Ufafanuzi na Mchanganuo Kuhusu Biashara ya Vipodozi na Urembo

Ufafanuzi na Mchanganuo Kuhusu Biashara ya Vipodozi na Urembo

Mashelf yamesafishwa na TBS
Vipodozi vilivyopigwa ban
Waliibuka kwa kushtukizwa
Mabaharia bado tunaziuza Calorite,Tent clair, Extra clair, Coco pulp, lemovate, Diplloson, Betason, Diana, White max, calaton, beaution ..k
 
American dream bei ya jumla ni 18,000

Mimi Nauza rejareja 25,000
Ina maana yule dada wa kiiraq anatupiga 40K insta anaeuza LA VISTA? Kweli ana haki ya kwenda Ibiza kila december.
 
Nimefanya biashara nyingi ila kwenye vipodozi nimetia manga.

Kuna kitu kinaleta faida mpaka ya 20K.

Ni ujanja wako tu wa kusuka maneno.

Cosmetics ni kabiashara katamu mno.
Unanitamanisha sana mrembo, zile biashara za faida za sh.100/100 huwa siziwezagi 😂😂😂! Yani napenda kitu niuze nipate walau 5000 au zaidi! Perfume ndio zina mtindo huu kumbe hata vipodozi ndio hivyo hivyo. Nitakuja tuongee kirefu
 
Back
Top Bottom