Ufafanuzi wa CHADEMA Kuhusu Maazimio ya Kamati Kuu - Novemba 2013

Status
Not open for further replies.
Bila shaka ile laptop ya mwenyekiti wa CDM Arusha inaweza kuwa source ya kuvuja kwa huu mtandao wa ushindi.
ina maana documents za uasi ndani ya chama unazi-save kwenye laptop? na unatembea nazo kifua mbele !!!! aisee!!!
 
Hakika intellejensia ya cdm ni balaa naanza kuona watu makini toka TISS wako cdm, hata Mwlm wangu DR Mkumbo unakuwa msaliti?. Kama maelezo yao hayatakidhi waondolewe uanachama mara 1, inauma sana kuna watu wametumia pesa zao nyingi na wengine wamekufa sbb ya cdm hata hawawakumbuki.
 
Dr. Slaa ni mnafiki sana. Eti leo amejifanya hana uhusiano na maamuzi haya ya Kamati Kuu. Kimsingi Slaa ndio aliwajibika kusoma haya maazimio kwa waandishi, sio Lissu.
Mwaka huu utavaa chupi kichwani we gamba! Mambo ya CDM yanakuhusu nini? Zitto amekuuma eh!!
 
daaa mbona majanga kweli huyu jamaa ni ndumila kuwili namna hiii,inatisha sana kwa uhai wa demokrasia ya kweli
 
Baada ya kutafakari nichangie nini naona nije hivi! Kinachoshangaza wanachadema wanashangilia Ccm wanalia!!! Hii inaonyesha jinsi gani chama hiki kimekosa watu wenye uwezo wa kufikiri.

Hata kama mkakati umetengezwa na ninyi ni uendawazimu kuonyesha hadharani kwamba ni wewe mchawi unayesikitikia matendo yako. Inawezekana kuna wanachadema wangemuunga mkono ZZK lakini kwa kuliliwa na adui zetu ni wazi manamuunguza mwenzenu.

Chama chetu ni imara sana, ninawahakikishia kitatoka ktk issue tukiwa washindi. Katika siasa upepo kuvuma vibaya au vizuri ni turufu! Tulilifuatilia kwa makini na tukajua ni wakati wa kufanya maamuzi.

Msilolijua ni kuwa tunazidi kuwa maarufu kwa kuendelea kutupa headlines, hasa katika maamzi magumu na ya msingi kama haya. Ni chama gani chenye uwezo wa kufanya maamuzi kama haya?
 
Huo waraka wa siri wana uhakika gani kama umeandaliwa na zitto au kitila mkumbo??

Picha la kihindi
 
kamati kùu hatimaye imenifariji sana,imenîtia nguvu na kunipa moyo
Hii ni tofaùti kubwa kati ya chadema na cçm.
Heko kamati kuu maana ilionekana kana kwamba dagaa ndo wanawajibishwa ila sio kambale
Kwanini tuendelee kufuga mitetea iliyomaliza kuzàa na imeanza kutaga mayai viza?
Kesho naenda kulipia kadi yangu ya chama
 
Mwita Maranya katibu wa zamani CCM mkoa wa Tanga,aliegoma kuwa tarish wa Makamba makao makuu,nasubili uchaguzi mkuu 2015 uame chama,Zitto ameanzia Chadema na Silaa via Mbowe wametokea CCM
 
Last edited by a moderator:
Mwisho wa ubaya aibuu
Pamoja na mapesa status atapata wapi na anavyopenda masifa mwana yule
mimi bado napata kigugumizi juu ya huyu Dr. Kitila Mkumbo -- Kweli amenasa kwenye hii merikebu chakavu MV-UASI !!! duh

Kweli sasa nimeamini maneno ya mama yangu nikiwa mdogo kila mara aliniambia "Kua uyaone mwanangu!!" aisee hii kitu si mchezo.
 
Hakika intellejensia ya cdm ni balaa naanza kuona watu makini toka TISS wako cdm, hata Mwlm wangu DR Mkumbo unakuwa msaliti?. Kama maelezo yao hayatakidhi waondolewe uanachama mara 1, inauma sana kuna watu wametumia pesa zao nyingi na wengine wamekufa sbb ya cdm hata hawawakumbuki.
 
Nimeusoma kwa umakin sana waraka huo,.hauna tofauti sana na ule aliokaundika yericko mla mbwa na yule figure namba nane(8)

Chadema kinajiua chenyewe,,kisitafute mchawi katika hili
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…