Ufafanuzi na Mchanganuo Kuhusu Biashara ya Vipodozi na Urembo

Mnatoa huduma ya kusajili kampuni.
 
Habari ya kutwa wakuu,

Naombeni ushauri kwa wale wazoefu wa hizi biashara nina mtaji wa 1.5M hiyo haijumuishi kodi ya pango. Nimefanya utafiti kati ya hizi biashara mbili moja wapo inaweza ikanifaa.

1. Biashara ya duka la vipodozi
2. Biashara ya duka la mahitaji ya nyumbani

Pia, bado sijapata eneo kama utanishauri wapi naweza enda kuweka hiyo biashara itakuwa vyema zaidi hata mikoani naweza fika kwa sasa nipo Dar.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…