Uelewa wa Ulimwengu unatisha Maajabu ya Jua (Sun) nilichoona 5-march-2018 huenda kuna mabadiliko makubwa kila uchao.

Mimi naamini umeona hiyo kitu, lakini kuungua kamera ya kidigitali hadi memory Card hapo kisayansi inahitaji maelezo ya kutosha.

Peleka Camera kwa wanasayansi pale DIT au UDSM au UDOM waifanyie uchunguzi wa kisayansi.
Kuna mtu tayali tumekubaliana aifanyie kazi kufahamu nini kimeendelea!?
 
Umeua lens kaka huwezi uka idirect camera yako direct to sunlight kama haikutengenezwa for that purpose
Ni kweli ila kuna mtaalaam ameichukua kuifanyia utafiti wa kina na hatimaye tutajua nini chanzo ila unachosema inawezekana ndiyo kitakachoonekana majibu yakitoka.
 
kuhusu camera umeiua kaka huwezi ukai direct camera yako straight towards the sun lens inakufa
Kuna special telescopes na camera za kufanya hivo
Ni kweli ila kuna mtaalaam ameichukua kuifanyia utafiti wa kina na hatimaye tutajua nini chanzo ila unachosema inawezekana ndiyo kitakachoonekana majibu yakitoka.
 
Asante sana kwa kunipa mwanga zaidi ngoja nami ni google NASA kuona hiki unachosema
Tayali nimepata mwelekeo
 
Tarehe tano march the sun was blank View attachment 711141

But tarehe nane kweli there were solar winds seen but hayo matukio ni ya kawaida they are of lower scale
Mkuu asante kwa mchango wako ngoja niendelee kuperuzi google haya mambo nizidi kupata elimu zaidi
Mungu azidi kukupa nguvu na afya walau kiasi nimeanza mwanga.
 
fala wewe acha uongo
 
Mkuu ile haikuwa hadith ni ukweli mtupu
Hata hii ya juzi ni kweli labda tatizo ni maisha yangu na mikasa ninayokutana nayo imenifanya nionekane wa ajabu.
Naomba kukujua zaidi.

Kama hutajali.
 
Ulivuta bangi tu ikakuzingua. Hiyo ni hali ya kawaida kwa mabadiliko ya sasa hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…