kokudo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2010
- 2,571
- 1,760
Unanunulia wapi mkuuM2 ni nyingi sana ukiamua mm naifanya hii biashara japo mtaji wangu ni laki moja natembeza mtaani na inanisaidia asante Mungu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unanunulia wapi mkuuM2 ni nyingi sana ukiamua mm naifanya hii biashara japo mtaji wangu ni laki moja natembeza mtaani na inanisaidia asante Mungu.
Mpe muongozo...Nina usingizi..nitarudi
Not today..Ila nitarudiMpe muongozo...
Vibaya hivyo...Not today..Ila nitarudi
HahaVibaya hivyo...
Roho mbaya haijengi...Haha
Nina roho mbaya tena Jamani...embuuuRoho mbaya haijengi...
Kwa roho nzuri yake, embu toa muongozo...Nina roho mbaya tena Jamani...embuuu
Nitatoa baadae etiKwa roho nzuri yake, embu toa muongozo...
Linalowezekana muda huu lifanye...Nitatoa baadae eti
Haha sawaLinalowezekana muda huu lifanye...
Changamoto kubwa .... kuna vipodozi feki vingi sana ambavyo vipo mtaani ....
Nanunulia msimbazi kariakoo hapo ndipo kuna maduka ya vipodoziUnanunulia wapi mkuu
We unaona m2 ndogo sio bhasi sawa acha niongeze ifike 5 ninunue mkoko wakulia totozi
Vipi kwa uzoefu wako hiyo miezi 6 umeionaje changamoto,faida,hasara nkNdugu nami nahitaji sana kupata sehem ntapata bidhas kwa bei nzuri, naifanya hii biashara kwa zaidi ya miezi sita ila tatizo sijapata sehem nayoweza kupata mzigo kwa bei nzuri, pls assist ..[emoji120][emoji120][emoji120]