Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Wamerudi wengine nilikutana nao wapo nyuma ya fusso moja wale walikua wanawakimbiza wake vijana wa boda boda wanaobeba vitenge kupeleka mbeya usiku sio fusso ilikua aibu kusema walikua wanakimbiza vitenge tuu na wakiwakamata walikua wanachukua vitenge vinakua mali yao hawavipeleki popote..Kuna wale taskforce wa TUNDUMA walikwisha wote kwenye Ajali, kisa? Eti wanafukuza fuso wanadai limebeba Magendo
Na Gari wamajua ni ya nani as long imesajiliwa, TIN Ina details zote za mmiliki hata Kampuni olio ingiza na kuclear wanaijuaOna sasa, kwani wanashindwa kuwasiliana na trafiki kwamba gari namba fulani izuien hapo
Hahahaha wanashonwa bila ganzi.😀😀😀Ulafi wao umewaponza, saafi sana Sana. KAZI nzuri kabisa aiseeee. Saa hizi wanashonwa bila ganzi Huko, twende KAZI.
Ni sahihi. Hatuwezi kuwa tunatekwa na kuuliwa kama kumbikumbi kila siku.Walitakiwa kuchomwa moto
Wasio julikana wanapo julikana ujitetea kwa kujitambulisha kwa kazi zao halisi ...tukumbuke hao wasio julikana ni vikosi vya selikali ya ccm .View attachment 3170012
UFAFANUZI KUHUSU SHAMBULIO LA GARI NA WATUMISHI WA TRA KATIKA ENEO LA TEGETA (Kwa Ndevu)
Dar es Salaam, 06 Desemba, 2024:
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inasikitika kuutarifu Umma kwamba gari yake yenye namba za usajili STL 9923, ikiwa na Watumishi watatu katika doria za kawaida za udhibiti na ukamataji wa magendo na magari yaliyoingia nchini kinyume na taratibu za Forodha na kutolipiwa ushuru, imeshambuliwa na watumishi kuumizwa katika eneo la Tegeta kwa Ndevu, tarehe 05 Disemba, 2024, usiku.
Kadhia hii imetokea baada ya watumishi wa TRA kubaini kwamba gari namba T229 DHZ aina ya BMW X6 ilioingizwa nchini kinyemela bila kulipa kodi za serikali stahiki kwa mujibu wa sheria na kuifuatilia kwa lengo la kuikamata ili kuchukua hatua stahiki kwa mujibu wa sheria za kodi.
Wakati Watumishi wa TRA wanatimiza wajibu wao, walihusishwa na kitendo cha utekaji, kilichopelekea wao na gari kushambuliwa.
Mamlaka ya Mapato Tanzania, inawapa pole watumishi wake waliojeruhiwa wakiwa wanatimiza wajibu wao, pamoja na wengine wote waliojeruhiwa katika kadhia hii, na kuwaombea wapone kwa haraka.
Mamlaka ya Mapato Tanzania inauhakikishia umma kuendelea kutimiza wajibu wake kwa mujibu wa sheria.
"Pamoja Tunajenga Taifa Letu"
Imetolewa na;
IDARA YA ELIMU KWA MLIPAKODI NA MAWASILIANO
Pia Soma: Tegeta, Dar: ‘Wasiojulikana’ washambuliwa na wananchi kwa mawe
Ujinga wa hali ya juu kama wanafanya kazi namna hii. Wamevuna walichopanda.Hii ni ngeni kwako? Fatilia vizuri hao jamaa wana operations zao, wapelelezi, intelejensia yao na wanakamata vilevile, haijalishi siku wala masaa.
Huyo wa mbele kwenye profile picha yako ndio eewe?😀😀😀 We jamaa lofa sana. Nimecheka sana kuiona hiyo picha.Wataalamu wetu JF wapo wanafuatilia kumfaham Mmiliki wa BMW na kupata uhakika kama hajihusishi na Siasa na Pia kama Gari yake kweli haijalipiwa kodi stahiki.
Tusubiri mrejesho
#HadiWajulikane
TRA tangu lini wanafanya kazi ya polisi?View attachment 3170012
UFAFANUZI KUHUSU SHAMBULIO LA GARI NA WATUMISHI WA TRA KATIKA ENEO LA TEGETA (Kwa Ndevu)
Dar es Salaam, 06 Desemba, 2024:
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inasikitika kuutarifu Umma kwamba gari yake yenye namba za usajili STL 9923, ikiwa na Watumishi watatu katika doria za kawaida za udhibiti na ukamataji wa magendo na magari yaliyoingia nchini kinyume na taratibu za Forodha na kutolipiwa ushuru, imeshambuliwa na watumishi kuumizwa katika eneo la Tegeta kwa Ndevu, tarehe 05 Disemba, 2024, usiku.
Kadhia hii imetokea baada ya watumishi wa TRA kubaini kwamba gari namba T229 DHZ aina ya BMW X6 ilioingizwa nchini kinyemela bila kulipa kodi za serikali stahiki kwa mujibu wa sheria na kuifuatilia kwa lengo la kuikamata ili kuchukua hatua stahiki kwa mujibu wa sheria za kodi.
Wakati Watumishi wa TRA wanatimiza wajibu wao, walihusishwa na kitendo cha utekaji, kilichopelekea wao na gari kushambuliwa.
Mamlaka ya Mapato Tanzania, inawapa pole watumishi wake waliojeruhiwa wakiwa wanatimiza wajibu wao, pamoja na wengine wote waliojeruhiwa katika kadhia hii, na kuwaombea wapone kwa haraka.
Mamlaka ya Mapato Tanzania inauhakikishia umma kuendelea kutimiza wajibu wake kwa mujibu wa sheria.
"Pamoja Tunajenga Taifa Letu"
Imetolewa na;
IDARA YA ELIMU KWA MLIPAKODI NA MAWASILIANO
Pia Soma: Tegeta, Dar: ‘Wasiojulikana’ washambuliwa na wananchi kwa mawe
Kumbe, walipata walichostahiliWamerudi wengine nilikutana nao wapo nyuma ya fusso moja wale walikua wanawaimbiza wake vijana wa boda boda wanaobeba vitenge kupeleka mbeya usiku sio fusso ilikua aibu kusema walikua wanakimbiza virenge tuu na wakiwakamata walikua wanachukua vitenge vinakua mali yao hawavipeleki popote..
TRA hawrzi kukamata wahalifu bila kuwa na polisi mwenye sare.View attachment 3170012
UFAFANUZI KUHUSU SHAMBULIO LA GARI NA WATUMISHI WA TRA KATIKA ENEO LA TEGETA (Kwa Ndevu)
Dar es Salaam, 06 Desemba, 2024:
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inasikitika kuutarifu Umma kwamba gari yake yenye namba za usajili STL 9923, ikiwa na Watumishi watatu katika doria za kawaida za udhibiti na ukamataji wa magendo na magari yaliyoingia nchini kinyume na taratibu za Forodha na kutolipiwa ushuru, imeshambuliwa na watumishi kuumizwa katika eneo la Tegeta kwa Ndevu, tarehe 05 Disemba, 2024, usiku.
Kadhia hii imetokea baada ya watumishi wa TRA kubaini kwamba gari namba T229 DHZ aina ya BMW X6 ilioingizwa nchini kinyemela bila kulipa kodi za serikali stahiki kwa mujibu wa sheria na kuifuatilia kwa lengo la kuikamata ili kuchukua hatua stahiki kwa mujibu wa sheria za kodi.
Wakati Watumishi wa TRA wanatimiza wajibu wao, walihusishwa na kitendo cha utekaji, kilichopelekea wao na gari kushambuliwa.
Mamlaka ya Mapato Tanzania, inawapa pole watumishi wake waliojeruhiwa wakiwa wanatimiza wajibu wao, pamoja na wengine wote waliojeruhiwa katika kadhia hii, na kuwaombea wapone kwa haraka.
Mamlaka ya Mapato Tanzania inauhakikishia umma kuendelea kutimiza wajibu wake kwa mujibu wa sheria.
"Pamoja Tunajenga Taifa Letu"
Imetolewa na;
IDARA YA ELIMU KWA MLIPAKODI NA MAWASILIANO
Pia Soma: Tegeta, Dar: ‘Wasiojulikana’ washambuliwa na wananchi kwa mawe
Polisi wamekua wanasiasa, TRA wamekua policeTRA tangu lini wanafanya kazi ya polisi?
Mtakufa kijinga punda nyie.
Kamateni mkiwa na askari mwenye sare
Wote majambazi tuPolisi wamekua wanasiasa, TRA wamekua police
Ikibidi, Kuna magendo wanayafukuzia usiku mnene sio rahisi kwenda mikono mitupu.Wanabeba na silaha??