Ufafanuzi na Mchanganuo Kuhusu Biashara ya Vipodozi na Urembo

Ufafanuzi na Mchanganuo Kuhusu Biashara ya Vipodozi na Urembo

Lotion gani na perfume gani nzuri kwa mwanaume? Isiwe inanukia sana yaan iwe ya kawaida na yenye harufu nzuri. Na kwa mwanamke? Nahitaji kumchukulia wifi yako? Ya wifi yako isiwe ya kuchubua au kubadilisha ngozi yaan imfanye awe ana ngozi nyororo
 
Unaishi wapi? Na bajeti yako ikoje?
 
miss naire,

Mtaji pia unatakiwa uwe na kama millioni tano ila kama upo vizuri ni million kumi , si unajua siri ya biashara ni location , pia mzigo chunguza watu wanaochukua kwenye mastoo na sio dukani maana bei huwa tofauti, na lingine ni usiuze vpodoz 2 uza na supplement ambayo inaendana na vpodozi.
 
miss naire,

Unaweza kujifunza vizuri zaidi kama utaenda kwa mtu anayefanya hiyo biashara hapo Arusha na akakuelekeza vyema A-Z maana mambo ni mengi.

Ukikwama au kama unaona ni ngumu kwako karibu uchukue kozi fupi kutoka AFYA ZAIDI (AZ) CONSULTANTS kwa njia ya whatsapp 0743422883, kuna masomo 21 na itachukua siku 5 hadi 7 kutegemea na nafasi yako.
 
Tatizo wafanyabiashara wagumu sana kama wavuvi. Mtu anajua bidhaa fulani itaexpire baada ya mwezi mmoja lkn utakuta anauza bei ile ile. Kwann usifanye punguzo kwa bidhaa ambazo zimebaki mwezi mmoja kuisha matumizi? Hii itasaidia kurudisha fedha yako angalau kidogo. Km lotion inauzwa 10,000 unafanya hata 5,000
Mkuu usiseme mimi nauzoefu na biashara.

Mteja akija kununua mara ya kwanza kwa 10000 hata ukishusha 500 hatokuja coz tayar keshakalili bei ni msimbazi hivo haji mpaka aipate.
 
Njoo nkuuzie raba simple za kumetisha na jeans kwa bei poa kabixa ya sh 4500 kwa pc ukauze mtaani kuanzia 10,000 na zinatoka bila taabu
Msaidie ktk hoja aliyoiweka ubaoni, biashara ya hereni, cheni , Pete! Hajasema anataka Raba za kuvalia jeans!
 
Wauzaji wa hii Biashara mbona hamna ushirikiano,msaada pls
Wauzaji wa biashara hii wengi wao ni wabinafsi! Hawataki kufunguka machimbo yao, wanajua tutakuwa wengi kumbe Tanzania ni kubwa, kila MTU ataenda kuuzia anapopajua yeye! Wengi wanaficha information watakwambia mzigo unapatikana China ili kukukatisha tamaa mwenye mtaji mdogo wa mil 1. Ila naskia wanachukulia Uganda ingawa sina uhakika!
 
Naomba mwenywe uelewa na biashara hii anipe dondoo nataki kufungua kibanda mtaji nilionao ni million1 nifikiri kufata mzigo Uganda japo sijawai kufika, wala cjui maduka pamoja na bei za huko na je nilileta mzigo inalipa mm npo mwanza, msaada wenu
Msaada wangu mimi niushauri tu.

Kua unapo anza biashara ucwazie sana kukulipa. Waza kwanza kua a person of value, watu wajue kabisa kua tukifika kwa flan basi hatukosi bidhaa nzuri. Kwangu mimi hio ndio idea inayonipaga nguvuu napo anza biashara.
 
Poleni na majukumu watu wanguvu kwa kuendelea kutia nia katika kutafta. Mm nami nmmoja wa wataftaji. Samahani kwa wananofanya biashara hii au kwa mwenye uzoefu au ufaham wowote, ntahitaji kufungua duka la vipodoz shinyanga hivo naomba kufahamishwa jinsi ya kufungua biashara hii vitu vya mhimu kabla na baada ya kuifungua.

Asanten wote.
 
Habari wakuu,

Leo nimeona nahitaji msaada wa mawozo nimepata ushauri mtaani nikaona nafamilia yangu ya JF kuna wenye uelewa pia.

Nina mdogo wangu amemaliza chuo yupo home na mother bi mkubwa yupo kikazi singida mjini nafikilia kufungua biashara yy asimamie pamoja na b mkubwa naomba nifahamu mtaji wa kuanza nao.

Pia vitu gani vya kuangalia ktk biashara hiyo mambo ya tin yanafahamika ushauri wenu plz.

Mwenzangu na mm ambaye unajijua hufahamu kitu utulie.

Nategemea mawazo yenu ili kuweza kulifanikisha hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni wazo zuri jaribu sana kuzingatia

i. Bidhaa zinazohitajika kwa sana mahali hapo
ii. Huyo dogo ana uzoefu wa kusimamia biashara?
iii. Je nidhamu ya fedha anayo?
iv. Biashara na ndugu siku zote asilimia za kuendelea ni ndogo sana ivyo uwe unafuatilia kwa karibu sana
v. Pia kuna bidhaa ambazo zinapigwa vita kuuzwa kwenye maduka ya vipodozi jaribu kuzingatia ilo pia
vi. Pia isajili biashara yako (Jina la biashara-BRELA)
vii. Pia mtoa huduma awe na kauli nzuri kwa wateja
viii. Pia jaribu kuwa na mpango kazi hili ukuongoze katika biashara yako

Hayo ni machache tu ya kuzingatia na mengine wadau watakuja nayo
 
Habari wakuu leo nimeona nahitaji msaada wa mawozo nimepata ushauri mtaani nikaona nafamilia yangu ya JF kuna wenye uelewa pia.Nina mdogo wangu amemaliza chuo yupo home na mother bi mkubwa yupo kikazi singida mjini nafikilia kufungua biashara yy asimamie pamoja na b mkubwa naomba nifahamu mtaji wa kuanza nao. Pia vitu gani vya kuangalia ktk biashara hiyo mambo ya tin yanafahamika ushauri wenu plz.
Mwenzangu na mm ambaye unajijua hufahamu kitu utulie.

Nategemea mawazo yenu ili kuweza kulifanikisha hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni wazo zuri lakini lazima kwanza usajili biashara yako na pia uzingatie mahali ambapo unapotaka kuanzisha hiyo biashara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni wazo zuri jaribu sana kuzingatia
i. Bidhaa zinazohitajika kwa sana mahali hapo
ii. Huyo dogo ana uzoefu wa kusimamia biashara?
iii. Je nidhamu ya fedha anayo?
iv. Biashara na ndugu siku zote asilimia za kuendelea ni ndogo sana ivyo uwe unafuatilia kwa karibu sana
v. Pia kuna bidhaa ambazo zinapigwa vita kuuzwa kwenye maduka ya vipodozi jaribu kuzingatia ilo pia
vi. Pia isajili biashara yako (Jina la biashara-BRELA)
vii. Pia mtoa huduma awe na kauli nzuri kwa wateja
viii. Pia jaribu kuwa na mpango kazi hili ukuongoze katika biashara yako

Hayo ni machache tu ya kuzingatia na mengine wadau watakuja nayo

Karibu sana

Kwa ushauri zaidi usisite kutembelea www.fbctz.co.tz
Mawasiliano: 0746905773/ 0763954509
Asante ndugu nitakucheki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom