Majaribu2013
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 950
- 1,050
ni kweli kabisa kamanda, huu ni ushindi wa wanaharakati wote wanamapinduzi wapena maendeleo, watetezi wa wanyonge na wasakatonge woote... Hongera sana kamati kuu ya CDM.. Leaders who dares bila kujali umaarufu wake, hakuna mtu ndani ya CDM anayeweza kuwa marufu kuliko CDM yenyewe... Kwa uthubutu huu naamini mnaweza kushika dola ya nchi yetu na mkafanya maamuzi magumu kwa maslahi na mustakabali wa taifa letu.
Mungu ibariki Tanzania,
Mungu Ibariki CDM...
lazima tujifunze kuwajibika,kuleama ni sera ya ccm.heri chama kitetereke kuliko kulea dumilakuwili
Kwa mtu yoyote aliyepata nafac us kuusoma warska unaodaiwa wa skins zitto atagundua Kuna ukwel mwng ndan yke na km chadema wantka kusimama imara nawashaur wayafanyie ksz mapungufu hyo
weka waraka hapaKwa mtu yoyote aliyepata nafac us kuusoma warska unaodaiwa wa skins zitto atagundua Kuna ukwel mwng ndan yke na km chadema wantka kusimama imara nawashaur wayafanyie ksz mapungufu hyo
Vijana Mbeya tunaandaa maandamano ya kuunga mkono maamuzi ya kamati kuu, CDM ndo mkombozi wetu sisi vijana hatutakubali kife kwa tamaa za watu wachache kama zitto
mkuu usingepost hii kitu
Leo hii asubuhi katika pita pita zangu za huku na kule, nilicho shuhudia ni kwamba watu wengi wanaamini Zitto ni msariti na wengi waowamekua wakimkandia kwa zile tuhuma ambazo CDM imekua ikizitoa dhidi ya Zitto.
CDM kama taasisi ikae ikijua kama tuhuma walizo elekeza kwa Zitto ni za kubuni na ni uzushi ikae ijkujua itafikia tamati, maana uongo auna uhai wa mda mrefu kama ukweli. Na hapo hawa wanao mkandia Zitto ndio watakua adui zao wakubwa na matokeo yake chama kitakufa.
Na kama tuhuma ni za kweli basi Zitto inampasa kukili madhaifu na ajisafishe, maana hakuna binadamu mkamilifu. Nae endapo hato fanya hivyo atakua na hali mbaya kisisiasa.
Zitto, wananchi wenye imani na wewe bado tupo wengi kutokana na utendaji wako, chukua fursa hii kuweka mambo sawa.