DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Uislamu umeenea kwa sababu Nchi hizo za Urabuni zililazimisha raia wake wote kuwa waislamu na bado mpaka hii leo nchi hizo zinaongozwa kwa misingi ya kiislamu... Uwezi ukawa wa Dini nyingine ukaishi huko, mfano vipindi vya Ramadhani wote mnalazimishwa kufunga kwenye Nchi hizo, migahawa na kila kitu kinafungwa... makanisa hayaruhusiwi mfano Afghanistan, Iran, Iraq uwezi kufungua kanisa... Hivyo raia wote inabidi tu muwe waislamu na watoto mtakaowazaa lazima wawe waislamu, na katika tamaduni za kiislamu mnapiga sana vita Watoto wenu wa kike kuolewa na mwanamume wa Dini nyingine, ajenda yenu ni kuwa lazima mtu huyo abadilishwe Dini awe muislamu... Yani mmetengeneza sheria za kulazimisha kila mtu atakaeingia anga zenu awe muislamu na ndio maana uislamu umekuwa mpaka hivi sasa... Huko India Wahindi hawawataki waislamu kwa sababu wamekuwa wakichumbia mabinti zao na kuwabadilisha Dini kuwa waislamu kitendo kilichopelekea Dini ya Hinduism kukosa nguvu.
Wakristo ndio Dini inayoongoza kwa wafuasi wengi, ila uwezi kuona Taifa la kikristo au Nchi ya kikristo... Vatican ni mji tu hata Tandahimba ni kubwa, hold sio Nchi ni mji. Ukristo unaenea kwa mahubiri mazuri ya mwenyezi Mungu, na si kwa kuanzisha vikundi vya kigaidi kulazimisha kila mtu awe muislamu usipokuwa Muislamu unachinjwa au kupigwa bomu
Mkuu acha kudanganya wasiojua... Kuna nchi ambazo ni za kikristo na zina sheria za kikristo katika sheria za nchi yake...
- Vatican City: Vatican City ni mji mkuu wa Kanisa Katoliki na makazi ya Papa. Maskini ya mungu unawaambia ni kama Tandahimba bila kujali ya kuwa Vaticam ina utawala kamili na ni nchi kamili na ina dola na kila kitu pia Sheria za Vatican City zinategemea Sheria za Kanoni za Kikatoliki na zinazingatia maadili ya Kikristo.
- Malta: Malta ni nchi yenye idadi kubwa ya Wakatoliki, na Katiba yake inatambua Ukristo kama dini rasmi na inaweka msingi wa kanuni za Kikristo katika sheria za nchi.
- Ugiriki: Ugiriki ina idadi kubwa ya Wakristo wa Orthodox, na sheria za nchi hiyo zinazingatia misingi ya dini ya Orthodox na maadili ya Kikristo.
- Ethiopia: Ethiopia ina historia ndefu ya Ukristo na ni nchi moja ya awali kuwa na Ukristo. Sheria na katiba za nchi hiyo zina misingi ya imani ya Kikristo.