Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KM hutojali naomba namba ako ya CM, kwa mawasiliano zaidNi biashara nzuri uza mafuta yaliyokubaliwa tuu na TFDA yenye viashiria na viambato achana nayo..upo mkoa gani nikushauri aina ya mafuta utakayo yauza na pia uzingatie yenye bei kutokana na maeneo uliyopo...hiyo ndio yenye mahitaji ya kila siku watu watakuja kununua...PM siji ntakueleza hapa hapa wapi kwa kununua na aina gani ya bidhaa uanze nazo kama mtaji mdogo..,
Nko TABORA-KALIUA, santeeee kwa ushauri mzuriNi biashara nzuri uza mafuta yaliyokubaliwa tuu na TFDA yenye viashiria na viambato achana nayo..upo mkoa gani nikushauri aina ya mafuta utakayo yauza na pia uzingatie yenye bei kutokana na maeneo uliyopo...hiyo ndio yenye mahitaji ya kila siku watu watakuja kununua...PM siji ntakueleza hapa hapa wapi kwa kununua na aina gani ya bidhaa uanze nazo kama mtaji mdogo..,
Samahani mkuu kwa kudandia hii train kwa mbele, naomba nikuulize kuwa, hutajuaje vipodozi au mafuta yaliyokatazwa na TFDA?Chochori nipo SA ntakushauri sehemu ya kununua kwa Dar mi kkoo eneo moja linaitwa saba saba ni kwa ajili ya vipodozi tuu nunua mafuta ya mgando mchanganyiko sana kuliko lotion kutokana na hali ya hewa ya huko utachanganya na mengine ya nywere taratibu tuu utafika mafuta ni hela sana ila usiuze yale yasitakiwa watachukua duka lote wakija wateja ndio wanaokuuza huko TFDA...
Santeeeeeeeee! naomba ucnichoke mapema, nitaitaj kujua mengi juu ya vipodoz.Njopino mafuta yaliyokatazwa na TFDA yana viambata vya Vream za kuchubua ngozi wakina dada kama betasol na zinginezo ila mafuta ya kawaida hayana hivyo viambata na pia kama unataka kujikita katika vipodozi ni bora ukaenda TFDA unapata copy ya mafuta na cream wasizozitaka huku hizo cream kwa hiyo tunabeba tuu yote Tz yanakubalika ila kuja kununua mafuta SA lazima upate kibali tena TFDA kwa kuagiza hayo mafuta nje huwa kinakua cha muda wa mwaka kuja chini na kila tripu unayosafiri inatakiwa utoe taarifa TFDA na kulipia kidogo sana kwa bidhaa utakazobeba ni 0.001% nadhani ila ipo poa tuu..
Santeee kwa ushauri mzuri, uendelee kuwa na moyo wa ivyo kwan, ni wachache weny moyo km wako.Chochori ni kununua katika maduka haya kkoo kwa Jofu,Sauli au kwa Azizi hawa ndio wauzaji wa mafuta ya kutoka SA mambo ya kujua feki na og ukiwa katika gemu utajua kutofautisha kwa sasa hata uelekezwe vip ni ngumu wewe uza na kununua mafuta..jua wapi kwa kununua na soko lako linahitaji nini basi ila chukua haya ya bei rahisi na nywere hizi wigi za bei rahisi ukiuza kwa wingi unapata faida..
Asante mkuu nikitaka nianze biashara ya mazao au vipodozi na vifaa vya pikipiki natakiwa niwe na mtaji unaokadilia sh ngapi kaka?Pamoja wakuu ulizeni tuu msisite mimi nipo katika hili gemu la biashara muda na nauza vitu vingi huko kuweni huru tuu maana hata mimi kabla sijajua chochote wapo niliowasumbua kwa namna moja au nyingine...
K! Kimo cha chini kabisa kiazio cha mtaji, n km shlng gap?Pamoja wakuu ulizeni tuu msisite mimi nipo katika hili gemu la biashara muda na nauza vitu vingi huko kuweni huru tuu maana hata mimi kabla sijajua chochote wapo niliowasumbua kwa namna moja au nyingine...
Nashukuru sana mkuu mimi niko Mbeya kweli kitu umenambia.King makolokolo upo mkoa gani.. mtaji ni kigezo ila taarifa ni muhimu za biashara kama upo Dar fanya mazao au vipodozi haya ni mahitaji ya kila siku spea za piki piki sio mahitaji ya kila siku mpaka piki piki iharibike sio leo na mzunguko wake ni mdogo wengi wanauza ingawaje zipo nyingi ila mahitaji ya chakula ni ya Lazima tuje tununue au colgate au mafuta tutapakaa tuu..mikoani vyakula vinauzwa bei ndogo mbeya eneo la mbalizi au serenje pale kuna maharage ambayo yanapendwa sasa hivi na pale kipindi kingi bei ipo chini unaweza ukaanza kidogo ila juhudi zako na kubana matumizi kuishi kutokana na kipato chako baada ya mwaka tuu unakua tofauti kipato hapo magonjwa na mambo mengine nimeweka constant...mby mpaka dar ni 800km nauli mpaka 30,000 unafika unarudi ukipakia hata gunia zako tano au kumi katika maroli yanayorudi Zambia tipu wewe dar unauza reja reja katika kilo mbeya umepiwa katika plastic au debe! usikae kujiandaa sana au kuwa muoga na hela ulionayo hela uliyonayo ndio mtaji wako ni kukaza tuu..