UFAFANUZI: Mtume Mohamad amewahi kutenda muujiza gani?

Mkuu acha kudanganya wasiojua... Kuna nchi ambazo ni za kikristo na zina sheria za kikristo katika sheria za nchi yake...
  1. Vatican City: Vatican City ni mji mkuu wa Kanisa Katoliki na makazi ya Papa. Maskini ya mungu unawaambia ni kama Tandahimba bila kujali ya kuwa Vaticam ina utawala kamili na ni nchi kamili na ina dola na kila kitu pia Sheria za Vatican City zinategemea Sheria za Kanoni za Kikatoliki na zinazingatia maadili ya Kikristo.
  2. Malta: Malta ni nchi yenye idadi kubwa ya Wakatoliki, na Katiba yake inatambua Ukristo kama dini rasmi na inaweka msingi wa kanuni za Kikristo katika sheria za nchi.
  3. Ugiriki: Ugiriki ina idadi kubwa ya Wakristo wa Orthodox, na sheria za nchi hiyo zinazingatia misingi ya dini ya Orthodox na maadili ya Kikristo.
  4. Ethiopia: Ethiopia ina historia ndefu ya Ukristo na ni nchi moja ya awali kuwa na Ukristo. Sheria na katiba za nchi hiyo zina misingi ya imani ya Kikristo.
 
Si huwa mnasema Quran imekamilika na haijaacha kitu?

Imekuwaje tena!!
 
Soma Surat Al-Qamar utaona muujiza wa kugawanyika kwa mwezi
Wewe Unaamini mwezi uligawanyika?
Kwa akili zako kabisa bila kushikwa akili unaamini hilo?

Alah ambaye ameshindwa kuwaadhibu wa Sweden wanaochoma Quran kila siku anaweza kugawanya mwezi kweli?
 
Wewe Unaamini mwezi uligawanyika?
Kwa akili zako kabisa bila kushikwa akili unaamini hilo?

Alah ambaye ameshindwa kuwaadhibu wa Sweden wanaochoma Quran kila siku anaweza kugawanya mwezi kweli?
Ndiyo naamini
 
Ndiyo imekamilika haijaacha chochote kuhusu miujiza hiyo kasome surat Al Qamar
Haijaacha chochote wakati wewe mwenyewe umesema tukitaka kusoma miujiza tukasome hadithi/suna?

Kwa nini tukasome kitabu kingine wakati Quran haijaacha kitu?
 
Sasa Alah aliyegawanya mwezi anashindwa nini kuwaadhibu wa sweeden na wa Denmark ambao wanachoma na kuchana China kitabu chake?
Hawaadhibu kwasababu ameishusha Quran kuwa ukumbusho kwa walioamini na kwa waliokufuru atawaadhibu siku ya Qiama
 
Haijaacha chochote wakati wewe mwenyewe umesema tukitaka kusoma miujiza tukasome hadithi/suna?

Kwa nini tukasome kitabu kingine wakati Quran haijaacha kitu?
Alipoulizwa yeye mwenyewe, aliionesha Qur'an.

Qur'an ni muujiza unaoishi. Siyo wa kuhadithiwa tu kama mingine yote.
 
Haijaacha chochote wakati wewe mwenyewe umesema tukitaka kusoma miujiza tukasome hadithi/suna?

Kwa nini tukasome kitabu kingine wakati Quran haijaacha kitu?
Haya nenda kasome Quran hiyo surat Al Qamar utaiona hiyo miujiza ili uridhike
 
Hawaadhibu kwasababu ameishusha Quran kuwa ukumbusho kwa walioamini na kwa waliokufuru atawaadhibu siku ya Qiama
Kama atawaadhibu siku ya Kiama, maandamano na vitisho vya kuwaua wanaochoma Quran ni vya nini?

Si mumuachie Alah awaadhibu siku ya kiama?

Unaona jinsi unavyojichanganya?
 
Alipoulizwa yeye mwenyewe, aliionesha Qur'an.

Qur'an ni muujiza unaoishi. Siyo wa kuhadithiwa tu kama mingine yote.
 
Kama atawaadhibu siku ya Kiama, maandamano na vitisho vya kuwaua wanaochoma Quran ni vya nini?

Si mumuachie Alah awaadhibu siku ya kiama?

Unaona jinsi unavyojichanganya?
Tunaandamana Kwasababu katuamrisha tunachoweza kuondoa na mikono yetu tukiondoe, ndo maana yeye ni mtoa riziki lakin chakula hakikufati ndani ukiwa umelala unatakiwa ukatafute
 
Alipoulizwa yeye mwenyewe, aliionesha Qur'an.

Qur'an ni muujiza unaoishi. Siyo wa kuhadithiwa tu kama mingine yote.
Mwenzako amesema tukasome Suna na Hadithi ili tuone miujiza ya Quran kwa sababu Quran haijaandika miujiza.

Kumbe Quran kuna vitu imeacha inabidi tukafungue vitabu vingine ili kusoma!!

Huwa mnachekeshaga sana
 
Sasa huo si ni mpangilio tu ofisaa.... Herufi, majina, Chapter ni mpangilio tu ambao hata muandika gazeti anaweza kuupangilia.... Maneno mengi ya Quran yapo kwenye Biblia unasemaje kwamba Quran ni muujiza wakati ni copy and paste ya Biblia
Aliupanga nani miaka 1,400 iliyopita?
 
Tunaandamana Kwasababu katuamrisha tunachoweza kuondoa na mikono yetu tukiondoe, ndo maana yeye ni mtoa riziki lakin chakula hakikufati ndani ukiwa umelala unatakiwa ukatafute
Kwa hiyo amewaamrisha mumsaidie kuwahukumu wachoma Quran?

Amewaamrisha mumsaidie kuwaua Wachoma Quran?
 
Sasa Bi. Faiza kwa upande wenu waislamu huwa mnajuaje kama huyu ni mpigaji?.
Alipoulizwa yeye mwenyewe, aliionesha Qur'an.

Qur'an ni muujiza unaoishi. Siyo wa kuhadithiwa tu kama mingine yote.
 
Alipoulizwa yeye mwenyewe, aliionesha Qur'an.

Qur'an ni muujiza unaoishi. Siyo wa kuhadithiwa tu kama mingine yote.
Amemuuliza unajuaje hao masheikh wengine ni wapigaji, Yani inagundua vipi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…