Ufafanuzi kuhusu shambulio la gari la watumishi wa TRA eneo la Tegeta, Dar es Salaam

Unapomjibu Tlaatlaah hutakiwi kutumia akili joh, ukimuelekeza kama unavyofanya utachosha vidole
na akili yako bure.
Gentleman,
huna haja kujiexpose kwa wadau kwamba huna akili aise, hiyo ni kutoa siri za ufalme wako,

anyway,
jambo la maana zaid ni kwamba,
ikiwa umefikia kiwango chako cha mwisho cha mawazo mapya na fikra mbadala kama Mzee warioba,

hekima na busara ikuelekeze kukaa kimya tu na sio kumbwelambwela hapa, na itapendeza zaid, right?🐒
 
Unaishi nchi gani gentleman
Nachokuambia ndicho hicho
Polisi corrupt hao washusha magendo na wanawalinda maana wanadakishwa
Wakija TRA polisi wanakimbia
Au unataka watu wafunguke zaidi

Ova
acha upotoshaji gentleman,

taasisi zetu za umma zina weledi wa kiwango cha juu mno wanapotekeleza wajibu na majukumu yao ya kisheria. hawawezi kujihusisha na huo ushirikiana unaojaribu kuwapotosha nao wadao,

ni nadra mtu kwa kufanywa hayo unayoyaeleza na watumishi wa umma, ingawa yawezekana kwa kiwango kidogo sana wapo watumishi wasio waaminifu. Sio kwa kiwango cha upotoshaji wako gentleman 🐒
 
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inasikitika kuutarifu Umma kwamba gari yake yenye namba za usajili STL 9923, ikiwa na Watumishi watatu katika doria za kawaida za udhibiti na ukamataji wa magendo na magari yaliyoingia nchini kinyume na taratibu za Forodha na kutolipiwa ushuru, imeshambuliwa na watumishi kuumizwa katika eneo la Tegeta kwa Ndevu, tarehe 05 Disemba, 2024, usiku.

Kadhia hii imetokea baada ya watumishi wa TRA kubaini kwamba gari namba T229 DHZ aina ya BMW X6 ilioingizwa nchini kinyemela bila kulipa kodi za serikali stahiki kwa mujibu wa sheria na kuifuatilia kwa lengo la kuikamata ili kuchukua hatua stahiki kwa mujibu wa sheria za kodi.

Wakati Watumishi wa TRA wanatimiza wajibu wao, walihusishwa na kitendo cha utekaji, kilichopelekea wao na gari kushambuliwa.

Mamlaka ya Mapato Tanzania, inawapa pole watumishi wake waliojeruhiwa wakiwa wanatimiza wajibu wao, pamoja na wengine wote waliojeruhiwa katika kadhia hii, na kuwaombea wapone kwa haraka.

Mamlaka ya Mapato Tanzania inauhakikishia umma kuendelea kutimiza wajibu wake kwa mujibu wa sheria.

"Pamoja Tunajenga Taifa Letu"

Imetolewa na;

IDARA YA ELIMU KWA MLIPAKODI NA MAWASILIANO

Pia Soma: Tegeta, Dar: ‘Wasiojulikana’ washambuliwa na wananchi kwa mawe

Je, Ni Maafisa wa Forodha wa TRA au Undercovers wa Abduction Squad ambao wamekuwa infiltrated ndani ya TRA ili to conceal their real identities in their illicit activities??? Siyo kwamba hivyo vyeo vya huko TRA vinatumika tu kama 'Cover' ya hizo kazi zao za Siri?
Siyo kwamba hilo lilikuwa jaribio la utekaji lililofeli? Not a failed attempt of abduction
 
Nami naungana na mamlaka kuwapa pole.
Nafikiri wamejifunza kitu.
Mungu awape wepesi kupona haraka.
 
Ila ningekuwa mimi ndo mtu wa forodha,ningeandika namba ya hiyo gari na kuikabidhi polisi ili likamatwe na kuletwa huko kunakohusika ili sheria ichukue mkondo wake,badala ya kufukuzana nalo usiku,wakati huu ambapo matukio ya utekaji yametamalaki.
Tushukuru Mungu wimbo wa "Parapanda italia..." haujahusika kwenye hilo tukio.
 
Common sense kama hii hawa watu wanashindwaje kuitumia? Hilo pigo wamejitakia
 
Maswali
1.Gari namba DH usajili wake ni miaka zaidi ya 4 mpaka sasa.
Je , nani aliisajili?
2.Miaka yote hiyo iweje mugundue leo ?
3. Je, gari ina usajili bandia?

Watu mnaweza kutufanya tuanze kutoa codes za mapambano mtaani kwa kushikilia number T229 DHZ kuwa ni gari ya zamani sana.

Hao TRA wanajua wanachofanya na kwa vyovyote wana uhakika na jambo lao. Hiyo Number yenye DHZ isiwadanganye.

Fikiria inapita BMW X6 third generation mpya kabisa halafu ina number yenye Axx. Kichwani mwako jambo gani linakuja? Utasema hiyo gari ilinunuliwa 2018 kwa kuwa ina number T...DHZ? Mambo mengi yanayofanyika mtaani wanajua kwa kuwa wafanyakazi wa TRA ni watanzania tunaoishi nao.

Fikiria unakutana Harrier matako ya nyani ina number inayoanzia A ukiwa afisa wa TRA uliyepewa mamlaka ya kukusanya kodi, utahisi kwamba hiyo gari ilitoka between 2010? Au hizo gari hazipo?

TRA kuna sehemu nyingi wanakuwa sahihi ila kuna pindi kama watanzania wenzetu wanatufumbia macho. Labda kosa ni huo muda walioenda unaohatarisha uhai wao na wa mlengwa kulingana na hali za utekaji zinazoendelea
 
Kama gari mnaijua na ina usajili kwanini msimuite mwenye nayo atoe nyaraka za gari yake? Inakuwaje mnaanza kufuatilia mtu tena usiku?

Nyie ni polisi?
Je mna mamlaka ya kumfuatilia mtu na kumkamata au kukamata mali yake bila kushirikisha vyombo vya ulinzi na usalama?

Hayo yote mmeyataka kwakuwa hali ya usalama wa raia nchini imedhoofu kiasi kwamba sasa raia ni lazima kuwa vigilant la sivyo ni kutekwa na kuuwawa tu.

Wafanyakazi wenu mnatakiwa muwape barua ya onyo kwa kuwa negligent. Wameshindwa kusoma alama za nyakati.
Ongezea kuwa viungu mtu. Usiku,TRA waafanya kazi? Au wamebadikishiwa majukumu! Gari kama ina plate namba,ina maana haijulikani? Au plate namba ya kuforge pia! Je,kuifatilia kwa pikipiki na kutoa taarifa polisi,ilishindikana?
 
Kwakuwa walio shambuliwa ni watumishi wauma, hivyo hatuna haja ya kukerwa wala kukemea!!! ila ingekuwa mtu/watu wengine....watu wangepayuka kweli!!
Tuache unafiki na uzandiki......binaadamu yeyote akipatwa na majanga tunatakiwa tukemee, sote ni binaadamu sawa.
 
Watu mnaweza kutufanya tuanze kutoa codes za mapambano mtaani kwa kushikilia number T229 DHZ kuwa ni gari ya zamani sana.

Hao TRA wanajua wanachofanya na kwa vyovyote wana uhakika na jambo lao. Hiyo Number yenye DHZ isiwadanganye.

Fikiria inapita BMW X6 third generation mpya kabisa halafu ina number yenye Axx. Kichwani mwako jambo gani linakuja? Utasema hiyo gari ilinunuliwa 2018 kwa kuwa ina number T...DHZ? Mambo mengi yanayofanyika mtaani wanajua kwa kuwa wafanyakazi wa TRA ni watanzania tunaoishi nao.

Fikiria unakutana Harrier matako ya nyani ina number inayoanzia A ukiwa afisa wa TRA uliyepewa mamlaka ya kukusanya kodi, utahisi kwamba hiyo gari ilitoka between 2010? Au hizo gari hazipo?

TRA kuna sehemu nyingi wanakuwa sahihi ila kuna pindi kama watanzania wenzetu wanatufumbia macho. Labda kosa ni huo muda walioenda unaohatarisha uhai wao na wa mlengwa kulingana na hali za utekaji zinazoendelea
Nani asiyejua hiyo michongo wanaitengeneza wenyewe
 
A
Gentleman,
huna haja kujiexpose kwa wadau kwamba huna akili aise, hiyo ni kutoa siri za ufalme wako,

anyway,
jambo la maana zaid ni kwamba,
ikiwa umefikia kiwango chako cha mwisho cha mawazo mapya na fikra mbadala kama Mzee warioba,

hekima na busara ikuelekeze kukaa kimya tu na sio kumbwelambwela hapa, na itapendeza zaid, right?🐒
Ndivyo ilivyo joh, mtu awaye yote asipoteze rasilimali muda na akili zake kufikiria cha kukujibu. Alipuke tu kama unavyolipuka
 
Bahati mbaya TRA wanasai walitaka kukamata hiyo gari kwa kutokulipiwa ushuru sahihi wakati inaingizwa nchini hivyo swala la magendo halipo kwenye issue ya leo pale TEGETA
Sasa kuna sababu gani ikamatwe usiku. Si itatembea mchana? Nini kiluchowafanya wasitoe namba ya gari kwa polisi wa barabarani waikamate kama tunavyokamatwa hata kama unadaiwa kodi ya kuegesha gari?
 
Watu mnaweza kutufanya tuanze kutoa codes za mapambano mtaani kwa kushikilia number T229 DHZ kuwa ni gari ya zamani sana.

Hao TRA wanajua wanachofanya na kwa vyovyote wana uhakika na jambo lao. Hiyo Number yenye DHZ isiwadanganye.

Fikiria inapita BMW X6 third generation mpya kabisa halafu ina number yenye Axx. Kichwani mwako jambo gani linakuja? Utasema hiyo gari ilinunuliwa 2018 kwa kuwa ina number T...DHZ? Mambo mengi yanayofanyika mtaani wanajua kwa kuwa wafanyakazi wa TRA ni watanzania tunaoishi nao.

Fikiria unakutana Harrier matako ya nyani ina number inayoanzia A ukiwa afisa wa TRA uliyepewa mamlaka ya kukusanya kodi, utahisi kwamba hiyo gari ilitoka between 2010? Au hizo gari hazipo?

TRA kuna sehemu nyingi wanakuwa sahihi ila kuna pindi kama watanzania wenzetu wanatufumbia macho. Labda kosa ni huo muda walioenda unaohatarisha uhai wao na wa mlengwa kulingana na hali za utekaji zinazoendelea

Tatizo lingine TRA hawapendwii na wananchi. Hivyo ni rahisi sana kwa wananchi kumsaidia anaekimbizwa na tra kurusha mawe ama hata kuwachoma moto tra. Sababu hawawapendi tra

Tafuta post ile ya ajali iliyoua wafanyakazi wa TRA mbeya usome comments zake wananchi walivyoshangilia vifo vyao
 
Mku
Hujui lolote kuhusu uzalendo wala kinachoendelea kunduchi beach na ununi na kawe. Nakushauri ufike hapo ujionee. Unanishauri kitu ninachokipna na kukijua kila siku?
u kwani lazma mmjibu!?maana daa!huyo mwamba ni mtihan kwelikweli.Nnashauri tuichukue falsafa yake ya "kupuuzwa" then tuitumie against yeye.Maana ukitazama kwa namna flani ni kama ni mvurugaji wa hoja asizozipenda.Kama maana ya uzalendo ndo hivyo awazavyo bhasi tz nzima usikute mzalendo ni yeye na cerebrum yake tuu au vice versa.
 
Ww mbona umekaa kichawa chawa au ndio mikato yenu hamtaki uovu uanikwe!!??
kwani wewe unavyokuaga unamendea wake za watu huwa unakwenda kwa kunyapia nyapia au unaenda kichwa kichwa? ukinyakwa unasema umetekwa right?

kusema haisaidii chochote you must take actions in comparations with specified authorities, na huo ndio uzalendo, na sio kumbwelambwela humu kinafiki, alaaaa 🐒
 
Back
Top Bottom