Ufafanuzi kuhusu shambulio la gari la watumishi wa TRA eneo la Tegeta, Dar es Salaam

Ufafanuzi kuhusu shambulio la gari la watumishi wa TRA eneo la Tegeta, Dar es Salaam

huo ni unafiki tu gentleman, ambao ni wa kupuuzwa,

mindset yako ina mawenge ya kuibiwa usichokua nacho.

nadhan unaelekea pabaya saikolojikali 🐒
Hujui lolote kuhusu uzalendo wala kinachoendelea kunduchi beach na ununi na kawe. Nakushauri ufike hapo ujionee. Unanishauri kitu ninachokipna na kukijua kila siku?
 
mrangi acha upotoshaji gentleman,
unaheshimika sana humu jukwaani but unakua kama warioba bana dah 🐒
Warioba haheshimiki leo ila aliheshimika wakati wa tume ya rushwa na ile y mabadiliko ya katiba?
Kwakuwa haheshimiki ndo maana alinyimwa hata ukumbi wa kufanyia mkutano wake na wanahabari pale KMC?
UNAFIKI KITU KIBAYA SANA
 
Hujui lolote kuhusu uzalendo wala kinachoendelea kunduchi beach na ununi na kawe. Nakushauri ufike hapo ujionee. Unanishauri kitu ninachokipna na kukijua kila siku?
maeneo yote uliyoyataja hali ya kiusalama ni shwari, hakuna uhalifu wala ukiukaji wa sheria eneo hilo, na kwahiyo hakuna haja ya yeyote kwenda sijui kufanya nini.

Kama taifa tumemaliza uchaguzi wa serikali za mitaa salama, na maandalizi ya uchaguzi mkuu 2025 yameanza.

Kwa Neema na Baraka za Mungu nao utafanyika kwa amani 🐒
 
Warioba haheshimiki leo ila aliheshimika wakati wa tume ya rushwa na ile y mabadiliko ya katiba?
Kwakuwa haheshimiki ndo maana alinyimwa hata ukumbi wa kufanyia mkutano wake na wanahabari pale KMC?
UNAFIKI KITU KIBAYA SANA
ni muhimu kumpuuza tu na itapendeza zaid 🐒
 
maeneo yote uliyoyataja hali ya kiusalama ni shwari, hakuna uhalifu wala ukiukaji wa sheria eneo hilo, na kwahiyo hakuna haja ya yeyote kwenda sijui kufanya nini.

Kama taifa tumemaliza uchaguzi wa serikali za mitaa salama, na maandalizi ya uchaguzi mkuu 2025 yameanza.

Kwa Neema na Baraka za Mungu nao utafanyika kwa amani 🐒
Sasa kama ni salama kwann maafisa wa serikali walishambuliwa? Unajua maana ya usalama kweli wewe?
 
Kuna kipindi nilikuwa nakasirika sana haya magendo kwamba pesa za kujenga nchi zinapotea hususan ukizingatia vidagaa ndio wanashikwa na kila raia anakamuliwa kwenye miamala et al..., Ila kwa sasa najiuliza hata tunapokusanya hizo faranga zote zinafanya nini ?

 
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imetoa taarifa kuwa gari yenye namba za usajili STL 9923 ikiwa na watumishi watatu katika doria za kawaida za udhibiti na ukamataji wa magendo na magari yaliyoingia nchini kinyume na taratibu za forodha na kutolipiwa ushuru, imeshambuliwa na watumishi kuumizwa katika eneo la Tegeta kwa Ndevu, Dar es salaam December 05, 2024 usiku.

Taarifa imetolewa usiku huu na TRA imenukuliwa kama ifuatavyo “Kadhia hii imetokea baada ya Watumishi wa TRA kubaini kwamba gari namba T229 DHZ aina ya BMW X6 lililoingizwa nchini kinyemela bila kulipa kodi za Serikali stahiki kwa mujibu wa sheria na kuifuatilia kwa lengo la kuikamata ili kuchukua hatua stahiki kwa mujibu wa sheria za kodi, wakati watumishi wa TRA wanatimiza wajibu wao, walihusishwa na kitendo cha utekaji, kilichopelekea wao na gari kushambuliwa, Mamlaka ya Mapato Tanzania inawapa pole watumishi wake waliojeruhiwa wakiwa wanatimiza wajibu wao na wengine wote waliojeruhiwa katika kadhia hii na kuwaombea wapone kwa haraka, Mamlaka ya Mapato Tanzania inauhakikishia umma kuendelea kutimiza wajibu wake kwa mujibu wa sheria” imeandikwa kwenye taarifa hiyo. #EastAfricaTv
 
We jamaa ni mbumbumbu, TRA hawana Mamlaka ya Kukamata, wakitaka kukamata ni lazima washirikiane na polisi
Sasa mimi na wewe nani mbumbumbu??? Kasome taarifa yao kama inasema maafisa wa TRA waliambatana na Polisi au walikuwa pekeyao?

Kama hawakuambatana na Polisi kwenye ukamataji, unadhani walilifata hilo BMW kupiga story na dereva?

Wale maafisa waliokufa kwenye ajali wakifuza gari yenye magendo ulisikia miongoni mwao walikuwemo polisi??
 
Hii ni ngeni kwako? Fatilia vizuri hao jamaa wana operations zao, wapelelezi, intelejensia yao na wanakamata vilevile, haijalishi siku wala masaa.
Ndiyo hayo Sasa yashatokea kwenye kwamba wanakamata mda wowote. Kwanini wangoje usiku. Na kwanini msichukue gari mpaka mfanye ambushi na hekaheka kwa mwenye gari?. Naandika kwa herufi kubwa muelewe.KATIKA MAISHA YENU YAUTEKAJI OGOPA SANA MWANADAMU ANAYEJUA KIFUATACHO NI KIFO TU HAPA. NA RAIA KUJUA MWEZETU TUKIMUACHIA ANAENDA KUUWAWA NA AWA WALIOKUJA KUMCHUKIA NI WAUWAJI KINACHOFUATA NI HAMA ZAO HAMA ZETU.
 
Kama gari mnaijua na ina usajili kwanini msimuite mwenye nayo atoe nyaraka za gari yake? Inakuwaje mnaanza kufuatilia mtu tena usiku?

Nyie ni polisi?
Je mna mamlaka ya kumfuatilia mtu na kumkamata au kukamata mali yake bila kushirikisha vyombo vya ulinzi na usalama?

Hayo yote mmeyataka kwakuwa hali ya usalama wa raia nchini imedhoofu kiasi kwamba sasa raia ni lazima kuwa vigilant la sivyo ni kutekwa na kuuwawa tu.

Wafanyakazi wenu mnatakiwa muwape barua ya onyo kwa kuwa negligent. Wameshindwa kusoma alama za nyakati.
nadhani ndugu huajelewa. Kwa taarifa iliyotolewa walikuwa wapo katika kudhibiti magendo na ndipo walikutana na gari ambalo walihsii kabisa ni moja ya gari zilizoingia kinyemela na inaonekana nia yao ni kutaka kuthibitisha ndipo walipofikiriwa vingine. Haya magari unaweza kuta hata namba siyo zake na wanabadili ili kutojulikana kama ni gari zilizoingia kinyemela na pengine walitumia mitambo yao na kuona usajili haukuwa sawa wa gari ndipo walipoamua kulifata.Sheria nimesoma wanayo ya kukamata kwa makosa kama hayo
 
Back
Top Bottom