Ufafanuzi na Mchanganuo Kuhusu Biashara ya Vipodozi na Urembo

Naombeni kufahamu ni wapi naweza kununua vipodozi vya UK na US etc vile original kwa Bei ya JUMLA. Natamani kuanza hata na bidhaa chache lakini kweli ziwe ni genuine products.

#NoFake ZoneProducts#
 
Mtafute mtu anaitwa Faiz yupo kkoo
 
Mal_more_care

Angalia products huko Ila bei mwombe FAIZ

wana maduka mawili bei ya insta ni bei za Duka la Sinza

Inbox nikupe namba yake
Ndugu nami nahitaji sana kupata sehem ntapata bidhas kwa bei nzuri, naifanya hii biashara kwa zaidi ya miezi sita ila tatizo sijapata sehem nayoweza kupata mzigo kwa bei nzuri, pls assist ..[emoji120][emoji120][emoji120]
 
MKuuu ubarikiwe sana hii ni moja ya post Muhimu sana kwangu....Safi sana
 
Ndugu nami nahitaji sana kupata sehem ntapata bidhas kwa bei nzuri, naifanya hii biashara kwa zaidi ya miezi sita ila tatizo sijapata sehem nayoweza kupata mzigo kwa bei nzuri, pls assist ..[emoji120][emoji120][emoji120]
Boss ulianza na mtaji wa bei gani?

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Boss ulianza na mtaji wa bei gani?

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app

Nilianza na Mtaji wa kama 8M ila niko mkoani so changamoto kubwa nayokutana nayo ni upatikanaji wa Bidhaa kutoka kwa wauzajo wakubwa, ujue unapoanza biashara unaweza kupigwa pia, na changamoto kubwa zaidi ni kukuuziwa bidhaa zisizo original, yaan copy ya original, au unaweza kua nazo original ila competitor wako anazo copy so anauza kwa bei ndogo kuliko wewe,
 
Madini kama haya ya kuondokana na umasikini kwa kupeana michongo kama hii ni jambo jema sana, hakika umetoa elimu toshelezi mkuu, safi sana na ubarikiwe.
 
Ahsante kwa taarifa inapendeza...

Ila hapo bei zao zipo juu kiasi...
Ukienda kwa wale wanaowauzia hao ndiyo unakuta bei ipo chini zaidi sema wanataka uwe unachukua mzigo mkubwa...
Ni wapi huko please naomba unielekeze
Ahsante kwa taarifa inapendeza...

Ila hapo bei zao zipo juu kiasi...
Ukienda kwa wale wanaowauzia hao ndiyo unakuta bei ipo chini zaidi sema wanataka uwe unachukua mzigo mkubwa...
 
Biashara ya vipodozi minimum uwe na hata 1.5 ili uwe na sort angalau mbalimbali za vipodozi.
Kutaka angalau kujaza jaza duka. Atleast uwe na 3milion.
Chimbo hilo jamaa kalitoa zuri sana.
Kwa vipodozi vinavyotrend
1. Wix za director joan.( yupo kinondoni, na tandale)
2. Esta dalali (sinza madukani)
3. Sacques “sachko” ( sinza mabatini/kijitonyama)
Ukiweka hizi utapata sana, changanya. Kwa mtaji wowote. Hawa wana vitu. Na arrangement zao zitakufanya ujue biashara ya vipodozi inataka nini zaidi na wanatoa ushauri. Maana wao ni wauzaji wa jumla na rejareja.

Sasa wale watu wa mambo mengi. Wa kuanzia 4-10m akili mtu wangu. Tafuta mzigo kwa ushauri ili upate kitu kizuri na chenye faida ila bila hivo. Utabaki unauza kila siku, ila upo pale pale. Alafu wenye walianza na mitaji midogo wanakufikia chap.(akili mtu wangu)
 
Vigezo ni
Leseni
Tin number
Kibali cha TFDA

Mtaji inategemea na layout ya Duka lako unataka lionekane vipi
Maximum ukiwa na Milion 5
But hata ukiwa na Milion 3 kwa kuanzia sio mbaya.
Hii 3/5 million ni ununue bongo au nje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…