Niwaheri
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,994
- 4,729
Hela mtagawana vipi ikishakuwa na mlolongo huo?Ona sasa, kwani wanashindwa kuwasiliana na trafiki kwamba gari namba fulani izuien hapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hela mtagawana vipi ikishakuwa na mlolongo huo?Ona sasa, kwani wanashindwa kuwasiliana na trafiki kwamba gari namba fulani izuien hapo
Mpaka wana plate namba ni kinyemela kweli? Au kuna jambo lililojificha
Bandari yetu Kunduchi iacheni wazee sisi tunaishi kupitia pale wazee acheni kabisaKutoka kunduchi pwani hadi bagamoyo kuna bandari babu nyingi sana. Pale kunduchi ni kama makao makuu. Madumu ya mafuta, sukari nk vinapitishwa hadi kwa magendo hadi aibu. Tena aibu kubwa kabisa. Polisi wanajua, TRA wanajua na hata huyo waziri anajua na mgao unamfikia.
Rc wa DSM bwana chalamila amekaa kwa muda mrefu sana TEGETA anajua hii michezo yote. Juzi hapa alipeleka mpaka JWTZ pale kumbe nia yake ilikuwa kuingizwa kwenye mgao. Alipopata mgao akanyamaza na biashara ikaendelea
Gari zilizo shambuliwa tegeta zilikuwa zinatoka doria mbweni au kunduchi.
Inakuaje mbweni kuna kambi ya Jeshi na usalama wa taifa kisha magendo yapitie mbweni hukohuko?
Pale TRA Kuna kijana anahusika sana kwenye hizi task force sitamtaja hapa ila wakati ukifika nitamtaja
Aibu kubwa sana kwa mamlaka, wanachojua wao ni kuteka na kuua tu?
Ilisajiriwa vipi hii gari?Kadhia hii imetokea baada ya watumishi wa TRA kubaini kwamba gari namba T229 DHZ aina ya BMW X6 ilioingizwa nchini kinyemela bila kulipa kodi za serikali stahiki kwa mujibu wa sheria na kuifuatilia kwa lengo la kuikamata ili kuchukua hatua stahiki kwa mujibu wa sheria za kodi.
Wazee wa dumu 100?Bandari yetu Kunduchi iacheni wazee sisi tunaishi kupitia pale wazee acheni kabisa
Watumishi hata Majina hamtaki.kuwataja kwa kuheshimy wajibu wao na ujasiri wa kuitumikia Taifa?Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inasikitika kuutarifu Umma kwamba gari yake yenye namba za usajili STL 9923, ikiwa na Watumishi watatu katika doria za kawaida za udhibiti na ukamataji wa magendo na magari yaliyoingia nchini kinyume na taratibu za Forodha na kutolipiwa ushuru, imeshambuliwa na watumishi kuumizwa katika eneo la Tegeta kwa Ndevu, tarehe 05 Disemba, 2024, usiku.
Kadhia hii imetokea baada ya watumishi wa TRA kubaini kwamba gari namba T229 DHZ aina ya BMW X6 ilioingizwa nchini kinyemela bila kulipa kodi za serikali stahiki kwa mujibu wa sheria na kuifuatilia kwa lengo la kuikamata ili kuchukua hatua stahiki kwa mujibu wa sheria za kodi.
Wakati Watumishi wa TRA wanatimiza wajibu wao, walihusishwa na kitendo cha utekaji, kilichopelekea wao na gari kushambuliwa.
Mamlaka ya Mapato Tanzania, inawapa pole watumishi wake waliojeruhiwa wakiwa wanatimiza wajibu wao, pamoja na wengine wote waliojeruhiwa katika kadhia hii, na kuwaombea wapone kwa haraka.
Mamlaka ya Mapato Tanzania inauhakikishia umma kuendelea kutimiza wajibu wake kwa mujibu wa sheria.
"Pamoja Tunajenga Taifa Letu"
Imetolewa na;
IDARA YA ELIMU KWA MLIPAKODI NA MAWASILIANO
Pia Soma: Tegeta, Dar: ‘Wasiojulikana’ washambuliwa na wananchi kwa mawe
Mission was Incomplete😅😅Kama gari mnaijua na ina usajili kwanini msimuite mwenye nayo atoe nyaraka za gari yake? Inakuwaje mnaanza kufuatilia mtu tena usiku?
Nyie ni polisi?
Je mna mamlaka ya kumfuatilia mtu na kumkamata au kukamata mali yake bila kushirikisha vyombo vya ulinzi na usalama?
Hayo yote mmeyataka kwakuwa hali ya usalama wa raia nchini imedhoofu kiasi kwamba sasa raia ni lazima kuwa vigilant la sivyo ni kutekwa na kuuwawa tu.
Wafanyakazi wenu mnatakiwa muwape barua ya onyo kwa kuwa negligent. Wameshindwa kusoma alama za nyakati.
Yalitokea hapo bandarini tuu sio mbali kivileHao WALIO shambuliwa walikuwa wanakimbiza magendo yaliyotokea wapi mpaka yafike Tegeta?tegeta Kuna namdari?
Wale ni watekaji sio MAAFISA wa Tra
acha upotoshaji gentleman 🐒Kutoka kunduchi pwani hadi bagamoyo kuna bandari babu nyingi sana. Pale kunduchi ni kama makao makuu. Madumu ya mafuta, sukari nk vinapitishwa hadi kwa magendo hadi aibu. Tena aibu kubwa kabisa. Polisi wanajua, TRA wanajua na hata huyo waziri anajua na mgao unamfikia.
Rc wa DSM bwana chalamila amekaa kwa muda mrefu sana TEGETA anajua hii michezo yote. Juzi hapa alipeleka mpaka JWTZ pale kumbe nia yake ilikuwa kuingizwa kwenye mgao. Alipopata mgao akanyamaza na biashara ikaendelea
Gari zilizo shambuliwa tegeta zilikuwa zinatoka doria mbweni au kunduchi.
Inakuaje mbweni kuna kambi ya Jeshi na usalama wa taifa kisha magendo yapitie mbweni hukohuko?
Pale TRA Kuna kijana anahusika sana kwenye hizi task force sitamtaja hapa ila wakati ukifika nitamtaja
Aibu kubwa sana kwa mamlaka, wanachojua wao ni kuteka na kuua tu?
aiseeMtasema tu!
Hujuo lolote wewe endelea na uchawa wako ili uweze kuishi. Hayo maeneo nayajua kuliko wewe unavyojua kushabikia wizi wa KURA!acha upotoshaji gentleman 🐒
Acheni kuweweseka yanayotokea kati ya Kunduchi na bagamoyo yote mnayajua. Wamewahi leo baada ya kushindwana migao?Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inasikitika kuutarifu Umma kwamba gari yake yenye namba za usajili STL 9923, ikiwa na Watumishi watatu katika doria za kawaida za udhibiti na ukamataji wa magendo na magari yaliyoingia nchini kinyume na taratibu za Forodha na kutolipiwa ushuru, imeshambuliwa na watumishi kuumizwa katika eneo la Tegeta kwa Ndevu, tarehe 05 Disemba, 2024, usiku.
Kadhia hii imetokea baada ya watumishi wa TRA kubaini kwamba gari namba T229 DHZ aina ya BMW X6 ilioingizwa nchini kinyemela bila kulipa kodi za serikali stahiki kwa mujibu wa sheria na kuifuatilia kwa lengo la kuikamata ili kuchukua hatua stahiki kwa mujibu wa sheria za kodi.
Wakati Watumishi wa TRA wanatimiza wajibu wao, walihusishwa na kitendo cha utekaji, kilichopelekea wao na gari kushambuliwa.
Mamlaka ya Mapato Tanzania, inawapa pole watumishi wake waliojeruhiwa wakiwa wanatimiza wajibu wao, pamoja na wengine wote waliojeruhiwa katika kadhia hii, na kuwaombea wapone kwa haraka.
Mamlaka ya Mapato Tanzania inauhakikishia umma kuendelea kutimiza wajibu wake kwa mujibu wa sheria.
"Pamoja Tunajenga Taifa Letu"
Imetolewa na;
IDARA YA ELIMU KWA MLIPAKODI NA MAWASILIANO
Pia Soma: Tegeta, Dar: ‘Wasiojulikana’ washambuliwa na wananchi kwa mawe
Wanaogopa kuongeza watu maana mgao utapungua.Ona sasa, kwani wanashindwa kuwasiliana na trafiki kwamba gari namba fulani izuien hapo
Pumbavu kabisa ninyi!Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inasikitika kuutarifu Umma kwamba gari yake yenye namba za usajili STL 9923, ikiwa na Watumishi watatu katika doria za kawaida za udhibiti na ukamataji wa magendo na magari yaliyoingia nchini kinyume na taratibu za Forodha na kutolipiwa ushuru, imeshambuliwa na watumishi kuumizwa katika eneo la Tegeta kwa Ndevu, tarehe 05 Disemba, 2024, usiku.