Ufafanuzi kwa wale Wavivu wa Kufikiri ( wana Yanga SC ) kwanini jana hawakuona Refa akienda kuangalia Screen ya VAR ili Kuamua Matukio

Daah unaelezea hili tukio huku ukiwa na maumivu makali balaa ndani ya moyo wako.
Haya haikua penalty Basi ila ya ile ya yanga vs geita ilikua penalty halali[emoji23][emoji23]
 
Kwaiyo ushindi wa kigoli kimoja icho cha ngekewa utakupeleka wapi, eti ushindi mzuri kama ni ushindi mzuri mbona mji wote kimyaa,,mdomoni mnajifariji lakini moyoni mnajua kinachofata
Ajuaye ya mbele ni mungu tu ,saiz tunafurahia ushindi.

Alafu kumbuka huu ni mpira pia wale ni wanaume km walivyo wa Simba lolote linawezekana acha kukariri ,.

Simba ikitinga nusu fainal najua utakuja na hoja mpya kuwa huu ndio mwisho wa Simba ,kila muda atakuja na jipya la kujifariji.
 
Jibu lipo hapa kama unajua kiinglish

 
Duuh...! Huyu kenge ana I'd ngapi?. Huo nao sio ustaarabu mtu unakuwa na I'd zaidi ya 5.
 
Kuna umuhimu Sasa wacha mbuzi wa mpira wapitie KOZI ZA UREFA.
refa kaona penati ,VAR imeona penati lakini Leo anatokea mchambuzi kashiba futari yake anakwambia ile sio penati.
Wakati Morrison alikuwa ana nafasi nzuri ya kufanya madhara ya kufunga goli kama yule beki asingemvaa.
Walitaka refa atoe adhabu gani?
Wakati yule beki ndo mtu wa mwisho?
 
Wewe popoma mlidanganywa tu kuhusu kutumika kwa mfumo wa VAR ktk mechi ya jana. Mmeshinda ndio,lakini kama kawaida kiujanja ujanja. Ile haikuwa penati
 
We nae mnafiki mkubwa, Kwanza wewe sio mwanasimba mwenzetu,
 
Yes...mfumo wa VAR haukutjmika Jana...zipo habari kuwa ulikuwa 'mbovu'...
Hofu yangu ni kuongezeka malalamiko dhidi ya Simba kila inapocheza na timu za nje kwenye Mkapa au happy nyumbani...Kuna Jambo litatokea...let us wait and see...ujanja meingi ukizidi huleta mauti....
 
Wenye Akili tunajua kuwa Simba SC jana imeshinda Kihalali na kama nawe unadhani imeshinda kwa Kupendelewa ungana na hao Majuha ( Mazuzu ) ya Jangwani ( Yanga SC ) sawa Ndugu?
aisee yaani we @GENTAMICYZN, Ni jitu linafiki sana
 
Hivi kamati ya mapokezi(Yanga) hawakuwapokea?[emoji848]

Ukute hiyo hostility anayozungumzia ni Shangwe na kelele za Vyura baada ya kuwapokea( YANGA)[emoji23]
Wewe jidanganye hivyo hivyo ....unaacha hoja ya msingi unawarukia unaowaita vyura...
 
Kwa hiyo hujawahi kuona huko ulaya refa wa kati akiishia kuwasiliana na walioko VAR room bila video kurejewa na maamuzi ya refa wa kati kubaki vile vile? Nani kakuambia refa wa kati alihitaji video ili akijiridhishe? Akijiridhishe nini wakati walioko VAR room wameona hamna utata?
 
Hauna Akili acha Kunipotezea muda Ok?
 
Ungeyasoma vyema Maelezo yangu ungeyaelewa vyema na hatimaye Kuuficha huu Ujuha ( Uzuzu ) wako hapa. Ina maana haujishtukii tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…