, bei ya saruji ilikuwa 27,000/= leo hii 16,500/=, nauli ya daladala 400 na sasa ni hiyohiyo 400...
The key point kwenye hiyo demand and supply ni kwamba ktk inflated economy u will consume something over or above normal, ndio hapo viriba tumbo vinapotokea.

Wakati kama huu wa price stability ni kwamba baada ya kupata basic necessities zako bei ipo vile vile au inashuka.
 
Nyama ina cheza kwenye 6,500 mpaka 6,000 toka bei ya 7000 mpaka 8000 kwa dsm
Mchele toka hiyo 2300 kuja 1,800 nk
Nyama siyo 3,500 ametudanganya, kama ulivyosema mkuu bei ni kati ya 6,000 hadi 6,500
 
Nimefuatilia kauli za Lissu akiwa Morogoro mjini, kasema serikali ya JPM haijaongeza mishahara (General salary increment) na yeye akiingia madarakani ataongeza mishahara kulingana na hali ya uchumi ili kupunguza ukali wa maisha...
Kiuhalisia Lissu hajui uchumi simlaumu kwani hajasomea. Yeye anachomekewa mambo ya uchumi kidogo anakurupuka kulaumu.
Bunge lililopita kodi za wafanyakazi zilishushwa maana yake net salary ya mfanyakazi iliongezeka kidogo na kuna unafuu fulani zaidi ulipatikana.

Kuna watu huko nyuma walinufaika sana aidha kwa kuiba, rushwa, ufisadi au walinufaika na mnyororo wa hayo yaani hawakushiriki wao kuiba au rushwa ila kupitia hao walioiba nao walinufaika hivyo ndio wanaopiga kelele huku wamejificha katika mwavuli wa siasa.

Awaambie hao wanaomchomekea wamfundishe namna atakavyoongeza GDP ili mapato ya serikali ambayo ni kama aslimia 12 - 14 ya GDP yawe makubwa zaidi ili alipe mishahara, madeni na aweze kubakiwa na hela ya kugharimia vipaumbele vyake. Lakini kwa GDP hii hawezi kulipa hiyo anayodai mishahara mizuri huku akijinasibu kupunguza kodi kwa wafanyabiashara.

Maisha mazuri hayaji kwa kusema tu bali kwa mikakati makini kama iliyofanywa na serikali ya JPM mfano kujenga miundombinu ya uchumi kama umeme wa uhakika, barabara na reli. Kama ingeruhusiwa kimpiga maswali hapo jukwaani anapodanganya watu mbona angeumbuka.
 
Hebu tuangalie ukali wa maisha anaozungumzia Lissu; Mwaka 2015 bei ya mchele ilikuwa 2700 kwa kilo sasa hivi ni 1100, bei ya nyama ilikuwa 8500 sasa hivi 3500, bei ya diesel ilikuwa 2700 sasa hivi 1650, gunia la mahindi lilikuwa 135,000/= sasa hivi 48,000/=, bei ya saruji ilikuwa 27,000/= leo hii 16,500/=, nauli ya daladala 400 na sasa ni hiyohiyo 400. Huo ukali wa maisha anaupima vipi? Au ukali wa maisha uko nyumbani kwake tu? Kimsingi maisha kwa mwananchi wa kawaida yamekuwa nafuu zaidi kuliko 2015 niko tayari kusahihishwa. Lissu akumbuke tumeshaanza kupiga hatua kutoka kwenye umasikini, sasa hivi tuko uchumi wa kati na tunazidi kusonga mbele.
Mkuu upo mkoa gani?

Kwa Dar Mchele wa 2000 kwama 2015 ndio ulikuwa Super ,kwasasa Mchele Super ni 2800/= sijui huo wa 1,000/= labda ule wa kupikia vitumbua(Chenga).

Nyama 2015 ilikuwa kilo moja 5000/= kwasasa ni 6000 mpaka 7000/=

Sijui upo sehemu gani hiy0 48,000 gunia unazungumzia kwa mkulima kabisa au dukani kwa mangi? Kwasasa Gunia ni 100,000/=

Saruji haijawahi kufika 27000 labda mkoani ila Dar ni kweli imshuka 13500 hadi 14000/= 42,5N/32.5N
 
Back
Top Bottom