Ufafanuzi wa CHADEMA Kuhusu Maazimio ya Kamati Kuu - Novemba 2013

Ufafanuzi wa CHADEMA Kuhusu Maazimio ya Kamati Kuu - Novemba 2013

Status
Not open for further replies.
ugala ni station kama ya 5 hivi kutoka mpanda.
na wakaazi wa hapa wanaitwa wagala.

nimejaribu kuwasikiliza hapa nipo nao wamedai hawataicha chadema ianguke kwa sababu ndio chama chao wanachokitegemea.

uvccm naomba utulivu tafadhali.
 
Sasa Mbowe na Slaa nyinyi si mnahubiri demokrasia??

Kwanin linapokuja suala la kupokezana vijiti mnakuwa wakali??kwanini??

Demokrasia ya ukweli inaenda na kuachiana madaraka na sio kurefusha wigo wa kukaa madarakani,kwanin hamjifunzi kuwa kama nyerere na mandela??

VYOVYOTE VILE MUWAZIAVYO HAPO JUU MUDA UKIFIKA MTABANDUKA TUH,UKWELI NDIO HUO HATA KAMA NI MCHUNGU,ACHEN PROPAGANDA CHAFU,MNAKUWA KAMA MAFISADI WA CCM??TOFAUTI YENU NA YAO NI IPI SASA??

ILA,SISI TUNAWAAHIDI,KAMA FITNA NA SISI TUNAZIJUA SANA.WAULIZEN CCM WANAKIPATA NINI HUKU KUSINI,WANAJUTA,NA TUTAWAGEUKIA WANASIASA WOTE WENYE MAONO YA ULAFI NA UCHUMIA TUMBO KWA HILA ZA KUTUMIA UMASKIN WA WATANZANIA NA KUJIFANYA WAZALENDO NA WANA DEMOKRASIA,

Kwanini unajifaya una uchungu ,mno na waliovuliw vyeo kuliko wao wanavyojililia. Wewe kama hubali uamuzi wa mamlaka halali ya CDM si uchukue jembe ukalime na utuache sisi wenye chama chetu?
 
huo waraka tumeuona ni kweli mipango iliyomo kwa chama chochote lazima kingechukua uamuzi kiliochukua. Maswali yangu kwa chadema ni kama ifuatavyo:
1. Wameupataje huo waraka?
2.ni kitu gani kinachowaunganisha hao watuhumiwa na majina hayo ya bandia? Angalau kwa zitto inajionyesha kulingana na sifa zilizowekwa kuwa ni mm( mhusika mkuu) vipi kuhusu kitila kuwa m1 na mwigamba m3?
3. Hao wahusika wamejibuje tuhuma za kuhusika na mpango huo?

Nb: Majibu ni muhimu ili kuepusha upotashaji unaoweza kutokea kama ambavyo wengine wameanza kudai hii stori ni ya kutunga.

laptop ya KITILA
 
...nawapigia saluti makamanda woote walioshiriki kufanya maamuzi magumu kwa manufaa ya chama...
 
Mzee Alfi kumbe naye alikuwa na malalamiko? Sielewi. Kwani naye alitoa malalamiko mkutanoni? Na kama je malalamiko yake yalijadiliwa! Kwa nini ajiuzuru leo baada ya Kamati Kuu kumaliza kikao chake? Je inawezekana kuwa mzee huyo naye yupo katika Kamati ya siri ya Zitto? Sielewi.
 
...mleta uzi iyo heading yako ilipaswa kuandika anguko la alfi...
 
Arfi alisimama kidete kuhakikisha mgombea wa CHADEMA harudishi fomu!
 
Nimeamua kuchukua uamuzi huo baada ya kugundua kuwa CDM:
1. Inaongozwa na kamati ambayo imejaa great thinkers na wanafanya kazi kwa maslai ya chama na Taifa kwa ujumla.
2. Kamati iko tayari kufanya maamuzi magumu mda na wakati wote inapobidi.
3. Chama kimedhamilia kweli kuchukua NCHI ifikapo 2015 hivyo hakiko tayari kuwavumilia mawakala (vipandikizi) wa vyama vingine.
4. Chama kina dhamila ya dhati ya kumkomboa Mtanzania.

Hayo ni machache sana tu. Naipenda CHADEMA na nitaendelea kuipenda.
PAMOJA TUTASHINDA
mimi pia nimefikia maamuzi kama yako ... hiki ndicho chama makini,kitakuwa na uwezo hata wa kufukuza mafisadi,kitu ambacho chama changu ccm kimekuwa kikijinasibu muda mrefu bila mafanikio.
 
Kamati imemteua Lissu kuwa mwanasheria wa chama.......This is rubbish ............... na kumdanganya tu Lissu. Ina maana siku zote na makesi yote yale lissu anayoyasimamia kwenye chama hawajawahi kutambua kuwa ndiye mwanasheria wa chama? Loh

Ivi una akili kweli wewe? Lisu hakuwa mwanasheria wa chadema
 
nimefurahi sana propaganda za ukanda na udini ni ndogo sana kulinganisha na za ugaidi yatapita tu hakuna kutetereka virus out alafu mwendo mdundo 2015
 
mimi pia nimefikia maamuzi kama yako ... hiki ndicho chama makini,kitakuwa na uwezo hata wa kufukuza mafisadi,kitu ambacho chama changu ccm kimekuwa kikijinasibu muda mrefu bila mafanikio.


tuko pamoja.
 
siasa bwana! Nani uyu tunaemzungumzia ivi sasa? Zitto?.................
 
Lissu anatumiwa tu.

Unakumbuka Kitila alivyotumiwa kibadilisha matokeo ya viti maalum ili watoto wa Ndesamburo na Mtei wapate Ubunge?

Ukitaka tuongelee watoto wa viongozi na wake wa viongozi wa CCM waliopewa vyeo kwa kutumia uchi utachangia huu uzi wewe?? Kaa kimya mtt mzuri wewe
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom