Ufafanuzi wa CHADEMA Kuhusu Maazimio ya Kamati Kuu - Novemba 2013

Ufafanuzi wa CHADEMA Kuhusu Maazimio ya Kamati Kuu - Novemba 2013

Status
Not open for further replies.
Utofauti wa chadema na ccm ni huu unaoonekana katika kufanya maamuzi.
Kwa chadema ...gamba likiota linakwanguliwa bila woga lakini kwa ccm wanalipaka mafuta!
Mifano ipo......
Rejea maamuzi ya chadema dhidi ya madiwani walioasi kule Arusha na pia masalia wanavyoshughulikiwa.
Kwa upande wa ccm rejea magamba matatu EL,AC na RA
halafu kuhusu wale madiwani wa bukoba!
 
Wosia wangu kwa Mh Zitto na Dk Kitila Mkumbo

"IF YOU CAN'T BEAT THEM, JOIN THEM"
​
 
Mkuu ni bora usimjibu mtu kuliko kuandika utumbo kama huu, ninyi ndo mnakiharibu chama kwa matusi na kuwafanya wanachama wenu waonekane wehu. Ukikaa kimya kama huna hoja ni welevu pia.
Hajatukanwa mtu hapo kaambiwa ukweli hakuna tusi hapo...
 
Lissu anasema Naibu Katibu Mkuu Zitto Kabwe na Dr. Kitila Mkumbo waliomba kujiuzulu nyadhifa zao zote baada ya waraka wao kukamatwa lakini Kamati Kuu iliwakatilia baada ya kuona kuwa kukubaliana na maombi yao hayo ilikuwa ni kama kuwaacha wajiuzulu kwa heshima ambayo hawaistahili hata kidogo.

Tupeni ushahidi wa kuomba kujiuzuru!! Siamini hata Dr. Kitilla!
 
Tutakuja kuambiwa kuwa wakili Kibatala anatokea Same ndiyo maana kapewa hiyo nafasi.
 
Mhudumu,ongeza vinywaji kwa kila mtu hapa..! Tuitie na mtu wa jikoni.

Kama vile nakuona kumbe ndo kwanza niko kwenye daladala najiendea home.lkn ile order imenifanya nicheke sana,kwamba muhudumu ongeza vinywaji kwa kila mtu na tuitie na wa jikpni,ha ha ha ....very interesting.
 
huu waraka ni mrefu sana...ngoja niu-print nijisomee taratiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiibu
hahhaha kumbe waraka wenyewe ndio huo.yani chadema imejifia. hivi nani hawezi kutunga waraka kama huo?
 
Kirusi wa chadma ni demokrasia wameshindwa kuishi demokrasia wanashika uchawi watu.
mchawi mkuu kakili mwenyewe kwamba amekuwa akifanya jaribio la kuloga; sasa hapo demokrasia ya CDM inaingiaje?
 
Sikitu chema kukishabikia hata kidogo ila kinaumiza kuona watu tunaowategemea kama wasomi wanakuwa wasaliti wachama kwa kiasi chakufukuzwa najaribu kufikiria taifa hili linakwenda wapi hasa kwa wasomi tunaodhani ndiyo pumziko la wanyonge wasiojuwa kitu kumbe laaa,

Ndani ya serikali niwasomi ndiyo wanaingia mikataba yakuiangamiza nchi ndani ya vyama niwasomi hao hao niwasaliti
Je usomi unatusaidiaje sisi ambao tunaomba tuongonzwe na wasomi?

Tafakari ndugu yangu ambaye simsomi pigania nchi yako nimda wakuikomboa nchi yako
 
Kutokana na huo waraka inaonyesha awa jamaa hawajatumwa na CCM bali ni njia waliyotaka kuitumia kukinusuru chama
 
huu waraka ni mrefu sana...ngoja niu-print nijisomee taratiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiibu

hivi kweli una qoute vipi habari kama hiyo, unachosha wengine bwana, halafu we unge print kimya kimya matangazo ya nini sasa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom