Ufafanuzi wa CHADEMA Kuhusu Maazimio ya Kamati Kuu - Novemba 2013

Ufafanuzi wa CHADEMA Kuhusu Maazimio ya Kamati Kuu - Novemba 2013

Status
Not open for further replies.
Sasa Mbowe na Slaa nyinyi si mnahubiri demokrasia??

Kwanin linapokuja suala la kupokezana vijiti mnakuwa wakali??kwanini??

Demokrasia ya ukweli inaenda na kuachiana madaraka na sio kurefusha wigo wa kukaa madarakani,kwanin hamjifunzi kuwa kama nyerere na mandela??

VYOVYOTE VILE MUWAZIAVYO HAPO JUU MUDA UKIFIKA MTABANDUKA TUH,UKWELI NDIO HUO HATA KAMA NI MCHUNGU,ACHEN PROPAGANDA CHAFU,MNAKUWA KAMA MAFISADI WA CCM??TOFAUTI YENU NA YAO NI IPI SASA??

ILA,SISI TUNAWAAHIDI,KAMA FITNA NA SISI TUNAZIJUA SANA.WAULIZEN CCM WANAKIPATA NINI HUKU KUSINI,WANAJUTA,NA TUTAWAGEUKIA WANASIASA WOTE WENYE MAONO YA ULAFI NA UCHUMIA TUMBO KWA HILA ZA KUTUMIA UMASKIN WA WATANZANIA NA KUJIFANYA WAZALENDO NA WANA DEMOKRASIA,

maccm shida sana..unataka kijiti wampe mzabizabina zito
 
R.I.P. CHADEMA!
Eti wanataka wampe Yule msanii wa Morogoro aliyejiunga nao juzi(afande Sele) hicho cheo cha Zitto Kabwe!! Ha ha ha!!!
 
Nyerere wakati mwingine alikuwa anaona mbali sana,

Alipokawa anapinga ukanda na ukabila wa kina chifu mareale na kutuuusia nchi hii tusiwape wachaga aliona mbali sana,

SISI TUNAULIZA SWALI,KAMA NIA YAO NI HIYO,WALIKUWA WANA HAJA GANI YA KUZUNGUKA NCHI NZIMA KWA ULAGHAI WA M4C HUKU WAKISEMA WANAHITAJI NGUVU YA UMMA??TENA KWA PESA YANGU YA RUZUKU YA KODI YANGU??
SI WANGEBAKIA NA CHAMA CHAO HUKO HUKO KASKAZIN??
TUTAKULA NAO SAHANI MOJA SASA

Jamaa yangu watakushukia huko
Hivi hukumbuki WAKATI WA SAKATA LA GESI WALIKUSAIDIA SANA?
ngoja waje
 
Nyerere wakati mwingine alikuwa anaona mbali sana,

Alipokawa anapinga ukanda na ukabila wa kina chifu mareale na kutuuusia nchi hii tusiwape wachaga aliona mbali sana,

sasa watanzania walipoamua kukikubali chadema na kujaribu kuondoa notion ya ukanda na ukabila na kuweka picha ya usawa ndan ya chama imekuwa ugomvi,hawataki kata kata...!!

Na wanawatimua watu hadi kwa matofali ili wabakie wenyewe ndan ya chama hiko waendeleze ukanda na ukabila,,

we ni gamba tu kalale!
 
Haya maamuzi yameuburudisha sana moyo wangu ... Viva chadema....
 
Mie nashangaa vijana wa Lumumba LLC wanakuwa very concern na maamuzi ya CHADEMA juu wa Zitto na wengineo. Would you guys declare your interests kwenye concerns zenu? Sasa pilipili iliyoko shambani inakuwasha vipi remotely?
 
From: Said Amour Arfi
<[email protected]>
Date: November 22, 2013 3:45:47 PM
GMT+03:00
To: "[email protected]"
<[email protected]>
Cc: "[email protected].
[email protected]"
<[email protected].
[email protected]>
Subject: KUJIUZULU MAKAMU
MWENYEKITI (BARA)
Salaam,
Napenda kuwasilisha kwako taarifa ya
kujiuzulu nafasi ya Makamu
Mwenyekiti Bara kuanzia Leo Ijumaa
22 Novemba 2013 kwa kuchoshwa na
Unafiki unaoendelea ndani ya Chama.
Napenda ifahamike pia kwangu
maslahi ya Wapiga kura, Wakaazi na
wananchi wa Mpanda Mjini na Wilaya
ya Mpanda ni muhimu katika
kuwatumikia, hivyo basi sipo tayari
kuchaguliwa marafiki.
Kwa kipindi kirefu zimekuwepo
shutma dhidi yangu na kutiliwa
mashaka mahusiano yangu na Mhe
Pinda Waziri Mkuu pamoja na
kulijadili katika vikao kadha Mpanda
na Dar es Salaam bado yapo mashaka
kwa nini alipita bila kupingwa hayo
yalikua maamuzi ya Wanampanda
kwenu imekua ni tatizo lakin
hamsemi kwa nini Majimbo mengine
16 nchini yalipita bila kupingwa
mlikua wapi na nani alaaumiwe huu
ni Unafiki wa kupindukia.
Aidha mmechukizwa sana kwa nini
nilihoji kauli ya Muasisi wa Chama
Mhe Mtei kutuchagulia viongozi
naomba ifahamike wazi kwamba huu
ni mtazamo wangu na utabakia hivyo
siku zote kwa chama cha demokrasia
kutoruhusu uongozi wa kiimla kwa
kukidhi matakwa ya Waasisi ambao
huvigeuza vyama kuwa Mali binafsi
Kwa kusema ukweli na kusimamia
ukweli daima itabakia kuwa lengo
langu katika maisha yangu siku zote
hata kama itanigharimu maisha
yangu
Nawasilisha.
Said A Arfi (mb)
Nakala Vyombo vya Habari
 
M/Kiti Mh. Freeman Mbowe ameshawasili na ameanza kwa kusema kuwa Kamati Kuu imemteua Mh. Tundu Lissu kuwa Mwanasheria Mkuu wa Chama na pia Kamati Kuu imefikia maamuzi ya kinidhamu kwa baadhi ya viongozi.

Anamkaribisha Mh. Tundu Lissu kwa ajili ya kutoa taarifa ya maazimio ya Kamati Kuu kwa niaba ya M/Kiti

Huyo Tundu Lisu anatumiwa tu! Mwisho wa siku wanakaskazini wakimalizana naye watamtupa kama condom!
 
PHD...!!!!!
Mkumbo anapofuata Mkumbo.

&#8203;Niliwahi kusema kuwa wanafuta upepo wa zitto wanaweza kuwa na akili lakini binafsi hawajitambui.
 
Mungu ni mwema.....CHADEMA itasonga mbele...... kama imethibitika hata angekuwa Mbowe angevuliwa uanachama mara moja.......! tunataka mabadiliko tumechoka na blabla
 
R.I.P. CHADEMA!
Eti wanataka wampe Yule msanii wa Morogoro aliyejiunga nao juzi(afande Sele) hicho cheo cha Zitto Kabwe!! Ha ha ha!!!

Ha! Yule mvuta bangi aliyekuwa kuruta wa jeshi akafukuzwa kwa msuba! Lahaula! Yule si huwa anavua nguo hadharani yule! Mungu tunusuru!
 
Nimeamua kuchukua uamuzi huo baada ya kugundua kuwa CDM:
1. Inaongozwa na kamati ambayo imejaa great thinkers na wanafanya kazi kwa maslai ya chama na Taifa kwa ujumla.
2. Kamati iko tayari kufanya maamuzi magumu mda na wakati wote inapobidi.
3. Chama kimedhamilia kweli kuchukua NCHI ifikapo 2015 hivyo hakiko tayari kuwavumilia mawakala (vipandikizi) wa vyama vingine.
4. Chama kina dhamila ya dhati ya kumkomboa Mtanzania.

Hayo ni machache sana tu. Naipenda CHADEMA na nitaendelea kuipenda.
PAMOJA TUTASHINDA
 
Huo waraka tumeuona ni kweli mipango iliyomo kwa chama chochote lazima kingechukua uamuzi kiliochukua. Maswali yangu kwa chadema ni kama ifuatavyo:
1. Wameupataje huo waraka?
2.Ni kitu gani kinachowaunganisha hao watuhumiwa na majina hayo ya bandia? angalau kwa Zitto inajionyesha kulingana na sifa zilizowekwa kuwa ni MM( Mhusika Mkuu) vipi kuhusu Kitila kuwa M1 na Mwigamba M3?
3. Hao wahusika wamejibuje tuhuma za kuhusika na mpango huo?

NB: Majibu ni muhimu ili kuepusha upotashaji unaoweza kutokea kama ambavyo wengine wameanza kudai hii stori ni ya kutunga.
 
Mwambie awasalimie..hawa wazee wametuchosha,we need compitent and commited leaders..vijana tupo wengi na wenye uwezo na nguvu za kukijenga chama chetu..walikuepo akina msovero na bado nchi yetu ilipata uhuru, itakua hawa walaini hvi? tunakipenda chama chetu na tutakitumikia kwa moyo mmoja.
 
Ya chadema tuwaachie chadema maana naona watu wanaotoka CCM hii kitu imewauma kuliko wahusika.
 
THE BIG SHOW mdini namba moja Tanzania,.......anapaswa kupigwa vita kali....huko aliko Tabata........wananchi walitambue hilo...mtwara JK ameshamshughulikia.........

alafu udini wake ni wa kipumbavu watu wa tbt hatuma usheeeeeeen kama wa big sho
 
Last edited by a moderator:
We wil fight til the last drop of our blood until our country is free again.God bless.
 
waraka huu umechomolewa kwenye laptop ya Kitila Nkumbo, alipobanwa akakubali mwenyewe.


Hapa ndipo inabidi tuanze kupima na kukubali ukweli! Inasemekama walikubali, sasa kama ndo hivyo, kwa mtu rational hawezi kuwatetea! Na kama ndivyo hivyo, basi haya ni maamuzi sahihi!.
 
Utofauti wa chadema na ccm ni huu unaoonekana katika kufanya maamuzi.
Kwa chadema ...gamba likiota linakwanguliwa bila woga lakini kwa ccm wanalipaka mafuta!
Mifano ipo......
Rejea maamuzi ya chadema dhidi ya madiwani walioasi kule Arusha na pia masalia wanavyoshughulikiwa.
Kwa upande wa ccm rejea magamba matatu EL,AC na RA
halafu kuhusu wale madiwani wa bukoba!
NO COMMENT! Uko sawa sana ndugu! Acha wenye mawazo finyu wafikiri ujinga wao! Hiki ndicho chama tunachokitaka kwa TZ bora na ya wote!
 
Nyerere wakati mwingine alikuwa anaona mbali sana,

Alipokawa anapinga ukanda na ukabila wa kina chifu mareale na kutuuusia nchi hii tusiwape wachaga aliona mbali sana,

sasa watanzania walipoamua kukikubali chadema na kujaribu kuondoa notion ya ukanda na ukabila na kuweka picha ya usawa ndan ya chama imekuwa ugomvi,hawataki kata kata...!!

Na wanawatimua watu hadi kwa matofali ili wabakie wenyewe ndan ya chama hiko waendeleze ukanda na ukabila,,

SISI TUNAULIZA SWALI,KAMA NIA YAO NI HIYO,WALIKUWA WANA HAJA GANI YA KUZUNGUKA NCHI NZIMA KWA ULAGHAI WA M4C HUKU WAKISEMA WANAHITAJI NGUVU YA UMMA??TENA KWA PESA YANGU YA RUZUKU YA KODI YANGU??

SI WANGEBAKIA NA CHAMA CHAO HUKO HUKO KASKAZIN??

TUTAKULA NAO SAHANI MOJA SASA


Mtu mwongo, mbaguzi na mzandiki akitaka kujustify malicious intention and deeds always will hide oneself in the shadow of the dead. Mwache Mwalimu apumzike kwa amani maana hakuna mahali aliposema Wachaga wasipewe nchi. Wabaguzi wa makabila ndio utumia uwongo na propaganda mufilisi kusema Nyerere alichukia makabila ya Wachaga, Wahaya na Wanyakyusa. Msipoacha uongo huu maisha ni mafupi mtajibu kwa Mungu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom