Njilembera
JF-Expert Member
- May 10, 2008
- 1,496
- 610
Kama ni kweli kwamba Zito na Mkumbo baada ya Waraka huo kuanikwa waliomba kujiuzulu nafasi zao, basi sioni sababu ya wenye kuleta hoja hapa kwamba wameonewa, mara ni kwa kuwa ni watu wasio wa Kaskazini. Na ingekuwa maajabu kweli kama CDM isingchukua maamuzi haya magumu.
HUU NI UKOKOMAVU MKUBWA- Ninaweza kutafakari jinsi gani ilivyokuwa ngumu kufikiria kumtoa Dr Mkumbo kwenye nafasi yake. Huyu hakuwa amechafuka kiasi kikubwa vile kama mwenzie - na ungetegemea afikiriwe fikiriwe- Lakini kumbe alishaomba AJITOE MWENYEWE- Wenye weledi wa taaluma wakaona bora afukuzwe, iwe ni adhabu asije rudia, na tena wakamlima barua ajieleze kwa nini na huo uanachama wake asiupoteze.
KUMBE SAA YA UKOMBOZI INAKUJA, I KARIBU! Asanteni sana CDM kwa kuthubutu! Nia ni tiba na kwamba tunawaacha wale makamanda ni ajali ya tiba! Struggle must continue!