Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini vipodozi vingi vyenye viambata vinavyochubua ngozi vimepigwa marufukusijui faida yake ni kubwa kwa sababu bleachers ni wengi
Sure natamani Sana kuijua na kuifanya hii biasharaBiashara yeyote inayomlenga mwanamke kwa 80% ama zaidi lazima iwe na maslahi mazuri tu. Hasa hii ya kujikoboa ndio dah, wenyewe wanaita kitaulo! Hakuna anayetaka kuonekana mbaya!
Tatizo wabongo tuna roho za kwanini ila jaribu kuwatafuta tu wazoefu wanaofanya hio business unaweza kufanikiwa mkuu!
naskia ishu ni mtaji maana vimafuta vya wadada bwana...Niliombwa na mpenzi wangu nipitie duka la vipodozi nimchukulie mafuta ..BEI nlokuta mi niliacha maana niliona huu ni ufujaji hela huwezi ninunulisha kikopo kdg kama cha mafuta ya baby care eti 20,000 sikumchukulia kwakweli nilienda mwambia nimekosa.
so Tukirudi kwenye mada Mtaji ndo tatzo maana mafuta kama hayo ya 20k bei ya jumla sidhani kama ni chini ya 10k sasa kimafuta kinauzwa 10k utanunua vingap uviweke dukani?
Na hawa wadada akija trip ya kwanza kakuulizia Ukamwambia HUNA ya pili HUNA ya tatu HUNA basi huyo mteja anakuhama...Kuna mtu alinambia Kwa haraka haraka ki duka cha kawaida kabisaaaaaaa cha urembo Hapo ushalipa Kodi kila kitu ni Mtaji tu BASI isiwe chini ya 5M kama upo serious kweli na hii biashara.
Ila kama unataka kutest hujiamini hata 1M unaanza...
Kwa kusema kweli biashara ya vipodozi inalipa vizuri tu ukiielewa vizuri na kucheza vizuri na soko lako na biashara yenyewe kwa ujumla.Salaam
Natumai muwazima wa afya, yoyote atakae bahatika kuuona uzi huu basi asiache kutoa chochote kitu ambacho kitanisaidia sana kuongeza maarifa katika hii maada niliyo ileta kwenu nikiamini kabisa kuwa nyie ndio watu wa pekee wa kunipa msaada kimawazo
Natamani na napenda sana kufanya biashara ya vipodozi(cosmetics) nasikia tu kwa watu kuwa ina mslahi sana lakini changamoto ni kwamba Sina ufahamu mkubwa sana kuhusu biashara hii mfano nilishajiuliza maswali kama
1.Nikiasi gani cha mtaji kinahitajika (minimum amount of capital)
2.Ni vipodozi vya aina gani vyenye uhitaji mkubwa sana sokoni (consumer needs)
3.Ni vipodozi gani vina faida kubwa sana
4.Hasara ambazo unaweza pata
5.Sehemu ya kuweka duka(Matter of location)
6.Sehemu nzuri ambayo naweza fungasha mzigo kwa bei rahisi sana( iwe nje au hata ndani ya nchi hapa mkoa wowote ule)
Na vitu vingine vingi tu ambavyo watu huwa wanazingatia pindi wanapo amua kuanzisha biashara
NAOMBA MSAADA WAKO KATIKA HILI MWANA JF
Sent using Jamii Forums mobile app
Iwe angalau millioni 4 kwenda juuSalaam
Natumai muwazima wa afya, yoyote atakae bahatika kuuona uzi huu basi asiache kutoa chochote kitu ambacho kitanisaidia sana kuongeza maarifa katika hii maada niliyo ileta kwenu nikiamini kabisa kuwa nyie ndio watu wa pekee wa kunipa msaada kimawazo
Natamani na napenda sana kufanya biashara ya vipodozi(cosmetics) nasikia tu kwa watu kuwa ina mslahi sana lakini changamoto ni kwamba Sina ufahamu mkubwa sana kuhusu biashara hii mfano nilishajiuliza maswali kama
1.Nikiasi gani cha mtaji kinahitajika(minimum amount of capital)
2.Ni vipodozi vya aina gani vyenye uhitaji mkubwa sana sokoni(consumer needs)
3.Ni vipodozi gani vina faida kubwa sana
4.Hasara ambazo unaweza pata
5.Sehemu ya kuweka duka(Matter of location)
6.Sehemu nzuri ambayo naweza fungasha mzigo kwa bei rahisi sana( iwe nje au hata ndani ya nchi hapa mkoa wowote ule)
Na vitu vingine vingi tu ambavyo watu huwa wanazingatia pindi wanapo amua kuanzisha biashara
NAOMBA MSAADA WAKO KATIKA HILI MWANA JF
Sent using Jamii Forums mobile app
Gud! isee wasipoelewa hawataelewa tena.Kwa kusema kweli biashara ya vipodozi inalipa vizuri tu ukiielewa vizuri na kucheza vizuri na soko lako na biashara yenyewe kwa ujumla.
1. Nikiasi gani cha mtaji kinahitajika(minimum amount of capital) = Inategemea na msuli wako. Ila minimum uwe na kama Tsh Millioni Saba Hivi (7,000,000/=) Hivi kwa maeneo ya mjini; i.e.
- Kukodi fremu = Tsh 100,000/= kwa mwezi, miezi 6 >> 600,000/=; dalali utajuana naye mwenyewe
- Kusajili TFDA = 150,000/=
- Leseni halmashauri = 80,000/=
- Kodi TRA kama Tsh 150,000/= hivi kwa mwaka, quarter 1 utalipia Tsh 37,500/=
- Kuweka mashelfu ya aluminium na vioo = 1,000,000/=
- Kabati la chini la aluminium na vioo = 400,000/=
- Vipodozi angalau vya kuanzia = 4,000,000/=
- Pesa ya kukaa standby kwa ajili ya kuongezea vipodozi watakavyokosa wateja = 1,000,000/=
- Pia uwe na akiba ya kuendelea kuishi na kuhudumia familia yako bila kudokoa pesa kutoka kwenye duka lako kwa angalau miezi 3 hivi
View attachment 1078393
2.Ni vipodozi vya aina gani vyenye uhitaji mkubwa sana sokoni(consumer needs) = Soko la vipodozi mara zote ni dynamic; leo wateja wako wanatumia Rinju, baada ya miezi 6 watakuwa wanatumia kitu kingine. Pia inategemea sana na eneo utakaloweka duka lako, kuna maeneo wananunua bei na kuna maeneo wananunua brand. Ukitaka kufanikiwa hapa ngoja wakati ukiwa tayari kufungua duka basi fanya survey maduka ya wenzako wamestock nini kisha nenda kwa duka la jumla la eneo lako mwambie unataka ufungue duka la rejareja na ununue vipodozi kwake, muombe akuambie vipodozi vinavyotembea kwa wakati huo na vipodozi gani vya kuwa navyo anyway. Kwa hiyo ukiwa tayari kuingia sokoni ndo utafiti hili
3.Ni vipodozi gani vina faida kubwa sana = Vipodozi vyote vina faida kubwa sana. Faida inatokana na kasi ya kutoka kwa kipodozi husika na tofauti kati ya bei ya kununulia na kuuzia (profit margin). Kwa ushauri wangu ni bora uangalie mahitaji ya wateja wako kuliko faida. Unaweza kuweka vipodozi vyenye faida kubwa halafu vikawa havina movement kwenye location yako - utaangukia pua. Au unaweza kuweka vipodozi vya bei ya chini ambavyo wateja wako hawaviamini na wala hawavitumii.
View attachment 1078397
4.Hasara ambazo unaweza pata = Hili nimekuwa nikiwafundisha sana watu wanaokuja kujifunza kwetu biashara ya vipodozi A-Z. Zipo nyingi, ila karibia zote zinaepukika. Muuzaji kukuibia, adhabu za TFDA, adhabu za TRA, adhabu za halmashauri, vipodozi kuharibika, gharama za uendeshaji kuwa kubwa kuliko faida ghafi (gross profit) na kadhalika.
List ya vipodozi vilivyoruhusiwa kuuzwa na vilivyokatazwa kuuzwa zote zinapatikana kwenye tovuti ya TFDA: www. tfda. go. tz (Toa hizo space)
5.Sehemu ya kuweka duka(Matter of location) = Location kama kawaida, wewe tu na ubavu wako; ila ukipata mtaa wenye wakazi wengi au sehemu yenye movement nzuri ya watu - hususan akina dada basi umewin. Iwe ni njia ya kwenda university, mtaa wenye biashara ambazo wateja wake wengi ni wanawake, mtaani wanakokaa hao akina mama, mjini, sokoni nk. Zingatia sheria za TFDA, kuna baadhi ya maeneo hutakiwi kuweka duka la vipodozi (mfano karibu na kituo cha mafuta) hata kama kibiashara ni strategic location (Please kabla ya kulipia fremu kaonane na TFDA, eneo lako lisije kukataliwa wakati umeshalipia)!
6.Sehemu nzuri ambayo naweza fungasha mzigo kwa bei rahisi sana( iwe nje au hata ndani ya nchi hapa mkoa wowote ule) = Kariakoo is the best (ila usipokuwa makini inawezakuwa the worst)! Siku za kwanza nenda na mwenyeji tu hadi utakapomaster, vinginevyo utanunua kwa walionunua na hivyo kupata vipodozi kwa bei mbaya na kuuza kwa bei mbaya - kumbuka akina mama ni very sensitive kwenye suala la bei kwa hiyo ukiuza bei juu hata kwa tofauti ya Tsh 500/= tu basi watapita duka lako na kwenda kununua kwa jirani yako au hata mbali sana; unaweza kuhisi umerogwa, ila 500/= mwenzako anapata vocha!
Ila kitu kimoja - changieni maduka ya jumla ya mikoani kwenu. Kwa hiyo kama haupo Dar es salaam basi usinunue kutoka Kariakoo, tafuta maduka ya jumla hukohuko mkoani kwenu.
I am done & Out!
Ukihitaji kujua zaidi ya hayo basi karibu ..... nitakupa darasa zaidi maana kuna mambo kama 21 hivi ambayo nitakufundisha kwa wiki 1 (Kila siku nitakufundisha mambo matatu makubwa) kuhusu kuanzisha, kusimamia na kuendeleza duka lako la vipodozi ..... (Ila utanipodha soda mbili 😂😂😂 maana ni consultancy eti 🙂🙂🙂)
Viva JF!
AFYA ZAIDI (AZ) CONSULTANTS
0719326693 | 0743422883 | afyazaidi@gmail.com
Kwa kusema kweli biashara ya vipodozi inalipa vizuri tu ukiielewa vizuri na kucheza vizuri na soko lako na biashara yenyewe kwa ujumla.

Hahahaaaaa. Umenichekesha eti "Kitaulo"Biashara yeyote inayomlenga mwanamke kwa 80% ama zaidi lazima iwe na maslahi mazuri tu. Hasa hii ya kujikoboa ndio dah, wenyewe wanaita kitaulo! Hakuna anayetaka kuonekana mbaya!
Daaaah jamaa hongera sana. Hapa uliua kila kitu ubarikiwe maana mada kama hizi humu jf hazijadiliwi kabisa.Kwa kusema kweli biashara ya vipodozi inalipa vizuri tu ukiielewa vizuri na kucheza vizuri na soko lako na biashara yenyewe kwa ujumla.
1. Nikiasi gani cha mtaji kinahitajika(minimum amount of capital) = Inategemea na msuli wako. Ila minimum uwe na kama Tsh Millioni Saba Hivi (7,000,000/=) Hivi kwa maeneo ya mjini; i.e.
- Kukodi fremu = Tsh 100,000/= kwa mwezi, miezi 6 >> 600,000/=; dalali utajuana naye mwenyewe
- Kusajili TFDA = 150,000/=
- Leseni halmashauri = 80,000/=
- Kodi TRA kama Tsh 150,000/= hivi kwa mwaka, quarter 1 utalipia Tsh 37,500/=
- Kuweka mashelfu ya aluminium na vioo = 1,000,000/=
- Kabati la chini la aluminium na vioo = 400,000/=
- Vipodozi angalau vya kuanzia = 4,000,000/=
- Pesa ya kukaa standby kwa ajili ya kuongezea vipodozi watakavyokosa wateja = 1,000,000/=
- Pia uwe na akiba ya kuendelea kuishi na kuhudumia familia yako bila kudokoa pesa kutoka kwenye duka lako kwa angalau miezi 3 hivi
View attachment 1078393
2.Ni vipodozi vya aina gani vyenye uhitaji mkubwa sana sokoni(consumer needs) = Soko la vipodozi mara zote ni dynamic; leo wateja wako wanatumia Rinju, baada ya miezi 6 watakuwa wanatumia kitu kingine. Pia inategemea sana na eneo utakaloweka duka lako, kuna maeneo wananunua bei na kuna maeneo wananunua brand. Ukitaka kufanikiwa hapa ngoja wakati ukiwa tayari kufungua duka basi fanya survey maduka ya wenzako wamestock nini kisha nenda kwa duka la jumla la eneo lako mwambie unataka ufungue duka la rejareja na ununue vipodozi kwake, muombe akuambie vipodozi vinavyotembea kwa wakati huo na vipodozi gani vya kuwa navyo anyway. Kwa hiyo ukiwa tayari kuingia sokoni ndo utafiti hili
3.Ni vipodozi gani vina faida kubwa sana = Vipodozi vyote vina faida kubwa sana. Faida inatokana na kasi ya kutoka kwa kipodozi husika na tofauti kati ya bei ya kununulia na kuuzia (profit margin). Kwa ushauri wangu ni bora uangalie mahitaji ya wateja wako kuliko faida. Unaweza kuweka vipodozi vyenye faida kubwa halafu vikawa havina movement kwenye location yako - utaangukia pua. Au unaweza kuweka vipodozi vya bei ya chini ambavyo wateja wako hawaviamini na wala hawavitumii.
View attachment 1078397
4.Hasara ambazo unaweza pata = Hili nimekuwa nikiwafundisha sana watu wanaokuja kujifunza kwetu biashara ya vipodozi A-Z. Zipo nyingi, ila karibia zote zinaepukika. Muuzaji kukuibia, adhabu za TFDA, adhabu za TRA, adhabu za halmashauri, vipodozi kuharibika, gharama za uendeshaji kuwa kubwa kuliko faida ghafi (gross profit) na kadhalika.
List ya vipodozi vilivyoruhusiwa kuuzwa na vilivyokatazwa kuuzwa zote zinapatikana kwenye tovuti ya TFDA: www. tfda. go. tz (Toa hizo space)
5.Sehemu ya kuweka duka(Matter of location) = Location kama kawaida, wewe tu na ubavu wako; ila ukipata mtaa wenye wakazi wengi au sehemu yenye movement nzuri ya watu - hususan akina dada basi umewin. Iwe ni njia ya kwenda university, mtaa wenye biashara ambazo wateja wake wengi ni wanawake, mtaani wanakokaa hao akina mama, mjini, sokoni nk. Zingatia sheria za TFDA, kuna baadhi ya maeneo hutakiwi kuweka duka la vipodozi (mfano karibu na kituo cha mafuta) hata kama kibiashara ni strategic location (Please kabla ya kulipia fremu kaonane na TFDA, eneo lako lisije kukataliwa wakati umeshalipia)!
6.Sehemu nzuri ambayo naweza fungasha mzigo kwa bei rahisi sana( iwe nje au hata ndani ya nchi hapa mkoa wowote ule) = Kariakoo is the best (ila usipokuwa makini inawezakuwa the worst)! Siku za kwanza nenda na mwenyeji tu hadi utakapomaster, vinginevyo utanunua kwa walionunua na hivyo kupata vipodozi kwa bei mbaya na kuuza kwa bei mbaya - kumbuka akina mama ni very sensitive kwenye suala la bei kwa hiyo ukiuza bei juu hata kwa tofauti ya Tsh 500/= tu basi watapita duka lako na kwenda kununua kwa jirani yako au hata mbali sana; unaweza kuhisi umerogwa, ila 500/= mwenzako anapata vocha!
Ila kitu kimoja - changieni maduka ya jumla ya mikoani kwenu. Kwa hiyo kama haupo Dar es salaam basi usinunue kutoka Kariakoo, tafuta maduka ya jumla hukohuko mkoani kwenu.
I am done & Out!
Ukihitaji kujua zaidi ya hayo basi karibu ..... nitakupa darasa zaidi maana kuna mambo kama 21 hivi ambayo nitakufundisha kwa wiki 1 (Kila siku nitakufundisha mambo matatu makubwa) kuhusu kuanzisha, kusimamia na kuendeleza duka lako la vipodozi ..... (Ila utanipodha soda mbili [emoji23][emoji23][emoji23] maana ni consultancy eti 🙂🙂🙂)