kokudo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2010
- 2,571
- 1,760
Huyu Faiz ndo Faiza ally au ni watu wawili tofautiKkoo kuna mtu anaitwa Faiz anavile vya High quality vya kubutulia bei.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu Faiz ndo Faiza ally au ni watu wawili tofautiKkoo kuna mtu anaitwa Faiz anavile vya High quality vya kubutulia bei.
ThanksVIPODOZI [emoji116][emoji116][emoji116]
Anzisha Biashara ya Vipodozi Kiulaini Kabisa:- Mwanzo huu hapo. Unapotaja biashara ambazo watu huendelea kupiga pesa hata kama uchumi umedorora basi lazima utataja vyakula,Nk kwanza lakini kama ukiambiwa uongeze bidhaa nyingine hapo basi ongezea na vipodozi, hasa vya wakina mama.
Mwanamke lazima asuke, apake mafuta na ajipulizie perfyumu ndio atajiona yupo tayali kutoka kwenda ibadani, kazini, kutembea au hata kujibrand tu. Hivyo basi mahitaji ya vipodozi siku zote yapo juu na ukianzisha biashara hii ukiwa na malengo, uvumilivu na displini basi itakutoa na mchakato wake ni mwepesi kabisa. Endelea kusoma.
Ukifika Bigbon ya Kariakoo kama unatokea fire, vuka barabara, hayo majengo ya mbele yako ukiyazunguka au ukiingia ndani kupitia uchochoro wowote unatokea kwenye himaya ya vipodozi. Ingia kwenye hilohilo jengo la mbele yako. Eneo hilo zamani yalikuwa yanapaki madaladala ya kwenda Sinza na Ubungo na sasa hivi kuna kituo cha mwendo kasi pia.
Kwa kulia kuna mtaa wa Mafia ukishuka nao pia utaanza kukutana na maduka ya vipodozi. Kwa kushoto kuna barabara ya (Pemba) na Jangwani pia hayo ni maeneo ya vipodozi na nywele
Lakini sio tu nywele dizaini zote na vipodozi utavikuta hapa kwa bei ya jumla na rejareja lakini mazagazaga yote ya urembo utayakuta hapa, lipstick, rangi za kucha, perfyume, body freshener, mafuta ya lotion, ya mgando, ya nywele, scrub na kila kitu kinachohusiana na urembo na mambo ya saluni za wanawake.
Kama unamtaji wako na unandoto ya kuanzisha biashara ya vipodozi basi kabla hujafikiria kwenda china au dubai au Zambia anzia hapa. Kupata nywele za Brazilian sio lazima uende Brazil, utazitkuta hapa pia.
Ukiwa na pesa ya mtaji mdogo tu wa kawaida unaweza kufunga mzigo wa maana tu na kurudi nao kwenu kufungua biashara ya ndoto zako sababu hapa yamejaa maduka yanayouza jumla na rejareja. Kama umenunua nywele au mafuta mtaani kwako kuna uwezekanao mkubwa nywele au mafuta hayo yamenunuliwa hapa na muuzaji mwingine wa duka la jumla ambae kamuuzia aliyekuuzia wewe.
Kuuliza bei na ku bargain ni kitu muhimu sana hapa, usinunue vitu kwenye duka la kwanza utakalokutana nalo, utatakiwa uwe mjasiri wa kuuliza bei na kuondoka bila aibu ukiwa mkavu kabisa na kuuliza duka linalofuatia na linalofuatia. Usiishie kwenye maduka ya nje ingia na frame za ndani uone na kuuliza. Mfano, Mafuta ya American dream ambayo mitaani yanauzwa elfu 40 na zaidi kwenye hili soko la vipodozi yanaazia elfu 25, ingawa maduka mengi watakuambia elfu 30.
Hii inamaanisha kuwa kuna wenye maduka hapo wanauza jumla nao wananunua kwa wenzao hapohapo wanaongeza cha juu kidogo na wao pia wanauza kwa bei ya jumla. Mfano nywele zinaitwa coco ambazo mtaani huuzwa 1,500 humo utazikuta kwa 800 mpaka 1,350, na cha kufurahisha zaidi wadada wanaokimbia gharama za kusuka saluni za mitaani huenda kusukia hapo hapo. Ndio, wasusi ni wengi sana pia mitaa hiyo, unanunua nywele kwa bei ya jumla na kusukwa hapo hapo.
Kukupa uhakika kuwa hauingii chaka utaona kwenye maduka makubwa kuna mafurushi mengi na makubwa ya mizigo ya vipodozi inayonunuliwa na kufungwa kwenye mabox na viroba kwa ajili ya kutuma mikoani na maeneo mengine ya mji wa Dar. Kwahiyo wakati wewe utabaki unajiuliza maswali ninunue au nisinunue utaona wenzio wanafungasha na kupeleka kwenye malori.
Wauzaji wa hapa wanapataje hivyo vipodozi na nywele? Kwa mfanya biashara mdogo usijipe hii presha subiri mpaka ukue kwanza lakini kwa mfanyabiashara mkubwa ni kua kuna wachina wana magodown ambapo unatakiwa uweze kuchukua kiwango kikubwa sana kwa wakati mmoja.. [emoji1666]

Njoo pm tunaweza kufanya kitu ...Nanunulia msimbazi kariakoo hapo ndipo kuna maduka ya vipodozi
Huyu Faiz ndo Faiza ally au ni watu wawili tofauti
Naomba namba yao tafadhariDuh Faiz na Faiza ni watu wawili tofauti
Faiza ally hana Duka la vipodozi Kariakoo.
Daaaah mikoani sisi jumla tunauziwa hiyo 25000, au zinatofoutiana?American dream bei ya jumla ni 18,000
Mimi Nauza rejareja 25,000
Ndo bei za wabongo hizoDaaaah mikoani sisi jumla tunauziwa hiyo 25000, au zinatofoutiana?
Wallah roho imeniuma! Kumbe nami naweza kununua kwa 18 alafu nauza jumla 25! DaaahNdo bei za wabongo hizo
Vipi huyu wa kuitwa Rich&Pure ni mzuri? Maana anasifika sanaDuh Faiz na Faiza ni watu wawili tofauti
Faiza ally hana Duka la vipodozi Kariakoo.
Vipi huyu wa kuitwa Rich&Pure ni mzuri? Maana anasifika sana
Daaaah mikoani sisi jumla tunauziwa hiyo 25000, au zinatofoutiana?
Mwisho wa mwezi ndo naagiza nitakutafutaNitafute nikuuuzie kwa bei ya jumla
Hamna tofauti maisha ndo haya haya
Mwisho wa mwezi ndo naagiza nitakutafuta
Poa0755-155782
Uza mkorogoUnanunulia wapi mkuu
Vipodozi vya Jumla vinapatikana ukiwa tayari nikuelekeze duka lilipo uwendeMkuu bidhaa za vipodozi kwa bei ya jumla vinapatikana wapi niko Northern Zone