Sijamzungumzia JPM kwani sijamsikia, mie naeleza niliyoyasikia kwa lissuTatizo ni kwamba ili topic yako ipate mvuto lazima kumtaja Lissu π kwanini usiweke topic yenye jina la Magufuli kuhusu kujua uchumi ππ hii inaonyesha nguvu ya mtu
Hebu tuangalie ukali wa maisha anaozungumzia Lissu; Mwaka 2015 bei ya mchele ilikuwa 2700 kwa kilo sasa hivi ni 1100, bei ya nyama ilikuwa 8500 sasa hivi 3500, bei ya diesel ilikuwa 2700 sasa hivi 1650, gunia la mahindi lilikuwa 135,000/= sasa hivi 48,000/=, bei ya saruji ilikuwa 27,000/= leo hii 16,500/=, nauli ya daladala 400 na sasa ni hiyohiyo 400. Huo ukali wa maisha anaupima vipi? Au ukali wa maisha uko nyumbani kwake tu? Kimsingi maisha kwa mwananchi wa kawaida yamekuwa nafuu zaidi kuliko 2015 niko tayari kusahihishwa. Lissu akumbuke tumeshaanza kupiga hatua kutoka kwenye umasikini, sasa hivi tuko uchumi wa kati na tunazidi kusonga mbele.
Sasa hapa naona unachanganya madesaYou might be right lakini hapo kumbuka umeangalia kwa kikundi tu cha watumishi lakini hujaangalia mzunguko wa pesa kwa ujumla na jinsi inaweza kushusha inflation.
Tuwe wakweli tu Currency in circulation + Demand deposits ni ndogo kulinganisha na namba ya watu kwahiyo ni lazima tu inflation cjui interest rate zishuke sababu zitapandaje na demand hamna.
Kwahiyo nadhani kwa upande mwingine hyo inflation sio indicator kwamba uchumi upo vizuri sana bali ni kwamba watu hawana hela sababu ya sera ya fedha ya sasa.
Ndio maana nimeuliza hapo je umeangalia issue ya mzunguko wa fedha kwanza? Ni sawa na marekani wao wananunua nje kuliko wanavyouza? Yaani imports zinazidi exports? Kwa Tz ingeonekana ni uzalishaji kupungua ila kwa US inaonyesha wananchi wana pesa ndio maana wanaimport sana ama issue ya opportunity cost and so on.
Tukijua chanzo cha hiyo inflation ndio utaona umuhimu wa mishahara kupanda.
Tuache kudanganya watu sheria namba 6 na kanuni zake za 2007 na sheria namba 8 ya 2006 hamna kipengele cha nyongeza ya lazima ya mshahara ya mwaka, pitia kifungu namba 26 na 27 cha sheria ya kazi namba 8 ya 2006 kinachozungumzia mshahara hiyo nyongeza haipo, labda lissu atueleze ni sheria ipi aliyokuwa akiizungumziaUnakata kutwambia sheria ya nchi inayoelekeza annual increment imekosewa? Je nayo ilitungwa na Lissu? Acheni kutapatapa... Hata Rungwe, Muttamwega, Lipumba ni wagombea nao. Wanastahili kuongelewa na kuletewa post hapa pia.
Acha ujinga+ upuuziNimefuatilia kauli za Lissu akiwa Morogoro mjini, kasema serikali ya JPM haijaongeza mishahara (General salary increment) na yeye akiingia madarakani ataongeza mishahara kulingana na hali ya uchumi ili kupunguza ukali wa maisha. Ni kweli "General increment" kwenye salary adjustment hufanyika pale mfumuko wa bei unapokuwa 7.8 na kuendelea hizo ndio hesabu za macro economic perspective. Kwa sasa mfumuko wa bei wa ujumla upo chini ya 3.4 hivyo kwa mahesabu ya kiuchumi huwezi kufanya "salary adjustment". Hizi ni kanuni za kiuchumi sio common sense tu.
Hebu tuangalie ukali wa maisha anaozungumzia Lissu; Mwaka 2015 bei ya mchele ilikuwa 2700 kwa kilo sasa hivi ni 1100, bei ya nyama ilikuwa 8500 sasa hivi 3500, bei ya diesel ilikuwa 2700 sasa hivi 1650, gunia la mahindi lilikuwa 135,000/= sasa hivi 48,000/=, bei ya saruji ilikuwa 27,000/= leo hii 16,500/=, nauli ya daladala 400 na sasa ni hiyohiyo 400. Huo ukali wa maisha anaupima vipi? Au ukali wa maisha uko nyumbani kwake tu? Kimsingi maisha kwa mwananchi wa kawaida yamekuwa nafuu zaidi kuliko 2015 niko tayari kusahihishwa. Lissu akumbuke tumeshaanza kupiga hatua kutoka kwenye umasikini, sasa hivi tuko uchumi wa kati na tunazidi kusonga mbele.
Lissu akumbuke muda sio mrefu tumehangaika na janga la corona, walimu wamekaa majumbani miezi sita na bado wamelipwa mishahara kama kawaida, leo kuna malori yameegeshwa uganda kwa kuzuiliwa karantini, madereva wanalipwa mishahara posho na wanalipia maegesho na yanapigwa girisi kila siku tuongeze mishahara kutoka wapi? Leo hii bus linatoka Dar Mwanza na abiria sita na linarudi na abiria wanne tuongeze mishahara kutoka wapi, namshauri aangalie uhalisia wa yale anayoyaongea asijepotosha watu.
Lissu akumbuke uchumi wetu ni mdogo, ndio juzi tumeingia uchumi wa kati, viwanda vyetu ni "labor intensive" ukiongeza mishahara maana yake gharama za uzalishaji ziongezeke na final product ipande bei, vitu vikipanda bei maana yake mfumuko wa bei umepanda, hiyo inaitwa "multiplier effect" kwa sasa kinachofanyika ni ku stabilize life style ili fedha kidogo tunayopata ipangike inaitwa "household budget efficiency"
Lissu atueleze huko Ubelgiji kakaa miaka mitatu wabelgiji wamepandishiwa mishahara mara ngapi? au wao hawana ukali wa maisha? Lissu nimkumbushe, kumefanyika salary adjustment nyingi amuulize mnyika, kuna vigogo walijilipa hadi 40m kwa mwezi kama mishahara, vikao vya wakurugenzi vilivyokuwa vikifanyika Dubai na Hongkong havipo tena, ziara za wabunge kwenda kuangalia mitaa Dubai hazipo tena labda ndio huo ukali wa maisha anao uzungumzia.
Nimefuatilia kauli za Lissu akiwa Morogoro mjini, kasema serikali ya JPM haijaongeza mishahara (General salary increment) na yeye akiingia madarakani ataongeza mishahara kulingana na hali ya uchumi ili kupunguza ukali wa maisha. Ni kweli "General increment" kwenye salary adjustment hufanyika pale mfumuko wa bei unapokuwa 7.8 na kuendelea hizo ndio hesabu za macro economic perspective. Kwa sasa mfumuko wa bei wa ujumla upo chini ya 3.4 hivyo kwa mahesabu ya kiuchumi huwezi kufanya "salary adjustment". Hizi ni kanuni za kiuchumi sio common sense tu.
Hebu tuangalie ukali wa maisha anaozungumzia Lissu; Mwaka 2015 bei ya mchele ilikuwa 2700 kwa kilo sasa hivi ni 1100, bei ya nyama ilikuwa 8500 sasa hivi 3500, bei ya diesel ilikuwa 2700 sasa hivi 1650, gunia la mahindi lilikuwa 135,000/= sasa hivi 48,000/=, bei ya saruji ilikuwa 27,000/= leo hii 16,500/=, nauli ya daladala 400 na sasa ni hiyohiyo 400. Huo ukali wa maisha anaupima vipi? Au ukali wa maisha uko nyumbani kwake tu? Kimsingi maisha kwa mwananchi wa kawaida yamekuwa nafuu zaidi kuliko 2015 niko tayari kusahihishwa. Lissu akumbuke tumeshaanza kupiga hatua kutoka kwenye umasikini, sasa hivi tuko uchumi wa kati na tunazidi kusonga mbele.
Lissu akumbuke muda sio mrefu tumehangaika na janga la corona, walimu wamekaa majumbani miezi sita na bado wamelipwa mishahara kama kawaida, leo kuna malori yameegeshwa uganda kwa kuzuiliwa karantini, madereva wanalipwa mishahara posho na wanalipia maegesho na yanapigwa girisi kila siku tuongeze mishahara kutoka wapi? Leo hii bus linatoka Dar Mwanza na abiria sita na linarudi na abiria wanne tuongeze mishahara kutoka wapi, namshauri aangalie uhalisia wa yale anayoyaongea asijepotosha watu.
Lissu akumbuke uchumi wetu ni mdogo, ndio juzi tumeingia uchumi wa kati, viwanda vyetu ni "labor intensive" ukiongeza mishahara maana yake gharama za uzalishaji ziongezeke na final product ipande bei, vitu vikipanda bei maana yake mfumuko wa bei umepanda, hiyo inaitwa "multiplier effect" kwa sasa kinachofanyika ni ku stabilize life style ili fedha kidogo tunayopata ipangike inaitwa "household budget efficiency"
Lissu atueleze huko Ubelgiji kakaa miaka mitatu wabelgiji wamepandishiwa mishahara mara ngapi? au wao hawana ukali wa maisha? Lissu nimkumbushe, kumefanyika salary adjustment nyingi amuulize mnyika, kuna vigogo walijilipa hadi 40m kwa mwezi kama mishahara, vikao vya wakurugenzi vilivyokuwa vikifanyika Dubai na Hongkong havipo tena, ziara za wabunge kwenda kuangalia mitaa Dubai hazipo tena labda ndio huo ukali wa maisha anao uzungumzia.
TanzaniaKama huo uchumi unaousema hapa uliusomea darasani nakushauri nenda kadai ada yako uliitupa bure aseee!
Salary increment ipo kisheria haijalishi hali Ni nzuri au ni mbaya kiasi gani. Unapoongelea suala la petrol na dizel kushuka bei ila haijatokea kwa sababu ya Sera za jpm na serikali yake ile ilitokea kipindi kile cha corona pandemic kama unakumbuka hata marekani ilishuka ikawa -$ so ile ilitokea worldwide.
Pia umesema Bei ya gunia la mahindi kushuka Bei ile pia huwa inatokana na hali ya hewa kwa mfano mwaka Jana gunia la mahindi la kg 100 liliuzwa hadi tsh125,000.
Je huo mwaka Ni lissu ndo alikua madarakani? Mchele Bei ukifika hadi 2500 @kg kwahy kushuka Bei ni kwa sababu msimu huu mvua zilinyesha nyingi so hili halitegemei Sera za Ccm.
Tukihamia kwenye inflation sio 3% unavosema wewe toka utawala wa mkapa mpaka utawala wa magufuli Ni awamu hii ndo inflation imekua kubwa kuliko awamu mbili zilizopita.
Sitaki kuongelea Bei ya vitu kama sukari, bati, Nondo, Saruji Bei imepanda Mara dufu hayo ndo matokeo ya Sera mbovu za jpm
Mwisho Lissu Ni mtaalam wa sheria yeye kutokujua uchumi sio tatizo akiwa rais atatumia wataalam wa uchumi na mambo yatakwenda
#Ni yeye 2020
Well said!Kwa hiyo hali ya uchumi ni mbaya? "You cannot eat your cake and have it" - Waingereza. Hauwezi kujitapa kuwa umekuza uchumi halafu kwenye kuongeza mishahara ukasema uchumi hauruhusu. Kama ni mahakamani utafungwa hata kama haukufanya kosa.
Lisu katengeneza watetezi huru, mtu anaamua tu kujitoa ufahamu. Hata kama alikua na hoja kwa kuorodhesha bei za bidhaa zake zinafanya hoja yake kuwa mfu.Aliyeleta hii mada bila shaka atakuwa ni mlevi sana au anaishi kwa baba mdogo na kulishwa bure. Eti nyama kilo shilingi 3,500/- ! Labda za Kenya.
jamaa anakula na kulala kwa dada yake huyoWapi mnanunua nyama 3500? nihamie huko.
Kwa hiyo hali ya uchumi ni mbaya? "You cannot eat your cake and have it" - Waingereza. Hauwezi kujitapa kuwa umekuza uchumi halafu kwenye kuongeza mishahara ukasema uchumi hauruhusu. Kama ni mahakamani utafungwa hata kama haukufanya kosa.