Uelewa wa Ulimwengu unatisha Maajabu ya Jua (Sun) nilichoona 5-march-2018 huenda kuna mabadiliko makubwa kila uchao.

Mkuu kama ni kweli endelea kufanya tafiti ila kama ulivuta mmea basi hio ni kawaida sana
 
Umeua lens kaka huwezi uka idirect camera yako direct to sunlight kama haikutengenezwa for that purpose
 
Ni kweli lakini lakini lazima kuna kitu na uelewa umezidiana huenda kuna anaye fahamu zaidi kufafanua ni kitu gani.
kuhusu camera umeiua kaka huwezi ukai direct camera yako straight towards the sun lens inakufa
Kuna special telescopes na camera za kufanya hivo
 
Mkuu hii ni picha ya Jua (sun) huwa sioni tundu lolote hapo.
And kuhusu tundu katika jua kuna phenomena tunaiita solar flare ni kama jua linalipuka hivii and it is associated with high emission of gamma radiations ( which in turn increase the surface temperature of the sun than normal ) inapotokea solar flare ni kama ugali unatokota vile sasa just imagine it at a larger scale utaona kama shimo
Astro telescope zinarecord sana hayo matukio buh tarehe tano march sijasikia kama kuna solar flare ya scale kubwa hivo hadi kuiona na macho ilitokea ngoja nika google au kucheki website ya NASA coz hawawezi kosa tukio kama hilo

So ukitaka kujua more of ur experience ni hivo that event is called a solar flare
And nimekwambia haya yote provided what you said is true


Kuhusu wanao kuzingua kwenye nyuzi yako hii achana nao they have no clue in astrophysics and cosmology
 
Tarehe tano march the sun was blank View attachment 711141

But tarehe nane kweli there were solar winds seen but hayo matukio ni ya kawaida they are of lower scale
 
Mkuu Mimi nilishuhudia ninanachosema ni ukweli mtupu
 
Asante mkuu nimekuelewa nitaendelea kutafta ufafanuzi nikipata jibu nitaleta jamvini.
 
Wewe unafanya utafiti huo kwa ajili ya nani na unamanufaa gani kwa taifa hili ambalo halina taasisi yoyote inayojishughulisha na Sayasi ya Anga za juu?
Mkuu hata hao wenye vyombo huko angani walianza taratibu ili kufika huko walipo
Natumai kufikia 2030 tutakuwa na satellite ktk anga ya dunia ndipo itatusaidia kufanya utafiti wa kina.
 
Mkuu nilichoandika ni ukweli sina haja ya kudanganya umma Mimi ni mtu ninaye jitambua ingekuwa joke ningepeleka majukwaa husika nisingeleta huku.
 
Mkuu yaani ni ukweli mtupu nilichoona ndiyo nilichoandika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…