Uendeshaji wa boda boda na baiskeli kwa muda mrefu unapunguza nguvu za kiume; waendesha boda boda kuweni makini

Kweli Mkuu,
Ni vzr mtu ajue ukweli.
Suala la kuufanyia kazi ni juu yake.
Ahsante sana
Mkuu kuna vitu watu wanasita kuvizungumzia kwa uwazi ijapokuwa kwa sasa vipo kwa wingi katika jamii yetu ya Kitanzania. "Moral rejuvenation" imefikia kiwango cha kutisha, huku kukiwa na "misconception" kuwa ushoga ni kwa upande wa wanaume tu.

Upande wa wanawake hauzumgumzi kwa uwazi ijapokuwa tunatambua kiwango cha kutisha cha ukahaba. Na mtazamo juu ya ukahaba unaangaliwa kama dalili za tatizo wala siyo kama matokeo ya tatizo sugu lililopo. Malaya wengine hawatumiki kwa ajili ya kujipatia kipato haramu, wengine ni kwa kuwa hawatoshelezwi na wenzi wao.

Hivi kwa nini hatujiulizi kwa nini kumetokea soko kubwa la "dildo" hivi sasa hapa nchini!? Tena nyingine hata za mitumba zikiuzwa hadharani. Hii ni kwa sababu wakina mama wameamua kujipimia wao wenyewe, kwa kuwa wenzi wao wanawaangusha wawapo kwenye sita kwa sita.

Mambo yanayoathiri "libido" ni lazima yaongelewe kwa uwazi, vijana wa kiume washauriwe kuzingatia mambo ya ushauri nasaha, na vijana wawe wanahudhuria mara kwa mara ili wapate utulivu wa kiakili wawapo ndani eneo la kujidai. Wale lishe bora na yenye virutubisho, na pia wafanye mazoezi ya kutosha. Kukwepa kufanya hivyo wataishia kutumia vumbi la Kongo, kunywa supu ya pweza na ngisi, kuweka ugolo kwenye dudu zao, kutafuta stimu kupitia bange, n.k. lakini "performance" bado itabakia kuwa "zero".
 
Tena sana!
Japo kwa nje huonekana boda boda wengi ni malaya, lakini ukiwafuatilia, wengi wao wanasumbuliwa na matatizo ya upungufu wa nguvu za kiume.
So sad!
Tunajiboost na double kick na visungura tukiwa na game na ndio maana tunazikimbiza kamguu kakiwa kamening'inia
 
Umekosea sana, achana na sisi waendesha baisikeli naona hutujui na unaongellea kwenye keyboard [emoji446]
 
Wewe stagliptin kwa sababu ni mgonjwa wa sukari, unaweza pia kuwa na changamoto hii ya upungufu wa nguvu za kiume. Lakini kwa vijana wengi ambao kazi zao ni za bodaboda, wengi huja na hili tatizo!
Kwa kuongezea tu pamoja na hofu ya vitu visivyoonekana nayo inapelekea presha sukari na upungufu wa nguvu.

Matatizo mengi kwenye hii sekta ni akili tu 'psychosomatic' kuliko hata hizo sababu za kuumiza mishipa 'organic'

Ni kweli boda na baskeli vinaweza kuumiza hiyo mishipa. Lakini hii inachangia kiasi kidogo sana katika nguvu za kiume kuliko akili hofu na kujiamini/dharau.
sitagliptin fuata sayansi zaidi kuliko imani, japo imani pia usiiache
 
Nilichogundua Kila kitu hapa duniani kinamaliza nguvu za kiume.
 
Boda ndo wanaongoza juntandua wale wanaosema "nina bodaboda wangu"
 
Nitaacha kuendesha Bodaboda si kwasababu sina Nguvu za kiume bali inachosha sana.


Nguvu za kiume kwa upande wangu hazijawahi kupungua na kiukweli napiga mikwaju hadi sometimes namuonea huruma muhusika!.
 
Hapo itoe baiskeli haizalishi joto SAwa na pikipiki la kuleta madhara kwenye korodani
 
Si ninao mashemeji zangu ambao waume zao kazi ni hiyo ya kuendesha baiskeli?!
Naomba ieleweke kwamba sijakurupuka kuuleta huu uzi hapa jamvini.
Ni uzi ambao nimeumefanyia utafiti kwa muda wa miaka 7!
Utafiti wa kwenye kahawa
 
Nitaacha kuendesha Bodaboda si kwasababu sina Nguvu za kiume bali inachosha sana.


Nguvu za kiume kwa upande wangu hazijawahi kupungua na kiukweli napiga mikwaju hadi sometimes namuonea huruma muhusika!.
Hutumii njia mbadala ya kuongeza nguvu za kiume?!
 
Labda Mkuu, maana hata hivyo tuko tofauti. Japo najua kuna kitu unaficha.
 
Wanawake nasikia wanaweka pia hadi ugolo kwenye naniliu zao ili tu kujilidhisha wao wenyewe, maana kama ulivyoongea, wanaume wengi wamekuwa Wachovu sana kuwasaidia wenzi wao kufikia raha ambayo kila mwanamke huwa anaitamani kuipata!
 
Ahsante kwa ufafanuzi Mkuu, bila shaka jamaa yetu atakuwa amekuelewa kwa kiasi fulani
 
PIA HUMALIZA MAKALIO na mwisho BODABODA ni LAANA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…