Ufafanuzi wa CHADEMA Kuhusu Maazimio ya Kamati Kuu - Novemba 2013

Status
Not open for further replies.
Hakuna wa kumfukuza zitto chadema zitto ndiyo chadema akiondoka kinakufa.
 
Huyu Mtu Cjui Anaishi Nchi Gani, Slaa Kesha Funga Mjadala...
 
Mnafiki anafukuzwa tu hana thamani tena ndani ya chama zaidi ya kuleta mifarakano na kukisaliti chama. Wanachama wengi tumeshakaa mkao wa kushereheka mara tu itakapotangazwa rami kwamba msaliti wa chama amefukuzwa rasmi.

 
Diversion ahead....kanda ya ziwa tunasubr mmfukuze tu,hlf tuwaoneshe nguvu yetu,tunajua mlchomfanyia bob makan,mara kla mwny uwezo wa kureason n msaliti
 
WanaJF naumba kufahamishwa. Zitto na wenzake wawili walivuliwa nyadhifa zao na Mbowe (MKiti CDM) au walivuliwa nyadhifa na kamati kuu ya chama hichi chenye wajumbe 30+? Tena tuliambiwa kwamba kura ya siri ilitumika.

Maana naona jamaa humu wanatoka povu jinmgi sana kumtupilia lawama Mbowe kuwa yeye ndiye aliyewavua nyadhifa wanachama hao.
 

Mikakati ya mbowe...
 

Kinachoshangaza haya yanapangwa na watu wanaotaka tuwape dhamana ya kuongoza nchi.... Uongo wa kitoto... mipango ya kijinga... wanawafanya watanzania wajinga hii ni dharau ya kiwango cha juu.
 

tatizo lako unt chama unhikishwa ukuta
 
Last edited by a moderator:
tatizo lako unt chama unhikishwa ukuta


Shoga fanya tukutane ili tujuwe nani kati yetu anashikishwa ukuta! Mtoto una macho kurembua mithili mjusi malaya leo unataka kuleta za kuleta; malazi; usafiri na chakula pamoja na posho ya kujikimu juu yangu!
 
JF.......!
Mimi ni mwanachadema mtiifu na mwaminifu kwa chama na viongozi wangu, nimekuwa mwanachama wa CHADEMA tangu mwaka 2009 baada ya kuvutiwa na siasa za Mhe.Zitto Kabwe hapo awali.

Hatimaye nimeona nitoe muono wangu huu kwa wanaCDM wenzagu kuwa najiandaa kurudisha kadi ya chama changu kipenzi CHADEMA endapo chama changu hakitachukua maamuzi magumu ya kumfukuza na kumtumlia mbali mnafiki, mzandiki na mhaini Zitto Zuberi Kabwe,

Imefika hatua mhe. Huyu kawa ana kiburi mithili ya shetani na kujiinua pasipo sababu kuwa "ZITTO NI CHADEMA NA CHADEMA NI ZITTO" haya ni matusi makubwa kwa wenzetu waliopoteza maisha kwa ajili ya chama, Zitto kaua ndoto za vijana wengi waliokuwa wema kama Juliana Shonza, Habib Mchange, Mtela, Nyakurungu Gwakisa, Burton, Kafulila kwa ulaghai wake. hivyo sitokuwa tayari kuendelea kuona Mrundi mmoja akizima ndoto za taifa langu Tanzania.
Lastly, sitokuwa tayari kuendelea kuishi na nyoka kwenye chumba kimoja.

Shardcole@Tabora1
 
Alichofanyiwa mpaka sasa ni somo kubwa sana kwake na siku nyingine akicheza atajua kabisaa ni sawa na kuchezea dhababu chooni. Inatosha kurupushani zake anaweza kuzipimia kama amefanikiwa au laah na kumrusisha katika stand yake.
 
...

....Pamoja Kamanda ngoma isambile... nyoka kashapondwa imebaki kuprove tu!!!
 
Hatuna mda na maiskariote ndani ya chama,nyoka wote wanapigwa vichwani tu!!
 
Mbulula wewe, unayasema hayo ukiwa umekula tumbaku au ugolo. CDM tatizo ni ubinafsi na njaa ya madaraka kuanzia kwa MBOWE kushuka chini.
 
Unachelewa kuitupa hio kadi, maana sioni haja ya wewe kutaka urudishe kwani hata ulipoichukua hukutushirikisha. Iweje kwenye kurudisha utake tushiriki??
Chadema hatuabudu mtu,we nenda tena usikawie maana ulikuwa kenge katika msafara wa mamba.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…