MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Tukiwa tunasema kuwa wana Yanga SC mna matatizo ya Kufikiri msiwe mnakataa au mnatuona kuwa tunawadhihaki bali muwe mnakubali na mjitathmini mbadilike upesi.
Nimepitia Kurasa nyingi sana za Mitandao ya Klabu Mbovu na yenye Nuksi duniani ya Yanga SC na hata Kusoma baadhi ya Comments za wana Yanga SC katika Mtandao huu na Kujiridhisha kuwa Jangwani kuna Mazuzu (Majuha) wengi na ndiyo maana hata Msemaji wa Yanga SC Haji Manara aliwahi Kunukuliwa (Ushahidi wa Sauti na Picha upo YouTube) akisema kuwa Yanga SC nzima wenye Akili ni Watu Wawili tu Rais Mstaafu Kikwete na Baba yake Mzazi Mzee Manara ila wengine Wote hawana Akili ( yaani Majuha ) tupu kwa hapa Jamvini wakiongozwa na redio, FRESHMAN, Interlacustrine R na Frank Wanjiru
Kwa Watu makini ( wenye Akili Kubwa ) kama wana Simba SC na Mimi MINOCYCLINE ambao Jana tulianza kufuatilia Matangazo ya Azam Tv kupitia Channel ya ZBC2 mtakubaliana nami kuwa walitolea Ufafanuzi wa Kutosha juu ya Matumizi ya VAR hivyo leo hii nawashangaa Majuha (Mazuzu) wa Jangwani (Yanga SC) wanavyohangaika Kulalamika matumizi ya VAR wakati Kwanza hata Mechi haiwahusu na pia bado wana safari ndefu ya kuyafikia Mafanikio waliyoyafikia Simba SC.
Ni kwamba Jana kupitia ZBC2 kulitolewa Ufafanuzi juu ya VAR ambao ulitoka CAF uliosema kuwa katika Chumba cha Mitambo ya VAR kumeongezwa Mtu mwingine aitwae AVAR ( yaani Assistant Video Assistant Referee ) ambaye ndiyo atakuwa akimpa Maelekezo yote Mwamuzi wa Mchezo pale kukitokea Tukio la Kiufafanuzi.
Maelekezo hayo kuhusu VAR yakaenda mbele zaidi kusema kuwa kukitokea Tukio lolote la Utata Uwanjani kwakuwa tayari yuko AVAR basi Mwamuzi hatokuwa na Ulazima wa kwenda katika Screen ya VAR ili Kujiridhisha Kimaamuzi ( japo hajakatazwa kufanya hivyo ) ila atamsikiliza AVAR ambaye ni Msaidizi wake mkubwa wa Matukio yote ya Kimchezo tena Yeye akiwa na Faida Kubwa kwakuwa anautizama Mpira katika Television ambapo ana Faida Kubwa ya Kuyarejea Matukio kwa haraka kuliko hata Mwamuzi ( Referee ) wa Mchezo aliyeko Uwanjani.
Hata hivyo tukiachana na matumizi ya VAR ukiwa na Akili Timamu na Umeucheza Mpira na pia ni Mfuatiliaji halafu ni Mchambuzi makini wa Mpira ( Soka ) hutobisha kuwa ile ilikuwa ni Clear Penalty isipokuwa kuna Watu Jana walishakariri kuwa Simba SC itafungwa na Orlando Pirates FC wakiamini kuwa Kuwapokea Kwao, kuwasaidia Kwao Kuroga na CEO Wao kuwapa Mbinu zote kuihusu Simba SC zingewasaidia, ila wakasahau kuwa Kwa Mkapa huwa hatoki Mtu na kwamba Uwanja wa Benjamin Mkapa ulijengwa Maalum kwa ajili ya Simba Sports Club tu na siyo kwa Takataka zingine za Jangwani.
Mwisho namalizia na huu Ushauri hasa kwa Majuha ( Mazuzu ) wa Jangwani kuwa jitahidini sana Siku zingine kukiwa na Mechi muwe mnaanza Kufuatilia Matangazo ya Tv ( hasa Uchambuzi ) wake wa mapema ili muwe mnapata Taarifa za Kutosha juu ya Mchezo husika na Maelekezo yake ili msiendelee kuwa Wapuuzi hivyo kama mlivyobarikiwa na kuanza kutupotezea muda kama hivi wa Kuwaelimisheni, Kuwachambulia na Kuwafafanulia Masuala ( Matukio ) ambayo kama nanyi mngekuwa makini ( Werevu ) kama wana Simba SC mngeshayajua ( mngeshajua ) mapema tu.
Asanteni Simba SC kwa Ushindi mzuri.