Ufafanuzi na Mchanganuo Kuhusu Biashara ya Vipodozi na Urembo

Ufafanuzi na Mchanganuo Kuhusu Biashara ya Vipodozi na Urembo

Ndugu nami nahitaji sana kupata sehem ntapata bidhas kwa bei nzuri, naifanya hii biashara kwa zaidi ya miezi sita ila tatizo sijapata sehem nayoweza kupata mzigo kwa bei nzuri, pls assist ..[emoji120][emoji120][emoji120]
Vipi kwa uzoefu wako hiyo miezi 6 umeionaje changamoto,faida,hasara nk

unaweza kushare na sisi tukajifunza
 
Back
Top Bottom