Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Chukua hiiHakuna common formula ya kufuata
Kwenye kufungua Biashara Tazama.
1) Mazingira ya Biashara
2) Mtaji wako
3) Future plan yako
Haikubaliki na TFDA
Mkuu uko mwananyamala au mwenge?Ila kwa eneo ambalo nipo vipodozi vinalipa mpaka unajiuliza muda wote kwanini sikufanya hii biashara.
Hapo kwa wanawake wauzie bidhaa za bei nafuu kama sandals za elfu mbili mbili au vipodozi vya bei nafuu.Biashara nazoziamini anytime hazimtupagi mtu ni za chakula na wanawake. Ukiweka mtaji eneo mojawapo hapo huwezi kushinda njaa.
Nguo na vipodozi, viwe kwenye trend ya muda huo.Hapo kwa wanawake wauzie bidhaa za bei nafuu kama sandals za elfu mbili mbili au vipodozi vya bei nafuu
Hata ukiuza elf 10 watakuja tu. Wanawake wako addicted na shopping na asilimia kubwa hela za shopping huwa wanapewa so sio wachungu nazo kama sie vidume tunaotafuta.Hapo kwa wanawake wauzie bidhaa za bei nafuu kama sandals za elfu mbili mbili au vipodozi vya bei nafuu
Hahah hela yoyote mpo radhi kutoa alimradi nguo awe kaivaa staa sio. Hapo ndipo napowakubali watoto wa kike yani, kwenye biashara huwa hamtuangushiNguo na vipodozi, viwe kwenye trend ya muda huo.
Na Zuena pia alinunua jana, ngoja niwahi kabla Jasmine pia hajanunua nisipitwe na fashion πHahah hela yoyote mpo radhi kutoa alimradi nguo awe kaivaa staa sio. Hapo ndipo napowakubali watoto wa kike yani, kwenye biashara huwa hamtuangushi
Mkuu uswazi ndo kuna pesa japo unaweza kuiona ndogo.Hata ukiuza elf 10 watakuja tu. Wanawake wako addicted na shopping na asilimia kubwa hela za shopping huwa wanapewa so sio wachungu nazo kama sie vidume tunaotafuta.
πππNa Zuena pia alinunua jana, ngoja niwahi kabla Jasmine pia hajanunua nisipitwe na fashion π
Sio wote inategemea na status ya mtu na eneo.Hahah hela yoyote mpo radhi kutoa alimradi nguo awe kaivaa staa sio. Hapo ndipo napowakubali watoto wa kike yani, kwenye biashara huwa hamtuangushi.
Tuna mashindano ya ajabu, alafu uwe unaongoza hakuna wa kuku piku mume analeta habari ya ujenzi.πππ
Nilifanya biashara sehemu fulani jirani yangu alikuwa anauza mpaka viatu vya laki mbili kwa buku buku kwa kila piece of π na faida ni nusu jero kila piece.Hata ukiuza elf 10 watakuja tu. Wanawake wako addicted na shopping na asilimia kubwa hela za shopping huwa wanapewa so sio wachungu nazo kama sie vidume tunaotafuta.
I know you (wanawake)Tuna mashindano ya ajabu, alafu uwe unaongoza hakuna wa kuku piku mume analeta habari ya ujenzi.
Hahahah kwa kweli, mnashindana kuvaa sio!Na Zuena pia alinunua jana, ngoja niwahi kabla Jasmine pia hajanunua nisipitwe na fashion π
Kila mtu ni mjuaji zaidi ya wenzake si kuvaa tu hata vipodozi.Hahahah kwa kweli, mnashindana kuvaa sio!
Kweli mkuu, hilo nakubali na mie ndio maana nataka nijimix kwenye biashara za kimachinga. Zina hela sana japo watu watanishangaa ila nina malengo yangu katika biashara. Unakata pair za buku buku!Mkuu uswazi ndo kuna pesa japo unaweza kuiona ndogo