Kumbuka wafanyakazi wa mshahara wako 3m tu Hawa 47m tunawafidiaje? Hivi ikili yako iko timamu? Unataka tuongeze mishahara ili vitu vipande Bei kweli?Kwahiyo mkuu huoni mzunguko mdogo wa pesa ndio umepelekea inflation kushuka. Yaani demand ya baadhi ya bidhaa ilikua ndogo hivo lazima bei zishuke. Ikimaanisha ili purchasing power ikue ni lazima pesa kwa mzunguko iongezwe (ikiwemo mishahara).
Embu angalia hyo inflation kwa jicho jingine ukilinganisha na sera ya uchumi ya hii miaka 5 (Contractual monetary policy)
Sheria inasema salary increment itafanywa kulingana na hali ya uchumi
Hakuna haja ya matusi huu ni mjadala ni vizuri tujibu kwa hoja. Trickle down economics zinagusa mambo ya spillover effects yaani mishahara ya hao 3M inaweza chochea uchumi wa hao 47M. Ndio maana dunia hii mabilionea ni wachache sana ila ndio wanawaweka mjini zaidi ya 80% ya nguvu kazi duniani.Kumbuka wafanyakazi wa mshahara wako 3m tu Hawa 47m tunawafidiaje? Hivi ikili yako iko timamu? Unataka tuongeze mishahara ili vitu vipande Bei kweli?
Acheni uongo Lisu anaongea kiingereza gani cha kutisha hata mjukuu wangu anaongea kiingereza kizuri kuliko huyo bwanaAnaongea Kiingereza zaidi ya ku phont phage, atapata washauri wa uchumi. Mawasiliano ndiyo muhimu hata akienda Zimbabwe watamuelewa.
Mkuu trickle down effects ya mishahara haiwezi chochea economic growth, Ni Investments ndio huzalisha trickle down yenye tija, pia uboreshaji wa mnyororo wa thamani huchangia hizo trickle down effects.Hakuna haja ya matusi huu ni mjadala ni vizuri tujibu kwa hoja.
Trickle down economics zinagusa mambo ya spillover effects yaani mishahara ya hao 3M inaweza chochea uchumi wa hao 47M. Ndio maana dunia hii mabilionea ni wachache sana ila ndio wanawaweka mjini zaidi ya 80% ya nguvu kazi duniani.
Kwahiyo huwezi ogopa kupandisha mshahara kwa kuangalia factor moja tu ya bei kupanda. Vipi kuhusu investment kwenye GDP? Vp faida ya kodi kwa serikali? Vipi multiplier effect ya enterprise growth?
Kwanini unaangalia factor moja pekee
Kwa nini ukimbilie tu kwa mjukuu na wewe je!!A
Acheni uongo Lisu anaongea kiingereza gani cha kutisha hata mjukuu wangu anaongea kiingereza kizuri kuliko huyo bwana
Uchumi umeshuka kwasababu ya sera za majukwaani ambazo hazina sheria na kanuni za kuzisimamia 'policy uncertanity' you ca not plan a growth of business with policy uncertanity. A government is not a companyKwahiyo mkuu huoni mzunguko mdogo wa pesa ndio umepelekea inflation kushuka. Yaani demand ya baadhi ya bidhaa ilikua ndogo hivo lazima bei zishuke. Ikimaanisha ili purchasing power ikue ni lazima pesa kwa mzunguko iongezwe (ikiwemo mishahara).
Embu angalia hyo inflation kwa jicho jingine ukilinganisha na sera ya uchumi ya hii miaka 5 (Contractual monetary policy)
Nimefuatilia kauli za Lissu akiwa Morogoro mjini, kasema serikali ya JPM haijaongeza mishahara (General salary increment) na yeye akiingia madarakani ataongeza mishahara kulingana na hali ya uchumi ili kupunguza ukali wa maisha..
Don't waste your breath....hawa wenye vichwa vilivyojaa maji badala ya ubongo watakuharibia siku tu hakuna wanachokielewa. Lissu amewapanikisha watoto na wazazi wao hadi wanaongea na kuweweseka kama wamekunywa dawa ya uchawi.Hata kemia ya maganda ya korosho Tundu Lissu hakusoma. Lakini sicho kinachompeleka mtu Ikulu. Ikulu ya Tanzania imekaliwa na walimu wa Kiingereza na Kiswahili, mkemia, mwandishi wa habari.
Walikuwa na uelewa gani wa uchumi hawa? You cannot be everything. Kazi ya Rais ni kuwatumia wataalam wake vizuri. It is not about the president but the presidency.
Causes of InflationNdio maana nikahoji inflation ni bei ya vyakula tu? Interest rate za mikopo ambayo ni moja ya basics kwa wafanyakazi ume consider? Exchange rates ume consider hasa kwa wanaoimport bidhaa nje?
Mkuu ukifanya conclusions ni lazima u factor in variables tofauti.
Ndio maana nikauliza Mzunguko wa pesa ukiwa mdogo inflation itapaa? Nimetoa mfano bei ya mafuta kipindi cha corona demand ilikua chini so bei ikashuka ssa ina maana kulikua hakuna haja ya serikali kuongeza pesa kwenye Mzunguko kisa tu bei ya mafuta ipo chini?
Nieleweshe hapa mkuu
Huo mchele ni wa wizi ananunua na hiyo nyama yenye bei hiyo ni nyama ya mbwa.Mchele wa 1100 ..unaongelea mkoa gani?
Nyama ya 3500...mkoa gani?
cement kwa Dar ni 14,500....13,000 na 13,500 mikoa mingine inafika 20,000.. hapa imeshuka sana kwa Dar japo tunalilia na hako ka jero katoke irudi 14,000
Daladala hutofautiana na umbali lakini 400 ni ya awali..mfano kigamboni 450.
Dar-Mwanza basi zinajaza kama kawaida abiria sita sio kweli.
Diesel na petrol zimeshuka mwaka huu tu nadhan.
pia kafanye research ya bei ya unga...mafuta ya kupikia...vitu vingi vimepanda
The key point kwenye hiyo demand and supply ni kwamba ktk inflated economy u will consume something over or above normal, ndio hapo viriba tumbo vinapotokea."Hebu tuangalie ukali wa maisha anaozungumzia Lissu; Mwaka 2015 bei ya mchele ilikuwa 2700 kwa kilo sasa hivi ni 1100, bei ya nyama ilikuwa 8500 sasa hivi 3500, bei ya diesel ilikuwa 2700 sasa hivi 1650, gunia la mahindi lilikuwa 135,000/= sasa hivi 48,000/=, bei ya saruji ilikuwa 27,000/= leo hii 16,500/=, nauli ya daladala 400 na sasa ni hiyohiyo 400...
Nyama ina cheza kwenye 6,500 mpaka 6,000 toka bei ya 7000 mpaka 8000 kwa dsmNyama kilo shilingi nagapi !!!???? 3500??? You must be kidding!!
Hao wanauziwa nyama za mbwa koko wanaorandaranda mtaani tu. Mbuzi anayetembea anauzwa 80 - 100k halafu uuze kilo 3500? Halafu wanamsema mtu hajui uchumi [emoji23][emoji23]Wapi mnanunua nyama 3500? nihamie huko.
Nyama siyo 3,500 ametudanganya, kama ulivyosema mkuu bei ni kati ya 6,000 hadi 6,500Nyama ina cheza kwenye 6,500 mpaka 6,000 toka bei ya 7000 mpaka 8000 kwa dsm
Mchele toka hiyo 2300 kuja 1,800 nk
Kiuhalisia Lissu hajui uchumi simlaumu kwani hajasomea. Yeye anachomekewa mambo ya uchumi kidogo anakurupuka kulaumu.Nimefuatilia kauli za Lissu akiwa Morogoro mjini, kasema serikali ya JPM haijaongeza mishahara (General salary increment) na yeye akiingia madarakani ataongeza mishahara kulingana na hali ya uchumi ili kupunguza ukali wa maisha...
Mkuu upo mkoa gani?Hebu tuangalie ukali wa maisha anaozungumzia Lissu; Mwaka 2015 bei ya mchele ilikuwa 2700 kwa kilo sasa hivi ni 1100, bei ya nyama ilikuwa 8500 sasa hivi 3500, bei ya diesel ilikuwa 2700 sasa hivi 1650, gunia la mahindi lilikuwa 135,000/= sasa hivi 48,000/=, bei ya saruji ilikuwa 27,000/= leo hii 16,500/=, nauli ya daladala 400 na sasa ni hiyohiyo 400. Huo ukali wa maisha anaupima vipi? Au ukali wa maisha uko nyumbani kwake tu? Kimsingi maisha kwa mwananchi wa kawaida yamekuwa nafuu zaidi kuliko 2015 niko tayari kusahihishwa. Lissu akumbuke tumeshaanza kupiga hatua kutoka kwenye umasikini, sasa hivi tuko uchumi wa kati na tunazidi kusonga mbele.