Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Tafuta eneo mwenge nenda kanunue wig Kkoo uza hapo upate hela mtaji ukikua ndio uchanganye na mafuta pamoja na perfume za kike, wig na weaving pamoja na make up ndio biashara yenye mzunguko wa haraka na kukuza mtaji ila uwe maeneo ya mjini ukiweza jichanfanye saba saba upate ujanja wa mawigi yanayotembea; Sabasaba ya Kariakoo huku kwenye urembo hautapotea ni password hiyo nimekupa.