Heb tuambie n utaft up uloufanya ukaona wnachama wamegawanyka? Atafukuzw n CDM itazid kuimarika.Mbon muda tu yuk pending
unamaanisha pumba tu,wanachama wa ccm wanampenda sana zitto halafu hawataki ahamie kwao,funny!!!45% cdm ni Kigoma!!kazi imelala hapo,kwa anayejua maana ya politics atanielewa namaanisha nini!!
Badaa ya kikao cha kamati kuu na maamuzi yake kusomwa kwa wanahabari, ilitegemewa kuwa kauli ile ingewaprovoke wawili hao na kutangaza kuihama CDM. Huu ungekuwa mwanzo wa mwisho wao kisiasa maana vingozi wa CDM wangezunguka nchi nzima wakitangaza "madhambi yao" na kushindwa kujitetea mpaka wameamua kujiondoa chamani. Wawili hao waling'amua mtego na wakatangaza kuipenda chama na kutokutoka ndani ya CDM hivyo wenye maamuzi ya hatima yao ni viongozi wa CDM. Kumbuka wanachama wa CDM na wasio wanachama wamegawanyika kuhusu suala hili. Hivyo, ZZK akifukuzwa na CDM uanachama, waliokuwa wanaona ameonewa wataichukia chama na kuondoka naye. Akiachwa ambayo ndo naona ni uwezekano mkubwa wasiompenda wataona viongozi wao hawana maamuzi na hivyo ZZK atakuwa ameshinda. Wanachama hawa wataambiwa kuwa wamemwacha kwa makusudi na "watamshughulikia" vilivyo asikukuruke. Ni dhahiri CDM wataamua kumwacha ZZK kwa kisingizio kuwa wanampa second chance huku wakijua kabisa hawana cha kufanya maana nao hawataki kuona chama "kinawafia" mkononi. Hivyo, ZZK ataachwa kama mwanachama wa kawaida na kupewa onyo. Dr. Mkubwa anaweza kuvuliwa uanachama maana hana madhara sana kwa umma.
Karibuni kwa tafakuri.
45% cdm ni Kigoma!!kazi imelala hapo,kwa anayejua maana ya politics atanielewa namaanisha nini!!
Tunachotaka ni democrasia ndani ya chame meku, hata kama alikuwa na wabunge 700 bado haina maana ya neno democracy.
Hapa naona hamna Chama kufa,ila cha muhimu ni chama kuzunguka maeneo yote Zitto anakofikiri ana popularity na kueleza ukweli.
Safari ya Zitto imeshawadia, yeye pamoja na Lumumba, TeamZitto ndiyo walioshiriki kuiandaa!!! Tunawatakia Safari njema huko waendako!!
Wasirra alishatangaza kwamba - CHADEMA ITAKUFA KABLA YA 2015, kumbe hili ndiyo lilikuwa dili lao.
Wasira ni mwanafalsafa mzuri. alijua kuwa chama kinapoelekea kuzuri lazima minyukano iwepo. hivyo kama hakina mfumo madhubuti wa kushughulikia hiyo minyukano pamoja na mwenyekiti madhubuti, hakika lazima kife tu
Hii ni kwa mujibu wa utafiti wako! Kama hizo ndo takwimu basi nusu ya wabunge wa kigoma wangekuwa chadema!
Jifunze kuishi na mama yako bila kumchungulia!!toa hoja na sio kutoa povu tu kwa siasa za mkumbo wenzenu wakiwa wanchuma saccoss yaounamaanisha pumba tu,wanachama wa ccm wanampenda sana zitto halafu hawataki ahamie kwao,funny!!!
Wasira ni mwanafalsafa mzuri. alijua kuwa chama kinapoelekea kuzuri lazima minyukano iwepo. hivyo kama hakina mfumo madhubuti wa kushughulikia hiyo minyukano pamoja na mwenyekiti madhubuti, hakika lazima kife tu
Acha ushamba wewe unamtishia nani kuwa angani saa 8? Unajua wengine tupo wapi na tulipaa masaa mangapi? Yawezekana mwenzetu umekwenda nyampulkano kwa ungo ndio maana unaaga unasahau kuwa JF ipo Worldwide isipokuwa muendako na nyungo kwasababu ya miundombinu mibovu kwenye nchi inayoliwa na majambazi wenzio CCM. Halafu hizi taarifa kuwa Mnyika ndo alikuwa akikaimishwa kumbe mmeo alikulalamikia pia? Wanaume wengine bana, yaani hadi mambo ya ofisi unayapeleka kwa vimada? Hovyo kabisa!
Mchumba usiwe na wsiwasi; nipo mjini lete habari, mtaolewa mwaka huu kwa njaa zenu; ile ilikuwa taarifa nakupa ili usione nakukimbia; sasa kwani ni uongo kama John Mnyika ndiye aliyekuwa akikaimu nafasi ya katibu mkuu? ninavyofahamu mimi Zitto hakuwa katibu mkuu sasa hata leo mkidai eti mumemvua vyeo ni zile akili ndogo kutaka kuongoza akili kubwa!
Dada chama unajua unachoandika kweli?
Too Low. Unapoteza tu mda wangu na huna maana. Tupa kule. Rubbish!